mwanamke

  1. KarugendoTz

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi?

    Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi? Hawapendi kudandiwa pale mwanaume unapotaka kufanya tendo na mkeo au mchumba usijaribu kumdandia bila kumuandaa mwanaume weka vikolezo koleza kwanza Mbusu. Nyonya ulimi lips. Maskio lamba shingo nyonya matiti papasa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa - Mtwara mjini

    Habari ndugu zangu. Mtaniwia radhi kama nitakuwa nimekosea au utakwazika kwa ujumbe wangu. 1. Natafuta mwanamke anayehitaji mume wa kumuoa. Mwanamke ambaye yupo "intrinsic" na hilo jambo; 2. Umri wake uwe kuanzia miaka 25 hadi 33; 3. ASIWE NA MTOTO - kwa maana nyingine SIHITAJI SINGLE MOTHER...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Asilimia 90 ya kipato cha mwanamke hutumika kwa ajili ya familia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu muhimu zinazobainisha mchango wa wanawake katika uchumi na nafasi za uongozi. Akianza na ripoti...
  5. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: 35% tu ya kipato Cha mwanaume kinafika nyumbani tofauti na 90% ya Mwanamke

    Katika salama zake za siku ya Wanawake Dunia Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila kwanza amewapongeza wanawake wote kwa kuzaliwa wanawake. Pili, David Kafulila amerejelea Utafiti uliofanywa na UNAC ya nchi Marekani uliokuwa na majibu kwamba Wanaume sio...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. Una zawadi kwa Wanawake uwapendao? Watumie hata salamu

    Wakuu! Heri ya Siku yenu Wanawake wote wa hapa JF, nyie ni wa muhimu sana, tunawapenda❤️❤️❤️ Leo ni siku ya kusherehekea wanawake wote na yale wanayotufanyia kila siku kwa nguvu, upendo, na kujitolea. Kutoka kwa mama, dada, binti, hadi marafiki wanawake ni nguzo muhimu katika maisha yetu...
  7. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Faida za tendo la ndoa kwa mwanamke

    Tendo La Ndoa: Tendo la ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanamke, siyo tu kwa ajili ya mahusiano, bali pia kwa afya ya mwili, hisia, na akili. Mwanamke anaweza kufurahia tendo la ndoa ikiwa kuna maelewano, hisia za upendo, na afya njema ya kimwili na kiakili. Kufanya tendo la ndoa kuna...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

    Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa. Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa...
  10. dume30

    JamiiForums Tanzania MWANAMKE BOMBA 2025

    Habari Wana bodi ,Ikiwa Leo 8/3/2025 ni siku ya wanawake duniani kwa upekee kabisa mwaka huu naomba siku hii ni-dedicate kwa mwanamke wa nguvu Mkuu wa shule Chamazi Sekondari E.Chilewa . Mama huyu ni mchapakazi na hodari katika kusimamia majukumu yake ipasavyo,kukuza vipaji vya uongozi,mfano...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Siri 15 ambazo mwanamke hawezi kukuambia kamwe

    1. Ikiwa anakupenda kweli, atafanya mambo kuwa rahisi kwako. Hakuna udhuru, hakuna michezo ya akili - utapatikana. 2. Tayari anajua ikiwa atalala na wewe au la. Acha kufikiria unaweza "kumshawishi"; yeye Aliamua zamani. 3. Anakujaribu bila wewe kujua. Kila mwanamke hutupa vipimo vya hila ili...
  12. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Hakuna usawa kwenye akili ya mwanamke.

    Wakati tunaelekea siku ya wanawake najua kuna ujinga mwingi sana utaenezwa kuhusu kuwawezesha wanawake na masuala ya usawa. Mwanaume mwenzangu tumi akili yako usiruhusu huo ujinga ukupumbaze. Ukweli ni kwamba, hakuna 50/50 kwenye akili ya mwanamke, ni either uwe umemzidi kwa mbali akupe hadhi...
  13. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Mafanikio, changamoto na athari za uwezeshwaji mwanamke nchini Tanzania

    Tunashuhudia harakati na jithada za kumwezesha mwanamke duniani kote huku Tanzania ikiwemo. Sasa tunashuhudia athari chanya na hasi za kampeni ya kumwezesha mwanamke katika nyanja mbalimbali. MAFANIKIO 1. Mwanamke anapata fursa na hamasa ya kupata elimu na ajira. 2. Mwanamke anamiliki uchumi...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mpogolo azindua msimu mpya wa Kampeni ya Mwanamke Fundi 2025

    Kuelekea siku ya Mwanamke Dunia itayoadhimisha Marchi 8 mwaka huu Mkoani Arusha, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amezindua Msimu mpya wa Kampeni ya Mwanamke Fundi 2025. Mpogolo amezimdua kampeni hiyo ambapo kwa mwaka huu wilaya yake pia itakwenda kuwa miongoni mwa Wilaya 4 ambazo...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mnaoa Malaya halafu mnatarajia amani katika ndoa . No. No., Nyumba ambayo ina mwanamke Malaya hakuna kupoa mpaka mmoja atangulie

    Mwanamke umempokonya toka mikononi mwa mwanamke au wanaume wengi kwa chambo ya pesa na vitu then unamwoa. Tulia tu ndugu hiyo ndoa hamtoboi. Mwanamke umemkuta bar kaja kunywa pombe au soda ndugu kaja bar kufanya umalaya ila kwasasa ya akili yako finyu ukamwona anakunywa juice ukasema huyu ndio...
  16. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Siku hizi kila mwanamke ana uzuri wake. Hakuna anayekosa bwana

    Kuna mwenye sura nzuri, kuna mwenye nywele nzuri,kuna mwenye wezele,kuna mwenye hips kubwa,kuna kibonge anatikisa minyama, kuna anayerusha chura,kuna mwenye minding, kuna portable, kuna kafupi nyundo, kuna mwenye Saudi tamu nk. Maana ya mwanamke mzuri leo imekuwa mtambuka.
  17. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Kulea ni kazi ya mwanamke, kutunza ni kazi ya mwanaume

    "Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo. Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume ambao hawakimbii familia. Waliojiandikisha mpaka sasa ni wanaume 31,000" - Claude Benedict Kimu...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Kuishi na Mwanamke na kuzaa naye watoto Si Mke ni Mzinzi Mwenzio,Funga ndoa Utalindwa!

    Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa. Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha! Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'. Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Je ni Kweli mwanamke akitumia sindano za kuzuia mimba, zinaweza kukausha mayai ya uzazi?

    wana jamii ushauri wenu kwa ufupi..... baby mama wangu ameenda hospitali kubwa ya nchi... Kuangalia kwanini hashiki mimba.. Hapo nyuma alikuwa anatumia sindano za uzazi kuepusha kushika mimba.. Sasa daktari amemwambia inawezekana mayai yake yamekaushwa na hizo sindano ...Hivyo inabidi kufanya...
  20. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakifika sokoni wanauliza gharama ya bidhaa zote ndio maana wanachelewa

    Mwanamke hata akienda sokoni na shilingi elfu moja kununua sindano ya kushonea nguo, atazunguka soko lote na kuuliza bei ya kila bidhaa. "Hili dela ni bei gani?" "Hivi viatu ni bei gani?" "Hili gauni ni bei gani?" "Hii skirt ni bei gani?" "Hili sofa ni bei gani?" "Hii TV na Subwoofer ni bei...
Back
Top Bottom