mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Wanaume hebu tuulizane, unaanzaje kumpiga mwanamke?

    Habari wazeee kwa vijana? Leo nimekaa nikatafakari Sana bila majibu Hivi mwanaume kabisa umekamilika Unampigaje mwanamke mpaka unamjeruhi mangeo wengine mpaka kuua Huwa mnaanzaje? Hebu jiulize Eva alisababisha Adam akafukuzwa pale Edeni Ila mwanaume hakumaind Wala Nini akabeba mke wake...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

    .
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Koome mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu Afrika Mashariki

    Tume ya kupitisha jina la atakayekuwa Jaji Mkuu wa Kenya baada ya kuisha muda wa Jaji mstaafu David Maraga imepitsha jina la Jaji Martha Koome kuchukua nafasi hiyo. Koome anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Si haba, akina mama wanazidi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wanaweza: Muhimu Yapi ni Majukumu ya Mwanamke na Yapi ni Majukumu ya Mwanaume

    Nani anahusika na kutengeneza mambo haya: lengo ni nini? Mwenye ufahamu wa mambo na elimu ya vitu hawezi kufikiri kwamba "wanawake hawawezi". Hakuna sababu ya kujadili au kufanya matangazo, mikutano au kuhamasisha kuwa wanawake wanaweza. Hili liko wazi wanawake wanaweza. Historia inaonyesha...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naona mwanamke ndio anafaa kuongoza Bunge linaloendana na Rais Samia Suluhu. Tunao Gaudencia Kabaka, Anna Mghwira n.k

    Kiu ya Rais wetu ni kuona Bunge linajadili vitu kwa upana na kwa kuwa bunge chini ya Spika Ndugai anaonekana kuzidiwa lakini anashindwa kusema asaidiwe kwa sababu Mhe. Rais anapenda kuona kuona wanaozidiwa wanaomba kusaidiwa lakini hafanyi hivyo basi kwa niaba yake tunaomba Mhe. Rais msaidie...
  6. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nataka nimuache na kumsahau huyu Mwanamke

    Habar wadau, Ni hivi nimekuwa na mahusiano na demu taklibani miez 3, sasa analeta mambo ambayo hata hayaeleweki mim nilimuomba mahusiano ya kimapenzi, sasa tumezoeana sana, mara nyingine tunatukanana hadi tunataka kuachana kila tukitaka kuachana yeye ndo anaanzisha mada ya kuachana lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke afaaye kuitwa mama

    SIFA ZA MWANAMKE AFAAYE KUITWA MAMA. 1: Mwaminifu katika kila jambo. 2: Sio mbishi kwa mumewe na watu wengine. 3: Hadekezi watoto. 4: Ni msiri kuhusu mambo ya mumewe na ya familia kiujumla. 5: Ana hekima na sio kutwa kutafuta watu na kuropoka siri za familia. 6: Ni mvumilivu. 7: Ni mwepesi wa...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia acha hotuba za kujitetea juu ya jinsia yako, wewe ni Rais siyo Rais mwanamke

    Wewe ni mwanadamu wa jinsia ya kike. Kila mtu anafahamu juu ya matatizo ya jinsia katika dunia hii na kila nchi inajitahidi kuondoa matatizo hayo. Njia mojawapo ni kuachana na hali ya kulinganisha jinsia hizi ktk kazi, ili tuzifunike tofauti hizo. Tangu Samia uliposhika nafasi ya urais, kila...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa ni muhimu na ni mafanikio makubwa au mtindo wa maisha mtu anaouchagua tu?

    Kwa nini mwanamke kuolewa inaonekana ni jambo muhimu, kipaumbele, heshima na mafanikio makubwa kuliko kupata PhD, kujenga nyumba yake, kumiliki biashara yake, kuwa boss wa kampuni kubwa n.k? Mafanikio makubwa si yale ambayo mtu anayapata kupitia jitihada zake mwenyewe kuliko yale ya kupewa au...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kumuita mama

    Wadogo zangu, marahaba... Naomba niongee na wakubwa zangu. Kwanza ningependa kutanguliza shukuran zangu za dhati kwa Mwenyezi MUNGU, hakika wewe ni muweza wa yote. [emoji120][emoji120] Kama title inavojieleza apo juu, mimi ni kijana mtanzania mwenye umri kati ya miaka 20-30, mwanafunzi wa...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiolewa au kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi utachukuliaje?

    Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu. Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema. Sasa swali ni kwa upande wa pili...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke ni ngumu

    Mimi za kwangu nikiwa nazo anatumia vizuri tu lakini za kwake kuzipata labda umulike na tochi hata mchana[emoji16], sijui wakoje.
  13. JamiiForums Tanzania Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

    Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala. 1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo. 2. Usizae na mwanamke msomi...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke wa hivi anaweza badilika katika ndoa?

    Jambo ndugu zangu, Nahitaji msaada wenu. Mimi ni kijana nina miaka 22 niko kwenye mausiano na dada fulani ambaye tuna tarajia kuoana. Sasa kuna vitu ambavyo vina ni tatizaga na jiulizaga sipatagi majibu. Na vitu hivyo ni kuhusiana na tabia ya huyo binti. Mara nyingi huyu mtoto wa kike huwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani huwa unapata tafsiri ipi?

    Habarini wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kumekuwa na kasumba la wadada kuongelea suala la nguvu za kiume hadharani tena kwa kujiamini. Mimi binafsi nikisikia mwanamke anaongelea suala hili namtafsiri huyu mwanamke kama kaliwa sana na wahuni in short ni malaya. Wewe unapataga...
  16. JamiiForums Tanzania Anahitajika mchumba

    Umri miaka 25-29 Mkristo Elimu kidato Cha nne na kuendelea Rangi (asiwe wa kijichubua) Makazi Dsm (au awe tayari kurelocate) Kimo wastani
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mke na Mme wanakaa mikoa miwili tofauti, Mke asafiri kwenda kwa mmewe na kumkuta na mwanamke mwingine

    Ee bhana hii issue mmoja yupo DSM mwingine yupo Dom imeleta migogoro sana kwenye ndoa. Juzi msela kakutwa na demu baada ya mke kusafiri usiku kuja Dodoma alifika saa nane usiku na kumkuta mshkaji kavuta mwanamke mwingine. Mpaka sasa hawaelewani na mke anaomba talaka. Hii nimeona nishare hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

    Habari za uzima ndugu, nina binti mmoja nipo nae kwenye mahusiano. Huyu binti kiukweli kabisa kutoka moyoni ni binti ambaye si wife material (kwangu), ila kuna kitu huwa nakiwaza sana kichwani. Huyu binti kwao ni watu wenye uwezo mkubwa sana kipesa, yaani wana pesa sana sana sana wameiacha...
  19. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya Mwanaume kupelekeshwa na Mwanamke na asiongee chochote?

    Iwe katika mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanaume wamekuwa wakipelekeshwa na wanawake zao na wasiongee kitu uwe na hela usiwe na hela. Mwanaume utapelekeshwa kama mtoto huongei kitu wengine wanaenda mbali zaidi hata mama yako anamdharau na ndugu zako unaona kabisa hayupo sahihi ila...
  20. JamiiForums Tanzania NASA kumpeleka mwanamke, mtu mweusi kwa mara ya kwanza mwezini kwa bajeti ya shilingi trilioni 55

    Baada ya kutangaza hapa awali kuwa itampeleka mwanamke mwezini kwa mara ya kwanza, Shirika la Marekani la Anga za Juu (NASA) sasa limesema kuwa itampeleka mwezini mtu mweusi katika Mpango wake wa Artemis. NASA imetoa pia ombi la bajeti yake itakayowezesha kumpeleka mwanadamu mwezini kwa mara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…