Natafuta mwanamke aliye serious kwa maisha

James Mwidoro

Member
Aug 22, 2016
70
91
Habari wanajamii wenzangu, nimeona leo nami kuweka hitaji langu kwenye forum.
Mimi ni mtanzania mkristo umri 33 na kwasasa nipo mkoa was tabora najitokeza kutafuta mwanamke ambaye mbeleni atakuja kuwa mke na mama watoto wangu, sina ubaguzi wa dini wala rangi lakini umri ningependelea angalau awe miaka 30 kurudi chini.
Kwa yule aliyeserious tuwasiliane DM.
Ahsante
 
Kwa bahati mbaya jf hakuna aliyeko serious mkuu labda ujaribu fb
 
Habari wanajamii wenzangu, nimeona leo nami kuweka hitaji langu kwenye forum.
Mimi ni mtanzania mkristo umri 33 na kwasasa nipo mkoa was tabora najitokeza kutafuta mwanamke ambaye mbeleni atakuja kuwa mke na mama watoto wangu, sina ubaguzi wa dini wala rangi lakini umri ningependelea angalau awe miaka 30 kurudi chini.
Kwa yule aliyeserious tuwasiliane DM.
Ahsante
Kwanza Mkuu James Mwindoro ungetoa kabisa na time limit lakini kusema tu atakayekuwa .ke wako hapo mbeleni unawachanganya walioko serious. Wewe mwenyewe hauko serious. Sema nataka mtu wa kuoa ndani ya miezi sita au mwaka mmoja. Waliko serious wana time frame na mipango ya kueleweka. Hapa tunao wasichana wazuri tu na wako serious watajitokeza.

Asante.
 
Ahsan kwa marekebisho mkuu , kusema mbeleni nadhani bado inaeleweka kwasababu angalai mpaye walahu miezi mitatu hadi sita ya kutambua vema, ofcoz nisongekiwa serious pia ninhesema natafita msichana wa kutoka nae bit am more than that
 
Good
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom