''Ukiwa nae huyo huyo tu Mmoja ndani ya Siku 91 ukiwa nae utaanza Kumchoka na kumuona wa kawaida ila ukiwa na mwingine wa Pili utakuwa na muda wa Kujigawa katika kuwa nao Kimapenzi na hii itakufanya Usiwachoke bali sasa uwe unatamani kupata Vitu vipya kutoka Kwako kwao ni lazima tu wakishajijua...
Hapo vip!!
Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa.
Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka...
Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar
Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) nchini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) ilipata heshima ya kipekee ya kuwa mwenyeji wa Mshindi wa...
Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio.
Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv.
Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo.
Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara.
Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
Wajuvi wa mambo ya mahusiano yaani mwanamke hata miezi sita hatujafika lakini yeye annaza kunipiga vizinga mara nitumie pesa ya vocha,mara nitumie laki moja niongezee nikanunue simu yaani kutwa vizinga kwa kwenda mbele na hapo hata sijamuoa yaani ni matter ya uchumba tu tena distance love tu...
Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho
◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁
◇ Masufuri na vyombo vya kupikia vipo vingapi?
◇ Mapazia ya mlangoni na dirishani yapo mangapi??
◇ Mapambo...
Nashangaa huko Instagram mwanamke anajitapa kuzaa inje ya ndoa watoto watatu halafu ndani ya ndoa mtoto mmoja Nini hiki wakuu mbona hatari sana.
Najiuliza inakuwaje wanaume uendelee kuishi na mwanamke ambaye amezaa inje ya ndoa watoto wote hao au ni limbwata hilo Nini 🤣🤣🤣,
Tatizo SS wanaume...
Kumwaga Nje:
Ndiyo, mwanamke anaweza kupata mimba hata kama mwanaume akimwaga shahawa nje ya uke. Hii ni kwa sababu kuu zifuatazo:
1) Majimaji Ya Mwanzo (Pre-Cum) Yanaweza Kuwa Na Mbegu.
Kabla ya mwanaume kufika kileleni, hutoa majimaji ya awali (yanayoitwa pre-ejaculate). Haya majimaji huweza...
Ushauri wangu kwa wanaume: hata maisha yakuchapa vipi, usikubali kukaa kwenye nyumba ya mwanamke wako
Hata kama anakupenda kwa dhati, ipo siku utakumbushwa kuwa si kwako
Jitahidi ujipange, hata kwa kidogo, ili ujenge heshima yako na nafasi yako kama mwanaume
Mwanaume anatakiwa kuwa kichwa cha...
Habari
Mimi ni kijana mwenye miaka 30
Sifa zangu:
Rangi: Mweusi sio sana
Kimo: Mrefu wastani
Elimu: Bachelor Degree ya Information Tech
Kazi: IT Support (Sekta Binafsi)
Mkoa kuzaliwa : Geita
Kuishi: Arusha
Dini: Mkristo
Mwanamke sifa zake
1. Asiwe mfupi sana awe na kimo cha kawaida.
2.Awe...
Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.
Karibu PM / Inbox nikupe namba
Natafuta rafiki mwanamke nipo Dar es salaam, Mbezi ,wakupiga nae stori, mambo ya maisha..n.k. jinsia wa kiume, Nina umri wa miaka 28,dini Mkristo ,Mimi ni fundi mitambo.
Kwa maelezo zaidi njoo pm
Leo nimepita kijiwe nongwa nikakutana na mzee mmoja aliyekuwa akitoa maoni yake kwa hasira juu ya vijana ambao bado hawajaoa, Alikuwa na mtazamo mkali lakini wa kusisimua kuhusu mahusiano, na alisisitiza kuwa anazungumza kwa msingi wa uzoefu wa maisha na umri alionao
Haya ndiyo aliyoyasema...
Nitajieni dawa mujaribu ya kukomesha hii tabia ya huyu mwanamke alieanza kuninyima unyumba
Ni binti wa miaka ya 2000 namlisha mamvisha na kumhudumia kwa kila kitu
Hivi karibuni nimegundua kuna jamaa anachat nae sana hadi mwanamke kaanza kuwa na kiburi cha chini chini
Mbaya zaidi kaninyima...
Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali
In 1971 she married late Reginald...
Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28, nipo mkoa wa Dar es salaam - Mbezi, Nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo..... Njoo inbox / PM
Mimi ni mwanaume, Natafuta rafiki mwanamke nina umri wa miaka 28 nipo dar es salaam nina stashahada ya ufundi mitambo, dini Mkristo, nicheki PM kwa namba ya simu nikupe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.