Visa 5 vya Mwanamke asiyekupenda kwa dhati

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
1. Akikuomba hela au vocha ukimtumia hakwambii kama amepata mpaka umpigie simu na usipopiga simu anapiga kimya

2. Akikosea au kukosea ukimweleza ukweli hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atapiga kimya.

3. Makosa mengi yanayotokea katika mahusiano yenu anakusingizia wewe ndio chanzo na makosa mengi anayageuzia kwako.

4. Kila jambo unalolifanya kumuoneshea kama unampenda yeye anaishia kulikosoa.

5. Unaposhidwa kutimiza kile anachokitaka akiwa na shida anaanza kukununia tuu.

6. Akiona umeanza kubadilika kitabia ghafla anaanza anakuwa mkali na wivu uliopitiliza.

7. Akianza kupata hisia Kuhisi una mwanamke mwingine ghafla anataka kuanza kuku control kwenye kipato chako hela zako anataka ziwe chini yako yeye ndo akupangie matumizi.

8. Mambo yako yakianza kuyumba yeye anaanza kupunguza mawasiliano ww na kujiweka mbali na wewe taratibu.

9. Mambo yako yakianza kutulia kuwa mazuri anajirudisha kwa kasi mnoo baada ya kupunguza ukaribu na wewe.

10. Ukimuelekeza jambo ambalo amekukosea hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atakwambia kama unaona sikufai basi tafuta mwanamke Mwingine.
 
Brother tafta pesa! Upunguze kujieleza sana!!!

Bila pesa haunabudi kujieleza hadi ueleweke ndipo upewe penzi!

Upendo ni hisia, upendo ni kama upepo nzuri ukilala inje unapata lakini kwa msoto, ukiwa na madirisha makubwa unapata, na kama huna dirisha pachika AC ili upate!

Hivyo chagua mpenzi wa SAIZI YAKO!
USIKIMBILIE KUFUNGA AC KWA UMEME WA SOLAR! Utalizwa tu, na mm nasema wapenzi wasio type yenu walizeni tu!
 
Mkuu umesahau na hii ukiona mwanamke anakuomba hela kila mara yaani ujue hupendwi unatafutiwa sababu ukimbie tu

Hahhhaa hiyo ndio huwa tunawafukuza ukikaa kidogo naomba hela ya kitu fulani baada ya siku mbili anaomba hela tena
Sema kweli akii
 
Dawa ni kuwa na hela nyingi tu, sidhani kama MO anaombwa hela akitaka kupiga miti popote.
 
1-4 ni ukweli ambao haupaswi kupingwa na kila mwanaume mwenye akili.
 
Mkuu umesahau na hii ukiona mwanamke anakuomba hela kila mara yaani ujue hupendwi unatafutiwa sababu ukimbie tu

Hahhhaa hiyo ndio huwa tunawafukuza ukikaa kidogo naomba hela ya kitu fulani baada ya siku mbili anaomba hela tena

Hata dakika 10 hazijapita nimelimwa kizinga apa ndio nilikua nakisikilizia nimesema nije jeiefu kupunguza makali nakutana na hii meseji yako!
 
1. Akikuomba hela au vocha ukimtumia hakwambii kama amepata mpaka umpigie simu na usipopiga simu anapiga kimya

2. Akikosea au kukosea ukimweleza ukweli hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atapiga kimya.

3. Makosa mengi yanayotokea katika mahusiano yenu anakusingizia wewe ndio chanzo na makosa mengi anayageuzia kwako.

4. Kila jambo unalolifanya kumuoneshea kama unampenda yeye anaishia kulikosoa.

5. Unaposhidwa kutimiza kile anachokitaka akiwa na shida anaanza kukununia tuu.

6. Akiona umeanza kubadilika kitabia ghafla anaanza anakuwa mkali na wivu uliopitiliza.

7. Akianza kupata hisia Kuhisi una mwanamke mwingine ghafla anataka kuanza kuku control kwenye kipato chako hela zako anataka ziwe chini yako yeye ndo akupangie matumizi.

8. Mambo yako yakianza kuyumba yeye anaanza kupunguza mawasiliano ww na kujiweka mbali na wewe taratibu.

9. Mambo yako yakianza kutulia kuwa mazuri anajirudisha kwa kasi mnoo baada ya kupunguza ukaribu na wewe.

10. Ukimuelekeza jambo ambalo amekukosea hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atakwambia kama unaona sikufai basi tafuta mwanamke Mwingine.

Kweli wanaume wa miaka hii mmeishiwa ukakamavu! Unayaona yote haya na bado upo tu?
 
Brother tafta pesa! Upunguze kujieleza sana!!!

Bila pesa haunabudi kujieleza hadi ueleweke ndipo upewe penzi!

Upendo ni hisia, upendo ni kama upepo nzuri ukilala inje unapata lakini kwa msoto, ukiwa na madirisha makubwa unapata, na kama huna dirisha pachika AC ili upate!

Hivyo chagua mpenzi wa SAIZI YAKO!
USIKIMBILIE KUFUNGA AC KWA UMEME WA SOLAR! Utalizwa tu, na mm nasema wapenzi wasio type yenu walizeni tu!
Msidanganye watu pesa ni kila kitu . Kuna wanawake wenye pesa na wanapendana na mkaka hana pesa na anamuheshimu . Ukikutana na viwanawake vijinga na visivyopenda kujishughulisha usidhani wote wako ivyo.
 
1. Akikuomba hela au vocha ukimtumia hakwambii kama amepata mpaka umpigie simu na usipopiga simu anapiga kimya

2. Akikosea au kukosea ukimweleza ukweli hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atapiga kimya.

3. Makosa mengi yanayotokea katika mahusiano yenu anakusingizia wewe ndio chanzo na makosa mengi anayageuzia kwako.

4. Kila jambo unalolifanya kumuoneshea kama unampenda yeye anaishia kulikosoa.

5. Unaposhidwa kutimiza kile anachokitaka akiwa na shida anaanza kukununia tuu.

6. Akiona umeanza kubadilika kitabia ghafla anaanza anakuwa mkali na wivu uliopitiliza.

7. Akianza kupata hisia Kuhisi una mwanamke mwingine ghafla anataka kuanza kuku control kwenye kipato chako hela zako anataka ziwe chini yako yeye ndo akupangie matumizi.

8. Mambo yako yakianza kuyumba yeye anaanza kupunguza mawasiliano ww na kujiweka mbali na wewe taratibu.

9. Mambo yako yakianza kutulia kuwa mazuri anajirudisha kwa kasi mnoo baada ya kupunguza ukaribu na wewe.

10. Ukimuelekeza jambo ambalo amekukosea hawezi kukuomba msamaha zaidi zaidi atakwambia kama unaona sikufai basi tafuta mwanamke Mwingine.
Daaaar mkuu Kama ulikua kwenye mahusiano yangu namimi nafanyiwa hivyohivyo
 
Back
Top Bottom