Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,737
- 26,693
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause/andropause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.