Kweli katika hii dunia,mwanaume bila mwanamke hajakamilika

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,345
40,219
Nipo hapa ugenini naona masaa hayaendi kabisa. Naona kinywaji kichungu, naangalia kulia, kushoto,mbele, nyuma sioni kifaa matata. Na baridi hii kujikunja mwenyewe ni kutokuitendea haki uumbaji wa muumba.

Najaribu kuwapigia makoloni yangu ya zamani angalau wanipe maneno matamu ya kunifariji...hawapatikani. Kweli katika hii dunia,mwanaume bila mwanamke hajakamilika.
 
Pesa ndo kila kitu.

Hapo ulipo ungekuwa huna pesa wala usingewaza mwanamke, tafuta pesa mkuu.
 
Mkuu Corona vipi hata haiwazii Ama ndo unaishi kwenye ule msemo wetu wa kishujaa kuwa "Mbongo kufa kisa mafua na kikohozi Ni uzembe wa kiwango Cha SGR".

Nakutakia tamaa njemaa mkuu.
 
Nipo hapa ugenini naona masaa hayaendi kabisa. Naona kinywaji kichungu, naangalia kulia, kushoto,mbele, nyuma sioni kifaa matata. Na baridi hii kujikunja mwenyewe ni kutokuitendea haki uumbaji wa muumba.

Najaribu kuwapigia makoloni yangu ya zamani angalau wanipe maneno matamu ya kunifariji...hawapatikani. Kweli katika hii dunia,mwanaume bila mwanamke hajakamilika.
Mkuu mchanganyiko wa Kvant na enegy drink sio mzuri hali kama hiyo lazima ikutokee..... I bet unapoendelea wote utawsona warembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Corona vipi hata haiwazii Ama ndo unaishi kwenye ule msemo wetu wa kishujaa kuwa "Mbongo kufa kisa mafua na kikohozi Ni uzembe wa kiwango Cha SGR".

Nakutakia tamaa njemaa mkuu.
ha ha ha hilo ni janga la dunia
 
Back
Top Bottom