mwanamke

  1. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

    Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi! Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke wako ana kuheshimu na kukutii kwa viwango vya juu basi tambua kuwa ameshindwa "kuku-manipulate". Haijalishi pesa au status yako

    Endapo mwanamke atajua ume fall crazily kwa muonekano, status, personallity yake, etc atahakikisha akuweke under control yake, kumaanisha kuwa hatakuheshimu kwa kuwa jembe tena kwa maana umeanguka mtihani wa yeye kucheza na akili yako. Tatizo ni kuwa wanaume tunakuwa naive sana katika maamuzi...
  3. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Loyalty ya mwanamke inajaribiwa pale mwanaume anapokuwa hana kitu. Loyalty ya mwanaume inajaribiwa pale mwanaume anapokuwa na kila kitu.

    Ukata umewakimbiza wadada wengi, unafuu ndio umewaleta karibu. Wengi wao wamekuwa evolved kutokujali kama yuko deeply connected na wewe as long as una uwezo. Vijana wengi wa kiume waliokuwa na ukata waliwashikilia kwa dhati wenzi wao na wakawafabya faraja yao kipindi walikuwa hawana chochote...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake.chunguzeni wale wanaotaka waishi wote sawa

    Wanawake wanatabia moja ya ajabu sana. Wakiona mwanaume umeoa basi kila mwanamke atakusumbua na yeye kuwepo kwenye nafasi yako ili mradi kuleta matatizo ndani ya familia kisa mwanamke mwenzake kaona kaolewa. Kuwafanyia wanawake wengine fake life kupitia mitandao ya kijamii yani wanawadanganya...
  5. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kufanya mwanamke akupende

    Wakuu tupeane maujanja hivi inatakiwa ufanye vitu gani au umfanyie vitu gani mwanamke wako ili akupende sana? Wanawake hivi mnataka vitu gani mwanaume wako akufanyie ili umpende sana?
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jenga tabia ya kutokusamehe makosa ya mwanamke utakuja kunishukuru Sana

    Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia. Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae mfanya awe anakuja kwa nauli yake mwenyewe. Wewe ndo utakae mfanya akuone mkoloni. Na wewe ndo utakae...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Imeandikwa katika kitabu cha kutoka 22:18"usimuache mwanamke mchawi akaishi"mbona wachawi ndio wanaishi muda mrafu kuliko watu wema?

    Hapo vip!! Andiko hili linatia faraja sana ukilisoma na kama litajidhihirisha kwa matendo ila unapokuja kugundua na kuona kihalisia ni ngumu kulifanyia kazi kwa vitendo na kiroho inaumiza na inakatisha tamaa,labda mimi ndio sielewi ila mwenye ufahamu anifungue kwenye andiko hili. Mimi binafsi...
  8. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni kujiandaa kuoa mke wa mtu

    Ndugu zangu. Tuendelee kukumbushana kwamba kuoa mwanamke mwenye mtoto ( Single maza) ni kujiandaa kuoa mke wa mtu na siyo vinginevyo. Hapa duniani mpaka mwanamke aamue kuzaa na wewe maana yake anakupenda na anataka awe na kumbukumbu yako pindi utakapotoweka machoni pake kwa namna yeyote iwe...
  9. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke ana wajibu wa kuchangia kifedha ndani ya Ndoa?

    Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu mchango wa mwanamke kifedha ndani ya ndoa. Wengine wanasema ni lazima awe na mchango ili ndoa iwe na usawa, wengine wanaamini kuwa majukumu ya kifedha ni jukumu la mwanaume, huku mwanamke akihusika zaidi na malezi na uangalizi wa familia. Mimi binafsi naamini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

    Awe na sifa zifuatazo Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30 Awe Mkristo Awe tayari kupima hiv Awe anaishi dar es salaam Elimu bachelor ya kozi yeyote ile Sifa zangu Nina miaka 33 Kazi; duka kariakoo Sina mtoto Elimu bachelor
  11. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Wanaume kulegeza standards zetu ni chanzo cha ustawi na maadili ya jamii kuporomoka.

    Wanaume tukipuuzia suala la kuoa mwanamke bikira, wanawake hawawezi kuona umuhimu wa kujitunza kwa sababu wataamini wakishamalizana na hoe phase kwenye maisha yao mwanaume yoyote atawapokea hivyo hivyo na damages zao. Women lost their dignity because in our current generation there are no...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

    Haina haja ya salamu watu tupo busy. Mwaka huu sehemu flani katika mizunguko yangu nilikutana na dada mmoja mzuri sana kwa sura na figure. actually nilikutana naye kwenye Dispensary yake yeye ni Daktari Hosp moja kubwa hapa nchini. kisha akafanikiwa kuanzisha Disp yake. Ni mdada mrembo na...
  13. Carasco Putin

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ambae hutumii kilevi chochote,nakusalimia

  14. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Madhara Ya Bawasiri Kwa Mwanamke

    Bawasiri ni ugonjwa unaotokea pale ambapo mishipa ya damu kwenye eneo la haja kubwa huvimba na kusababisha maumivu, muwasho, au kutokwa na damu hasa wakati wa kujisaidia haja kubwa. Bawasiri hujulikana kwa kitaalamu kama Hemorrhoids. Bawasiri inaweza kutokea ndani ya rektamu (bawasiri ya ndani)...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikwambia vaa condom, usikatae

    Mwanamke akikwambia vaa condom usikatae na muheshimu sana.
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RPC Ruvuma: Mwanamke Aliyekutwa Ofisi za TANESCO Hana Uhusiano na Uchawi, Ana Tatizo la Akili

    Hali ya gumzo imetanda kwa baadhi ya Wananchi wa Manispaa ya Songea mjini Mkoani Ruvuma baada ya Mwanamke mmoja katika Ofisi za Shirika la Umeme TANESCO Mkoani humo akiwa hana nguo huku baadhi ya Mashuhuda wakisema alianguka na ungo wa kichawi wakati akipita juu ya Ofisi hizo. Soma Pia: Apata...
  17. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike kuboresha urafiki wa msichana na mvulana/ mwanamke na mwanaume?

    Binafsi nimewahi kuwa na marafiki wa kiume kadhaa katika ukuaji wangu, lakini waliishia kunitaka kimapenzi kisha urafiki ukafa hapo. Je, kuna haja ya kuwa na urafiki wa hizi jinsia mbili? na nini kifanyike kuulinda huu urafiki uendelee kuwa urafiki na siyo maswala ya mahusiano ya kimapenzi?
  18. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Sioni mantiki yoyote mwanamke asiekuwa mwenzi wako wa ubani eti utumie zaidi ya tsh 10,000 kupata penzi lake

    Yani mnapangiwa bei utafikiri anakuja yuko sealed wakati anakuja huku amekuwa fabricated siku nzima na anakutungia hisia kuwa umemuweza alafu baada ya wazungu kushangilia, unavaa zako suruali huku umepanda dala dala unajiuliza na kujilaumu was it worth it kutumia 50,000? Economic value ya kitu...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Mwanzo na kikongwe zaidi duniani kilianza kama madrasa ndani ya msikiti. Kipo Afrika na kilijengwa na mwanamke

    Madrasa ndio mfumo mkongwe zaidi wa kutoa elimu ambao umedumu kwa karne kadhaa kabla hata Ulaya hawajajua kusoma na kuandika na Marekani haijajulikana kuwepo kwenye uso wa dunia. Katika kufuatilia historia ya ukuwaji elimu utapata kujua kuwa chuo kikuu cha mwanzo duniani ni kile kilichoanzia...
  20. KarugendoTz

    JamiiForums Tanzania Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi?

    Je wajua? Yakwamba mwanamke au mchumba hataki kufanywa kama kuku au mbuzi? Hawapendi kudandiwa pale mwanaume unapotaka kufanya tendo na mkeo au mchumba usijaribu kumdandia bila kumuandaa mwanaume weka vikolezo koleza kwanza Mbusu. Nyonya ulimi lips. Maskio lamba shingo nyonya matiti papasa...
Back
Top Bottom