mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Namba 26: Mwanamke wa tatu, Fatma Kombo Masoud achukua fomu ya kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo ------ Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Siku zote Mwanamke asiyekutaka na aliyekuchoka atakuwa anakusumbua tu hadi Ukasirike kwakuwa anakuwa ameshamuona Mwanaume aliye sahihi Kwake Kiupendo

    MORRISON KUKATWA MSHAHARA: Yanga yatoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Bernard Morrison, yasisitiza kuwa ni mchezaji wao halali hadi Julai 2022, yasema itamkata shilingi milioni 1.5 kwenye mshahara wake kwa kosa la kufanya mahojiano na chombo cha habari kinyume na utaratibu. Chanzo: Azam TV...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

    Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu. Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni Siku moja nikapokea text messenger kutoka kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
  5. A

    JamiiForums Tanzania Chini ya jua, hakuna mwanamke mgumu. Mwanamke anayekukubalia kirahisi ni bora kuliko anayekuzungusha

    Nyota nzuri ya mahusiano mara nyingi huonekana mwanzo wa mahusiano, enyi wanaume wenzangu ukijichunguza vizuri, utagundua kuwa wale wadada uliowatongoza, halafu wakakukubalia haraka na wakakupa papuchi kirahisi, mara nyingi ndo walidumu na wewe kwa mda mrefu, kama mliachana bhasi, basi ni wewe...
  6. JamiiForums Tanzania China inavyopambana kumuweka mwanamke kwenye ngazi za juu za uongozi

    Mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu na uwezo wa kufanya chochote kile ambacho amedhamiria kufanya. Ndio maana wanasema ukimfundisha mwanamke mmoja ni sawa na kuifunza jamii nzima. Lakini ni wazi kwamba mwanamke yuko tofauti na mwanamme. Hata hivyo utofauti huu wa kimaumbile haufanyi iwe sababu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanamke kumkosoa mume wake/boyfriend?

    Habari. Moja ka moja kwenye maada, Ni sahihi mwanamke/mke/girlfriend kumkosoa mume wake/boyfriend anapokosea?. Mfano, mwanaume kamtumia mwanamke/mke wake text kwa lugha ya English. Hiyo text ikawa na makosa, sio ya bahati mbaya bali ni kwamba mwanaume hajui hiyo lugha vizuri. Mwanamke...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke acha kushiriki na Mwanaume wa aina hii

    Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia,unamfulia nguo, halafu kwa unampa na mapenzi moto moto unajikunja mwenyewe kwenye sex mtoto wa watu viuno feni mwenyewe na kilio juu cha mahaba unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka kuvunja mgongo hadi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado tunabagua baadhi ya mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke?

    Kwa mfano, mwanaume akiwa na umri mdogo kuliko mwanamke, au mahusiano ya kimwili tu si mapenzi (friends with benefit) au ukute ni kuwa partners pasipo na drama au mahusiano ya kimaslai (sugar dating) nk. Hayo mahusiano kwa hapa TZ yakitokea wahusika huonekana ni watu waajabu sana, issue kama...
  10. JamiiForums Tanzania Suala la mwanamke kuwa na marafiki wengi wa kiume limekaaje?

    Hivi nimeshakutana na watu kama watatu wakiliona suala la wenza wao kuwa na urafiki sana na wanaume kuliko wanawake. Kisingizio wanawake hawapendani. Nao wanaridhika kabisa Kuna kuwa kuna urafiki wa kawaida kweli? Au kuna urafiki wa kunufaishana?
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake tuambizane unapomkamata mume wako na mwanamke mwingine unachukua hatua gani?

    Iwe na maneno uliyoyasikia kwa muda mrefu, leo unawakuta bar wakitafuna nyama choma. Kuna wake wa Mikocheni wanafikiria hajulikani Mbagala, mara unamuona mume wako na taulo kiunoni anatoka kuoga tena kwenye nyumba ya choo cha ushirika. Utachukua maamuzi gani?
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Bunge lijalo tunamtaka mwanamke kijana

    Naomba nionyeshe mapendekezo yangu juu ya Spika ajae katika Bunge letu laJamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nadhani mwanadada Tulia Ackson anafaa kuwa Spika wa Bunge letu la JMT mwaka 2021. Ila angalizo akagombee Tukuyu au awe wa kuteuliwa kama alivyo sasa. Mbeya hapana Sugu bado heshima na...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke usimnyime sana haki yake ya mapigo ila mpe ukiwa huna hasira

    Nilisimulia kisa cha mimi kupigwa na wife na frying pan na remote jichoni. Wengi walinilaumu kuwa nilipaswa nimchakaze vibaya wife. Soma Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi... Sikushauri! Usimpige mwanamke ukiwa na hasira naye akiwa na hasira utamuua. Wanawake wenyewe hawa wa siku...
  14. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa mrejesho wa waliowahi kuoa Mwanamke mwenye mtoto

    Hapa uzi huu utasaidia wanaochumbia na wanaposa. Je, waliooa wanawake wenye watoto mnaweza kutupa mrejesho?
  15. JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Ndugu zanguni ni kweli pesa ina mvuto wa Mapenzi mpaka ikafikia kipindi mtu ukavutiwa kimapenzi na mtu flani kwa sababu ana pesa? Ni kweli pesa ni moja ya chambo katika mapenzi? Pesa unaweza ukaitumia kuvuta wapenzi wengi na wakakubali kutokana na pesa yako? Ni kweli pesa ina mvuto katika penzi...
  16. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Penzi la Mwanamke (The Power Of The Pussy)

    PDA-Mwanamama Kara King,aliandika kitabu cha ,If Men are Dogs ..This Is Animal Control. The Power Of The Pussy ,How To Get What You Want From Men:Love ,Respect ,Commitment ". Ukurasa wa 61 ,"Jinsia ya kike ni bidhaa ambayo haiwezi nunuliwa kama haina thamani, Unaweza kuweka jinsia ya kike...
  17. JamiiForums Tanzania Napomwona mwanamke mjamzito...

    Napatwa hamu sana, najua huwa wanakuwa na joto sana na wengine wanakuwa na nyege kinyama.... Sijafahamu huu ni ugonjwa au nini maana hali hii inanisumbua sana...nikimwona mja mzito natamani sana nipate nafasi ya kumgegeda.sababu napata uhakika huyu anagegedwa. Hili tatizo sijui nifanye nini...
  18. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    Jamani, girlfriend wangu anasumbuliwa sana na tatizo la maumivu kipindi cha bleeding, kwa wanaojua kama kuna tiba yoyote ambayo inaweza kumsaidia huyu binti, naombeni mawazo. Maana huwa anapata maumivu makali sana. Nawakilisha. Naombeni ushauri wenu wa kitabibu Asanteni WADAU WENGINE...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

    Natumai hamjambo wakuu Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa. Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…