mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu

    Usioe ama. Kuolewa. kukamilisha IBADA ya ndoa Italia WHY IT IS IMPORTANT TO MARRY A PRAYERFUL SPOUSE 1. God will teach him/her how to love you through prayer 2. God will reveal things concerning you to him/her for your welfare 3. She/he will nourish your prayer life 4. She/he will protect...
  2. JamiiForums Tanzania Huwa sivutiwi na mwanamke mwenye hizi tabia

    Nachukia mwanamke wa kupendea mtu kisa ana pesa nachukia sana tena sana. yaani unapendwa sababu una hali bora, Mwanamke wa hivi nawashauri wanaume muwe naye makini mimi binafsi inanitokea sana yaani kama nalala na bundi aiseee wanawake wote amna hata mmoja ambaye hajawahi kuniomba pesa at first...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke ajitosa kugombea urais Zanzibar kupitia CUF. Afanya idadi kufikia sita(6) kwa upande wa Zanzibar

    MWANAMKE AJITOSA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CUF. AFANYA IDADI KUFIKIA SITA(6) KWA UPANDE WA ZANZIBAR
  4. JamiiForums Tanzania Huu niliofanyiwa sio utapeli?

    Siku moja wikiendi nilitembelewa na rafiki yangu hapa mjini Mbeya akitokea wilaya ya Mwakyembe huko tukakubaliana tukutane Kiwanja kimoja hapa mjini kinaitwa Mwailubi. Lakini huyu rafiki alikuja na rafiki pia, tukakaa pale tukitupia moja baridi moja moto kifupi tulikuwa tunalipa kodi ya nchi...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwanaharakati

    MWANAMKE MWANAHARAKATI Na, Robert Heriel Siku hizi dunia imebadilika na kuchukua sura ya kisogo. Kumeibuka makundi ya watu wajiitao wanaharakati katika mambo mbalimbali katika jamii. Wanaharakati walikuwepo tangu kale, zamani za mababu na enzi ya enzi. Zamani wanaharakati walijipambanua kama...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke hakomolewi

    Baadhi ya wanaume hasa vijana wanapovunja mahusiano na wasichana/wapenzi wao huanza kuwatolea siri za ndani hasa maungoni na kuzitangaza hazarani kwa kudhani kuwa wakifanya hivyo watakuwa wanawakomoa na wanawake/wasichana hao hawatapata wapenzi wengine. Mfano waweza kukuta kijana wa kiume...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  8. JamiiForums Tanzania Ijue nafasi ya " Mwanamke Bikira" katika ulimwengu wa kiroho

    Every thing in the physical realm represents something in the realm of the spirit And every thing in the physical realm is connected band attached to something in the realm of the supernatural Na kila kitu katika ulimwengu wa damu ,macho na nyama kinawakilisha kitu Fulani katika ulimwengu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi humu JamiiForums kuna wanawake wenye roho mbaya kama huyu?

    Nimemuonea huruma sana huyu jamaa alichofanywa na huyu mwanamke wake wa zamani. Maneno aliyoambiwa nadhani yameacha vidonda vikubwa na kama akipona basi, itakuwa ni baada ya muda mrefu sana. Vijana wangu, sampuli za namna hii siyo nzuri kwa afya yako, zikimbie kila zinapojaribu kukukaribia.
  10. JamiiForums Tanzania DON NALIMISON ana matarajio ya KUOA Mwanamke wa aina gani na atatoka nchi gani?

    SITARAJII KUOA Mbunge Wala Waziri Wala Mkuu wa Wilaya au Mkoa Wala Katibu Tawala.Labda Kama kunizalia watoto au kunifariji kimahaba. DON NALIMISON, nitaoa Msanii mwenzangu ama Mwanamziki au Mwanamitindo kutoka Nchini Marekani au Uingereza au Miss kutoka Miss World. G9ty. JIPANGENI UPYA.
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu hupigwa ili upumbavu umtoke

    MWANAMKE MPUMBAVU HUPIGWA ILI UPUMBAVU UTOKE Na, Robert Heriel Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, wake zetu, shangaza na bibi zetu. Ni viumbe muhimu kwetu na dunia kwa ujumla. Wapo wanawake wa ina mbili naam aina tatu ambao wakiolewa huwa tafrani ndani ya ndoa; Mwanamke Malaya, mwanamke mchawi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Sifa kubwa ya mwanamke mdangaji

    Leo nataka ujue namna ya kujua mwanamke ambae anadanga. Yani ile umemfia ile mbaya unajitahidi kuhudumia lakini sasa hujui kama anadanga. Sifa yao kuu ni moja tu: UONGO. Sikiliza sana ulimi wao, sifa kubwa ya mwanamke mdangaji ni uongo na pretence.
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaetazamia kupata mwenza. Lets connect

    Salam wanajukwaa, Mimi sio mgeni sana wala mwenyeji sana hapa jukwaani ila napiga hatua mbele ili kuweka kusudi langu mbele yenu. Awali ya yote naamini kila jambo na wakati wake, kusudi na mandhari yoyote yaweza kua muafaka wa kukutana na kuendeleza urafiki au hata mahusiano ya kibiashara...
  14. JamiiForums Tanzania Aibu ya mwanamke wakati wa ujauzito husababishwa na nini?

    Jamani mshawahi kufanya utafiti wakati wa ujauzito wa wakinadada/mama. Wana aibu sana hasa ukimwangalia tumbo lake. Kwanini waone aibu wakati mimba ni Jambo la kawaida?
  15. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mwanamke akiwa katika Shock yoyote tu ile ni lazima ataanza Kublidi?

    Nini husababisha hii hali kwani sijaanza Kukutana nayo juzi, jana au leo kutoka kwa Wanawake ambao huwa nakutana nao hasa katika Matukio ambayo muda mwingine huleta Mshtuko kama Ajali au Taarifa za Misiba. Na kuna Mmoja nakumbuka akiwa Kanisani kabisa kwa Kutokuamini kuwa Siku hiyo alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rukwa: Mwanamke apigwa mawe hadi kufa kwa tuhuma za ushirikina

    JESHI la Polisi mkoani Rukwa linawasaka watu wasiojulikana kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga mawe, mwanamke aliyefahamika kwa jina la Maria Birika (40), mkazi wa Kijiji cha Myunga, Kata ya Mkali, wilayani Kalambo. Imeelezwa kuwa watu hao wamemfanyia kitendo hicho kwa kumtuhumu kujihusisha na...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kumkandamiza Mwanamke Mabao/Magoli mengi ndiyo kumtosheleza?

    Kuna Mtaalam Mmoja nimetoka Kumsikiliza muda si mrefu na alichokisema nimeamini kuwa kumbe Kukimbia Kasi siyo Kuwahi Kufika Uendako. Je, Kumkandamiza Mwanamke Mabao / Magoli mengi ndiyo Kumtosheleza kwa Kufika Kwake Kileleni au ni Ushamba na Kujichosha kama siyo Kujiumiza Mwenyewe?
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nimetembea na mwanamke bila kinga nahisi ni Mwathirika

    Ninaishi peke yangu inje ya nchi, Mke wangu yuko TZ na tuko lockdown hakuna kutoka wala kuingia, jumanne alinitembelea binti mmoja nikajikuta nagonga dry. Kesho yake nilipomlazimisha tukapime alikata katakata, ikabidi jana Jumamosi nikanunue vipimo vya UKIMWI nijipime mbele yake kumshawishi ili...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke atuhumiwa kuwaua wanaye kwa sumu

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Beatrice(42) amewaua wanae wanne kwa sumu, Mjini Naivasha Kenya. Watoto hao ni wana umri kati ya miaka miwili hadi minane Imedaiwa ya kuwa mwanamke huyo alikuwa amesimamishwa kazi kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali, NGO mjini humo miezi miwili iliyopita...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

    Kuna watu kama wanne hivi wa karibu ninaofahamiana nao, hao wanaume aisee wako vizuri kifedha, wana nyumba wana magari mazuri ya kutembelea na biashara wanazo zinazowaingizia pesa mingi. Sasa kinachonishangaza ni kuwa hao wote wana-struggle kupata wadada wa kuwa nao kwenye mahusiano, pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…