Mwanamke anaanza kukupenda kitandani

Namba 26

JF-Expert Member
Oct 15, 2018
309
917
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.

Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.

Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.

KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.
 
Kuna upendo wa dhati tena siku hizi?

Wengi wameshageuka nilipe nisepe tu.

Mapenzi yalikuwa na enzi zake.

Ingawa nakiri kuna baadhi yao bado wana mapenzi ya kweli ila ni wachache sana.
Ni ukweli kabisa ndio maana sasa hv Mwanaume akiwekeza kwa mwaananamke jamii inamdharau!!

By the way Habari za hapa Nyumbani chuga! Nafurarhi kuona bado Upo JF
 
IMG-20210311-WA0003.jpg
 
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.

Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.

Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.

KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.
Anayeanzia kukupendea kitandani huyo ni MALAYA wa ngono tu,hamna definition nyingine.
 
Mawazo ya vijana 20-30, mwanamke kwao ni ngono tu . Kuanza nae uhusiano ili wafanye ngono, wanafunga ndoa sababu ni ngono n.k ndoa zitadumu vipi sasa,?
Sure.Nilichokuja kugundua ni kwamba kuna tofauti kubwa sana kwa kijana kabla hajaoa na akiwa ameoa in terms of mindset. Familia huja na majukumu mengi sana ambayo huitaji uongozi,busara,na maarifa hvyo huwezi kumkuta mtu mwenye majukumu anawaza ngono muda wote.
 
Ada, kodi, chakula, mavazi, usafiri, Afya, ulinzi. Hivi vyote ni vya mwanaume unatakiwa uhakikishe familia yako inapata. Ngono ni sehemu tu ya ndoa ila mambo yapo ni mengi sana mkuu.
 
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi.

Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio maana ni vigumu kukuvulia kufuli bila kumpa chochote kitu.

Ila ukishamtafuna kiufundi na kumkuna vilivyo akikwambia anakupenda basi anamaanisha na wengi wao hawaoni hasara kukuhonga.

KUWA MACHO MADEMU WANAANZA KUPENDA KITANDANI.

Sawa ngoja waje kutuoa ushahidi ya unayozungumza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom