mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mwanamke asikamate ujauzito akiwa katika siku za hatari?

    Ningependa kufahamu hivi inawezekana vipi mwanamke akiwa katika siku za hatari mimba isiwe kukamata au asipate mimba
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke Romantic anafariji na kuburudisha sana

    Nimekaa Zangu Lonely naangalia VIDEO MUSIC mbalimbali. Nimefika kwenye video ya nyimbo ya OTILE BROWN - Hi. Nmestack hapo mara kadha wa kadha. Nmeshaweka repeat Hii video ni mara ya 5 Sasa Niko pale pale Kwenye Hi- OTILE BROWN. Jinsi mdada anavyodemka na kujifaragua kimahaba kwa Otile brown...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaume hawataki mke 'golikipa' na mwenye kipato kikubwa?

    Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa. Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato). Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato kikubwa au 'mishe' kubwa/nyingi kuwazidi. Ni kama haieleweki wanataka yupi. Je, huu mtazamo ni kweli...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hamuwezi kuimba bila kuonesha maungo ya mwanamke

    Habari wadau! Mimi sio mfiatiliaji sana wa muzik ila naukubali sana muzik hasa pale akili ikiwa imechoka naingia youtune kuchek video mpya ndan na nje ya nchi sasa kuna upuuzi nimegundua. Yaan kila shooting si Darasa si Diamond si AliKiba yaan mpaka Prof Jay naue kaiga check video ya Darasa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutumia sabla dakika chache kabla ya tendo

    Habari wanaJF, kwa wajuzi wa mambo ntaka kufahamu kitu katika hili kama ilivo kwa title hapo juu. Yaam mke alitumia soap kujpaka maeneo yake ya siri then dakika chache akaingia kwenye tendo na mpenz wake. Maanake nini kwa kitendo hichi.
  6. JamiiForums Tanzania Sababu ya mwanamke kuzaa watoto zaidi ya watatu kwa wakati mmoja yatajwa

    Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi. Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba. Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
  7. JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa mkikosa mtoto, utasumbuana na mke wako miaka yote?

    Eti ni kweli kwenye ndoa mkikosa mtoto, mwanamke utasumbuana nae mpaka siku ya mwisho?
  8. JamiiForums Tanzania Mwanamke ataanza kukupenda ukishafanya naye sex

    Kuna Uzi ulishushwa hapa kwamba mwanamke anayekukataa Muda mrefu achana naye..nataka niwape Siri mwanamke siku ya kumtongoza hawezi kukukubali achana naye fanya mipango umle kwanza na siku ya kumla perform viwango yaani ukienda bao la kwanza nenda kijuba kweli piga mashine then mazingira...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua 6 za kumzuzua Mwanamke

    1. Pokea pongezi Wanaume wengi wanatabia ya kukataa kupokea pongezi kutoka kwa mwanamke. Balada ya wewe kuguna ama kutojiskia huru wakati mwanamke anakupongeza, mbona usitumie nafasi hii kutumia maneno ya utamu kama ile 'asante, 'nashukuru' nk. Kupokea pongezi kutoka kwa mwanamke ni kama vile...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa na mpenzi ambaye hawezi kuendana na wewe lazima uteseke

    Habarini wote! Nafikiria tu wakuu japo mimi siyo mlengwa hasa hasa ninachofikiria japo ipo haja ya kufahamu duniani kuzaliwa ni bahati na kama utayapatia mapenzi na mwenza wako hakikisha sana unapata mwenza mnaye kuwa na furaha na uhuru muda wote hata kama vumba hakuna ( Yaani Vumba lisiwe...
  11. JamiiForums Tanzania Napenda akiwa na uwazi katikati, huwa navutiwa sana

    Sijui kwanini ila ndo ugonjwa wangu, mtoto akiwa ana space katikati ya mapaja yake/mapaja yaliokataana/kila paja liko upande wake(thigh gap) mimi hua sichomoi. Mchina kama anaweza fanya hii pia mniambie nimpeleke baby mama😊. Wewe pia unavutiwa?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayesumbua kukukubali, huyo siyo mwanake wa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdada akikuzungusha wakati wa ww kumtongoza bhas huyo Mdada hana hisia za kimapenzi na wewe na kakuona wewe ni option yake ya 867 kama uhusiano alionao ukibuma, akikuzungusha mda mrefu hata akija kukubali baadae, atakukubali kwasababu ya pesa zako akuchune hela yako wee, au...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania kuonyeshwa kupendwa na kupendelewa na 'Mwanamke Mamlaka' mwenzao ni kuwalemaza akili na si kuwajenga

    Waambiwe tu Ukweli kuwa wao ni sawa sawa na Mwanaume na ndiyo maana hata Roho zetu pamoja na Mioyo yetu ni sawa na hakuna ulioandikwa ni wa Mwanaume au Mwanamke. Na hata Vitandani tukiwa ' tunabaiolojiana ' 24/7 usawa wa ' Kimihemko ' huwa unakuwepo na tunaheshimiana. Hii ' Sumu ' iliyoanza '...
  14. JamiiForums Tanzania Visa 5 vya Mwanamke asiyekupenda kwa dhati

    1. Akikuomba hela au vocha ukimtumia hakwambii kama amepata mpaka umpigie simu na usipopiga simu anapiga kimya 2. Akikosea au kukosea ukimweleza ukweli hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atapiga kimya. 3. Makosa mengi yanayotokea katika mahusiano yenu anakusingizia wewe ndio chanzo na makosa...
  15. JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia

    Sifa za mwanamke mzuri na anayevutia 1. Chuchu size inayoonekana 2.Tako size inayoonekana Nimemaliza hapo ndio mwisho. Hivyo ndivyo vinafanya hata nguo zimpendeze.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuenjoy maisha

    Habari wana JamiiForums. Mimi ni mwanaume nina 33 yrs, nipo Dar, ni muajiriwa katika shirika fulani lisilo la kiserikali. Ishu kubwa inayonikabili ni upweke. Natafuta mwanamke wa kula nae maisha, awe ndani ya Dar es salaam. Awe smart na mchangamfu, asiwe tegemezi, awe ni muelewa na mwenye...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

    Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume na baba wa kiroho amekwishasema, mimi mwanamke napingaje sasa?

    Kaka zetu na vijana wetu wa kiume mpo? Baba mchungaji keshasema hivyo Kuna msemo babu yangu alikua akiwaambia wajukuu zake wa kiume "... kabla hujaja kuniambia unaoa uniambie una mali gani maana kama ni kupata mke tuu hata nyani akijenga nyumba atapata mwanamke wa kuoa" kweli wahenga ni...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini hupaswi ku-date Mwanamke asiyependa gharama

    Kuwa na mwanamke asiyependa gharama ni ndoto ya kila Mwanaume katika sanaa ya kudeti. Kwa kawaida wanawake aina hii hawana drama wala stress lakini je ni muhimu kweli kuwa nao? Hebu jiweke katika hii hali: uko na mwanamke ambaye ukifika nyumbani tu ashakuandalia kila kitu, hakuulizi kwa nini...
  20. JamiiForums Tanzania Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji Mwanamke

    Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…