mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Taja sababu iliyokuharibia ukashindwa kuwa na mahusiano na mwanamke uliyompenda kwa dhati

    Hapo vip!! Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa. Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka...
  2. JamiiForums Tanzania Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar

    Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) nchini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) ilipata heshima ya kipekee ya kuwa mwenyeji wa Mshindi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna namna fulani hivi nyakati hizi za kisasa u-kidume umekuwa bedazzled hata dogo uliemuona leo mtaani kesho unamuona ananyanyua vidole mitandaoni.

    Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara. Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke hata miezi sita hatujafika na ashaanza kunipiga vizinga

    Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu...
  5. JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke

    Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho ◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁 ◇ Masufuri na vyombo vya kupikia vipo vingapi? ◇ Mapazia ya mlangoni na dirishani yapo mangapi?? ◇ Mapambo...
  6. JamiiForums Tanzania Kuendelea kuishi na mwanamke ambaye anazaa nje ya ndoa akiwa ndani ya ndoa ni kujipunguzia life expectancy kwa mwanaume

    Nashangaa huko Instagram mwanamke anajitapa kuzaa inje ya ndoa watoto watatu halafu ndani ya ndoa mtoto mmoja Nini hiki wakuu mbona hatari sana. Najiuliza inakuwaje wanaume uendelee kuishi na mwanamke ambaye amezaa inje ya ndoa watoto wote hao au ni limbwata hilo Nini 🤣🤣🤣, Tatizo SS wanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume akimwaga nje mwanamke anaweza kupata mimba?

    Kumwaga Nje: Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo: 1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu. Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume hata life likipiga u-turn usikubali kukaa kwa mwanamke

    Ushauri wangu kwa wanaume: hata maisha yakuchapa vipi, usikubali kukaa kwenye nyumba ya mwanamke wako Hata kama anakupenda kwa dhati, ipo siku utakumbushwa kuwa si kwako Jitahidi ujipange, hata kwa kidogo, ili ujenge heshima yako na nafasi yako kama mwanaume Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa cha...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa awe HIV+

    Habari Mimi ni kijana mwenye miaka 30 Sifa zangu: Rangi: Mweusi sio sana Kimo: Mrefu wastani Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech Kazi: IT Support (Sekta Binafsi) Mkoa kuzaliwa : Geita Kuishi: Arusha Dini: Mkristo Mwanamke sifa zake 1. Asiwe mfupi sana awe na kimo cha kawaida. 2.Awe...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Karibu PM / Inbox nikupe namba
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam

    Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo. Kwa maelezo zaidi njoo pm
  12. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke ambaye wazazi wake walishatengana ila bado wanaishi

    Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao Haya ndiyo aliyoyasema...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli mwanamke anaweza akawa na mimba hadi miezi 3 bila kujua???

    Naombeni elimu hapa ndugu zangu” hivi inawezekana mwanamke akawa na Mimba mpka ikafika miezi mitatu na asiwe anajua”??? Kwa hili nimechoka akili.
  15. JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke anayekunyima unyumba

    Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini Mbaya zaidi kaninyima...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanamke Bilionea pekee kutoka Tanzania

    Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali In 1971 she married late Reginald...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke

    Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28, nipo mkoa wa Dar es salaam - Mbezi, Nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo..... Njoo inbox / PM
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanamke

    Mimi ni mwanaume, Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28 nipo dar es salaam nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo, nicheki PM kwa namba ya simu nikupe
  19. M

    JamiiForums Tanzania Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

    RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam. Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa wachina wembamba wa mwanamke ndio urembo

    🇨🇳 Kwa Wachina, Urembo wa Mwanamke ni Wembamba Wake... Katika jamii ya Kichina, wembamba ni ishara ya uzuri wa mwanamke 👩‍🦰✨ Huyu hapa ni mmoja wa wanawake wanaochukuliwa kuwa mrembo zaidi nchini China — anasifika kwa sura yake ya kupendeza 💫 na umbo lake linaloendana na vigezo vya urembo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…