mwanamke

  1. Mwanamke uliyeachana nae 'Kiugomvi ' katika Mahusiano yenu, Siku akipata mtu wa kumuoa na akikuletea kadi ya Mwaliko huwa anawaza nini kati ya haya?

    Je, huwa anakuwa... 1. Anakukoga ( Anakuringishia ) kuwa umeanika watu Wameanua? 2. Anakuambia kuwa bado anakupenda ila huyo Boya anayemuoa kaingia tu Mkenge kwake? 3. Anakualika uje umshuhudie Mwanaume wake mpya 'anayemsuuza' vizuri Kitandani? 4. Anakuwa anataka tu Kukudhalilisha...
  2. A

    Mwanamke kukubana au kukuvutia kwake wakati wa sex

    Wanawake wakati wa sex kuna muda inafika anakubana na miguu pamoja na mikono yake hadi unashindwa kupump in and out huku akitaka uzamishe hadi pumbu wakati mwingine akisindikiza na sauti ya mahaba "hapo hapo".pale ni kusema kwamba mmefika kileleni, mnakaribia au uhondo umezidi na kilele unakiona...
  3. J

    Natafuta mwanamke aliye serious kwa maisha

    Habari wanajamii wenzangu, nimeona leo nami kuweka hitaji langu kwenye forum. Mimi ni mtanzania mkristo umri 33 na kwasasa nipo mkoa was tabora najitokeza kutafuta mwanamke ambaye mbeleni atakuja kuwa mke na mama watoto wangu, sina ubaguzi wa dini wala rangi lakini umri ningependelea angalau...
  4. Angalia huyu mwanamke

    Wanawake wengi wanataka wanaume ambao tayari wana kila kitu ili waweze kuingia ndani na kuwa na maisha rahisi, lakini angalia huyu mwanamke.
  5. Kweli katika hii dunia,mwanaume bila mwanamke hajakamilika

    Nipo hapa ugenini naona masaa hayaendi kabisa. Naona kinywaji kichungu, naangalia kulia, kushoto,mbele, nyuma sioni kifaa matata. Na baridi hii kujikunja mwenyewe ni kutokuitendea haki uumbaji wa muumba. Najaribu kuwapigia makoloni yangu ya zamani angalau wanipe maneno matamu ya...
  6. Mambo yanayoweza kugusa moyo wa mwanamke

    WANAUME wengi wanaamini wanawake, kwa kawaida, ‘wanapenda hela.’ Kwamba ukiweza kumhakikishia mwanamke 'uhakika wa kiuchumi' unakuwa umemaliza. Ingawa hatuwezi kupuuza ukweli kuwa uhakika wa 'kiuchumi' ni moja wapo ya mahitaji ya mwanamke, lakini si sahihi kuamini kuwa moyo wa mwanamke unaweza...
  7. Ukimfanyia hivi mwanamke mpenda hela wallah hatakusahau

    Katika mizunguko yako ikiwa umeonana na mwanamke nawe ukajiongeza juu yake. Mwanamke naye akaamua kujiongeza juu yako kwa kukufanya ATM machine huku akikizuga kwa vimeseji vya I love you na wakati mwingine hata kukutumia picha zake za ndani ilimradi tu ukamilishe muamala. Huyo demu muhuni...
  8. M

    Mwanamke serious wa kuoa

    Kwa hakika upweke ni mbaya sana unaweza jikuta unajinyonga ndani Peke yako, ninatafuta mwanamke umri kuanzia 20 mpka 28 , awe anajielewa na anapenda kujishughulisha, ila awe tayari kuhamia kwangu tuishi . Mimi vigezo vyangu nina umri Kati 25-29, dini mkristo, makazi dar es salaam, kipato kila...
  9. Simulizi ya mwanamke anayekabiliana na ugonjwa uliobadili muonekano wake

    Farah Khalek ni mwanamke mwenye miaka 33 kutoka nchini Kenya, kama wanawake mwingine wa umri wake mwenye ndoto kubwa katika maisha yake. Licha ya kuwa anakabiliana na ugonjwa wa ngozi ambao umebadilisha muonekano wake wa sura kabisa. Ugonjwa huu unajulikana kama Scleroderma. Farah Khalek...
  10. T

    Nachukia sana mwanamke anayetoa mimba

    Binafsi kuna wanawake nimewahi date nao na wametoa mimba yangu Wa kwanza niliishi nae kama mke pindi nimemaliza chuo nilimpata field then nikamsaundisha akanikubalia, tulikuwa tukitumia condom mara nyingi wakati wa kugegedana but tulikuja acha baada ya kupima. Alivyopata mimba hakuniambia ila...
  11. Mwanamke na mbio za sakafuni

    Mwanamke akiwa na umri wa miaka 13 ukimwambia "Mambo? Atakujibu safi shikamoo Mwanamke akiwa na umri wa miaka 15, ukimwambia "Mambo? Atakujibu powa vipi? Hapo ameshaanza kuelevuka hata shikamoo anaiona ni mzigo Mwanamke akiwa na umri wa miaka 18, ukimwambia "Mambo! Atakujibu safi tu huku...
  12. Kutoka JamiiForums: Kliniki ya Kidigitali Maalum kwa Wanawake katika kumsheherekea Mwanamke

    Habari Wakuu, Siku ya kusheherekea siku ya Mwanamke duniani, inahusu si wanawake tu, bali hata wanaume pia. Hii ni siku maalum ya kila mwanadamu kutambua umuhimu na nafasi ya Mwanamke kwa kumwangalia kama mwanadamu na si kwa vigezo vya sifa ya kuzaliwa Mwanamke. Na kwamba anastahili haki na...
  13. Mfano wa sura ya mwanamke pale anapopewa taratibu halafu puta na kukanyagiwa mafuta

    Darassa kamshirikisha Sho Madjozi wa South Afrika ambaye ameishi kwa muda Tanzania pia kwenye ngoma 'I like it.' Sura ya mwanadada, Madjozi, inabadilika wakati wa kupelekwa taratibu na then puta na kukanyagiwa mafuta (angalia kati ya around 1:59 na 2:04). Maswali, ili ni somo kwa wanadada namna...
  14. Kabla ya kuoa kuwa makini na hawa watu

    Kimemkuta jamaa fulani uko, kafunga ndoa na binti, kumbe binti anamchezo mchafu wa kutoa 0713, kizazi hiki kabla ya ndoa, hakikisha unafanya inspection ya mbele na nyuma, sina maana ushiriki uko nyuma, lakini jilidhishe mtu unaye mchukuwa vipi uko nyuma. Jamaa kaenda round about kwa baati...
  15. Je, ni kweli kwamba zifuatazo ni dalili Kuu kabisa za Mwanamke anayeingiliwa na Mwanaume Kinyume na Maumbile?

    1. Hujamba jamba sana bila mpangilio ila huwa kunakuwa hakuna Harufu ya Kukera. 2. Akikaa iwe katika Kochi au Kitu hupenda Kujibinua na hawezi kutulia kwa muda mrefu. 3. Ukiwa nae Faragha Kufanya tendo la Ngono hupenda Kulalia Maziwa na hawapendi Mende Style. 4. Wanapenda mno Kuongea kwa Kubana...
  16. Getrude Mongella: Ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake

    BALOZI Getruda Mongela, amesema ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume katika chaguzi mbalimbali kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake. Akizungumza jana katika mkutano uliowakutanisha viongozi wanawake nchini, Balozi Mongela alisema siku ambayo Bunge...
  17. Julian Peters: Mwanamke aliyezaliwa bila uke wala mfuko wa uzazi

    Julian Peters ni mwanamke wa miaka 29 aliyezaliwa na ugonjwa unaojulikana kama (MRKH) Mayer-Rokitansky-Küster-Hauser, huu ni ugonjwa unaoathiri sana wanawake na hasa kizazi cha mwanamke. Hali hii inamaanisha kuwa Julian alizaliwa bila mfuko wa kizazi. "Hali hii ninayoishi nayo inachangamoto...
  18. Kuitwa Mke kwa mwanamke ni heshima iliyotukuka

    Kuitwa mke au mrs fulani ni heshima kubwa na iliyotukuka sana kwa mwanamke. Kuna wanawake wengine wanadirika hata kusema kuwa hata kama bwana hachangii chochote katika malezi ya familia nyumbani lakini linapokuja suala la kuitwa mke wa fulani ni heshima kubwa sana kwa mwanamke hasa katika jamii...
  19. Mwanaume mmoja nchini Nigeria amjeruhi vibaya mkewe baada ya vipimo vya DNA kuonesha kuwa watoto wao watatu sio wa mwanamme huyo

    Mwanamke mmoja huko Nigeria amechakazwa vibaya na MTU anayedhaniwa kuwa ni Mme wake baadaya kutokea hali yenye utata dhidi ya watoto wao. Mwanaume huyo tajiri na mfanyabiashara alikuwa na mpango wa kuhamisha family yake kutoka Benin kwenda Canada ndipo ubalozi wa NCHI hiyo Ulipohitaji Vipimo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…