mwanamke

  1. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Life Lesson: Usifanye deal na Mwanamke

    Kwema wakuu? Leo, nimepata tukio moja la masuala ya hela ambalo nilifanya na mwanamke mmoja, kazi imekamilika, zimeanza ngonjera. Hili ni tukio la Nne maishani mwangu, so nimejifunza, usifanye deal na mwanamke. NEVER.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanamke wako au Mkeo ana hizi tabia zilizosemwa hapa jua unatakiwa Uachane upesi sana kabla mambo hayajaharibika na umtafute anayekufaa

    Na Wanawake wenye hizi tabia wanatoka sana katika haya Makabila tajwa.... 1. Wahaya 2. Wanyiramba 3. Waha 4. Wanyaturu 5. Warangi 6. Wakara 7. Wanyamwezi Huwezi kukuta Mwanamke kutoka Mkoa wenye Wanawake wenye Adabu na Nidhamu Tanzania nzima kama wa Mara (Musoma)
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kuoa napata hofu, wasiwasi,kutojiamini na uchoyo(Ego)pamoja na kukosa mwanamke bikra

    Sijui nifanyeje aisee na inavyoonesha nikiendelea hivi nitaendelea kuwa bachelor aisee japo mie ni tajiri na half milionare lakini bado nakumbwa na hofu, wasiwasi,na kila aina ya matatizo nimeshindwa cha kufanya na ukiangalia umri unaenda na nakaribia third floor sasa napata wanawake na...
  4. BradFord93

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mbinafsi hua mnaishi nae vipi??

    Kuna mwana mmoja dereva wa bajaj, sasa kuna usiku mmoja alikesha ila biashara haikuwa nzuri. Asubuhi mkewe anataka hela ya pampas, akamwambia kama ana kaakiba akanunue, ila mchana akiingia mzigoni atampa, demu kakomaa ila jamaa akambembeleza, baadae akamfunga mtoto vikanga. Sasa mwana siku...
  5. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Aina za single mother

    1. Single mother mjane. Baba mtoto amekufa. Hajatalakiana nae, hajakimbia, isipokua amekufa. Huyu mwanamke hajachagua kuwa single mother, maisha yamemlazimu. Kuna heshima jinsi anavyoubeba huo mzigo. Anapambana vita ambayo hajaianzisha na bado anailinda heshima yake. Huyu ndie single mother...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekupenda hatakuomba pesa kila wakati

    Simple Research ushawahi kuwa na pisi inayokuelewa to the maximum compared na pisi unayoilewa wewe when it's comes to money Mwanamke anayekupenda hawezi kuwa msumbufu wa kupiga vizinga na kama atakupiga kizinga basi jua kweli amekwama you need to support her. Mwanamke anayekupenda yupo tayari...
  7. proton pump

    JamiiForums Tanzania Wanawake wangekuwa na uwezo wa kuumba wanaume wao wangewaumba. Ulimwengu wa sasa kuna vita kali sana kati pesa na mwanamke

    Wasaalam wanajukwaa nina imani mna afya njema. Kadri miaka inavyoenda, karne, kizazi kubadilika ndivyo binadamu hubadilika. Nirudi kwenye mada..... Wanaume wanazidi kupungua sana duniani kutokana na sababu mbalimbali kv; magonjwa, kazi ngumu, mawazo, vita ajali, migogoro, malezi n.k. nimeandika...
  8. Bueno

    JamiiForums Tanzania Nimeapa kiapo cha KIFO sitokuja nimuogope Mwanamke katika Maisha Yangu

    Wakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao. Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je kuoa mwanamke aliyesoma sheria linaweza kuniletea madhara siku Za mbeleni?

    Wakuu, tupeane uzoefu kwa walio wahi kuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu na wanawake waliosoma sheria Mapungufu yao yapo wapi🤔 Je mwanamke akipata kazi hawezi kunisaliti na kutaka wenye elimu zaidi phds na maboss? Vipi kuhusu ujuaji ndani ya family? Vipi ikitokea nimetumia mabavu na ukali...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe mwanamke hafai kupewa uhuru kamili ndani ya nyumba?

    leokunasehemu nimeshinda nimerudi saamoja jioni nakuta nyumba iko pekeyake shemeji yenu hayupo😐 nimesubiri hadi saa tatu ndio akarudi nimekasirika kishenzi. Namuuliza umetokawapi haeleweki nimempiga vibaya sana nakesho namtimua nyumbani kwangunilitaka nimuone nimeahirisha hilozoezi sijui...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dhana ya viti maalum na nafasi ya kweli ya mwanamke kwenye siasa

    DHANA YA VITI MAALUM NA NAFASI YA KWELI YA MWANAMKE KWENYE SIASA Wakati huu ambapo TANZANIA inajivunia kuwa na viongozi wa ngazi ya juu kabisa ambao ni wanawake – Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Mheshimiwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson – tunapaswa kujiuliza kwa dhati: je, bado kuna...
  12. Satoh Hirosh

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Temeke: Uhuni, defender za polisi hadi kunusurika kuuawa kisa mwanamke

    Hii ni series ya matukio yaliyotokea miaka ya 2010-2013. Ni mtiririko wa matukio ya ujasiri,kushangaza,kufurahisha na kusikitisha. Maisha ya watoto wa Temeke. Miaka hii ilikuwa ndiyo mwisho mwisho wa uhuni uliokithiri wa watoto wa Temeke. Bhangi,wizi,mauaji, kukimbizana na defender za polisi...
  13. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 20 ukimkuta Bikra huyo ni Wife material. Muoe. Usikubali kuoa mwanamke asiye na bikra

    coscated uliniita. Acha nikupe ushauri kabla sijarudi chimbo. Bikra ndio nembo ya tabia njema ya mwanamke. Ukipata binti wa miaka 20 kuendelea mwenye bikra huyo ni Wife material, muoe. Kelele za mahusiano utazisikia kwa wengine. Bikra Matter
  14. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyewahi kuwa mbunge, inakuwaje tena anataka kurejea bungeni kwa kiti maalum cha wanawake?

    Huenda nchi hii kuna utaahira wa kiwango cha juu kuwahi kutokea, kuanzia kwa wagombea mpaka kwa viongozi wanaopitisha wagombea. Hilo chaka la viti maalum ni mfano hai. Kama hujui tu, zaidi ya nusu ya wabunge wa viti maalum unao waona bungeni basi tambua tu, wanawake wale waliwahi kuwa wabunge...
  15. Kitwango Mikazo Miguno

    JamiiForums Tanzania Ishi na mwanamke kiakili

    TRUE STORY. Maisha hua yanatupa fundisho sana lakini hilo fundisho huwezi jua utalipata lini na wakati gani kwa muda gani. Back then wakati niko chuo mkoa X kuna baridi kinyama sana huko sasa wakati ule nilikua playboy sana hivyo sikuwahi kuumia na mapenzi kabisa na niliwahi sema aah mapenzi...
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  17. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu

    Huu ni utafiti wangu binafsi naomba mwenye pingamizi aje kwa comment. Asanteni Kilio unachosikia wakati mwanamke ameumizwa au ana uchungu ndio sauti hiyo hiyo utaisikia akiwa anafanya mapenzi tofauti ni volume tu
  18. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mimba

    This is very interesting for me Nimejikuta kwenye deep love na bint mwenye ujauzito wa miezi minne. Ila anasema mwenye mimba amekataa kwasababu alikuwa anataka mwanamke aitoe..so kwakuwa mwanamke amekataa kuitoa basi hataki mimba. Wakuu nataka kujitolea kukilea hiki kiumbe, kinawezekana kuwa...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Akumbuka Shambulio la Sindano Katika Tamasha la Muziki Ufaransa

    Ilikuwa yapata saa 7:30 usiku, baada ya umati kupungua mitaani mjini Bordeaux, ndipo Manon alipohisi kudungwa na sindano kwenye mkono wake. “Mtu alinipiga kidogo kwenye mkono wangu wa kushoto. Nikaanza kuhisi ganzi kwenye misuli, kama vile unavyohisi baada ya kupata chanjo. Baada ya takriban...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mwanamke akianza ujeuri katika ndoa

    Baada ya kuishi katika ndoa ndo nimejifunza kuwa ndoa ni sawa na mashindano ya mpira kila team inapambana ili ichukuwe point 3 Mume na mke kila mmoja anapambana ili atawale mwenzake japo kuwa watu usema kuwa mke na mtii mume wake ukiingia katika ndoa inawezekana utii uo ukauona miezi miwili...
Back
Top Bottom