Mwanamke anayesumbua kukukubali, huyo siyo mwanake wa kuoa

Balqior

Senior Member
Jun 8, 2021
113
500
Kwa uzoefu wangu mdada akikuzungusha wakati wa ww kumtongoza bhas huyo Mdada hana hisia za kimapenzi na wewe na kakuona wewe ni option yake ya 867 kama uhusiano alionao ukibuma, akikuzungusha mda mrefu hata akija kukubali baadae, atakukubali kwasababu ya pesa zako akuchune hela yako wee, au atakukubali sababu kuwa wanaume aliowataka wamemtosa..na wewe umekaa ki-husband material, u seem responsible na una kikazi cha kulea familia.

Zaman nilidhani Mdada akinizungusha ni kwamba ananipima kama nampenda kweli, kumbe I was very wrong!!

Ukiona process ya kumtongoza Mdada inakua ni kama kung'oa jino bila ganzi, bhas my brother that woman is really not for u..hata ukija mpata utakua umetumia hela nyingi au Mdada kakosa namna hana wa kumtoa upweke wa kihisia na wa kipesa, anaona ajibane kwako ukiona unataka onana nae anakwambia, yuko busy, ana boyfriend, anakwambia Hana nafasi, anakuambia atakuja hlf haji, ukimtumia sms hajibu kwa wakati, mara akuombe hela za saluni kila kukicha bhas my nigga achana na iyo project.

Mdada akikukubalia sio lazma akupe sex, maana mdada anaweza akakupa sex rahisi ya bure na kesho yake akakutema, utaona jinsi anavokutreat, atapenda sana kuspend time na wewe, na kutembea na ww, atakupa vijipesa vya hapa na pale, atakua anakupa that look, ambayo inakwambia to her u are the sexiest man in the world, so mahusiano yenu yataanza kirahisi, sio yaanze na michezo ya paka na panya (head games)

Nia ya hili bandiko langu ni kuwasadia wanaume wenzangu wasipoteze sana muda na pesa zao kwa wanawake wasiowafaidisha chochote kwenye ujana wao, badala yake wawekeze muda na juhudi zaidi katika kumtafuta Mungu, pesa, na mwanamke bora zaidi.

The end

1623245281136.png

GEMBESON

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,157
2,000
Akikukubalia haraka utasema Malaya, akikuzungusha ndio hivyo unasema hafai kuoa.

Binafsi nampenda anaenizungusha ili mradi tu asiwe ananitukana,
Anijibu tu kistaarabu.

Halafu kuna wakati atakwambia sitaki kumbe wala hamaanishi hivyo, anajipa tu nafasi akujue vizuri na ndio asili yao wanapenda mwanaume king'ang'anizi ili nae ajione ana thamani kwako wewe unaemfukuzia.
 
Captain mopao

Senior Member
Feb 25, 2021
133
500
Jamaa umeandika ukweli ulio uchi hio principle ninayo mimi nikimtongoza msichana for the 1st utamuona km ni wako au unalazimisha the way atakavokua anakujibu na atention yake kukusikiliza so ata km atakuambia nitakupa jibu unakua tayar unajua jibu gan utapewa.

Na mara nyingi mimi niki mtreat akakataa hua siludi tena nawashangaa sana et mwanaume unafukuzia dem miez miwili for the what purpose hicho kipaji sina aisee.
 
Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
17,715
2,000
Mkuu umeongea uhalisia kabisa ila kuna watu watabisha!

Ukiona mwanamke unatumia nguvu sana akukubali ujue hakupendi na siku akikubali mahusiano yenu yatakuwa ya shida sana maana alikubali kama kwa shinikizo tu!

Mwanamke anaekupenda huwezi kutumia nguvu nyingi na pengine yeye ndio anaweza kukuwekea mazingira ya kutongozwa. Na siku mkioana Ndoa yenu itakuwa poa sana maana upendo wake unatoka moyoni.
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,687
2,000
Yule umpendaye wewe, naye ana yule ampendaye kabla hata hajajua uwepo wako…. and so goes the circle.

Kumtongoza mtu ni kujitambulisha kwako kwenye dunia ya hisia zake, hivyo mpe uhuru na nafasi ya kuamua kama utaingia au lah!

”Nisumbue-sumbue, Usinikubali Haraka”.
 
ni ngumu

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
4,100
2,000
Hii ni sahihi sana kwa siku hizi ila zamani hii ni uongo mtupu.

Sikuhizi mwanamke maximum mtongoze mwezi mmoja nje ya hapo acha kupoteza mda wako...

Hivi kuna watu wanatoa hela wakiwa wanatongoza!!!mi nilishasahau hiki kitu tutakula tutakunywa utakavyo ila nikichukua namba yako ukaanza kuleta njaa nakulima block mimi mwenyewe mchukua namba,sitaki mwanamke asiye na haiba.

Km mtu hana aibu kuomba hela mwanaume ambaye hata bado hawapo kwenye mahusiano ndo kwanza mnatafuta kujuana zaidi.Je anawaomba wangapi hela?Hela nitampa rafiki yangu wa kike sio mwanamke ninaye mtongoza.Mimi sikutongozi as if nikikukosa wewe siwezi kupata mwanamke mwingine au nikishindw akuwa na wewe nitakufa
 
Urassa sunday

Member
Jan 30, 2020
27
100
Nafikiri jamaa hujamuelewa vizuri....KUNA AINA YA MWANAMKE unamtongoza lakini ile tu ukimsoma usoni (facial expression) unaona kabisa naye anakukubali the way anavyokujibu yaani unakuta anakupa ushirikiano, mkipanga mtoko anakuja na hata asipokuja anakupa sababu ya msingi na anakuwa mnyenyekevu kwako huyo anaweza akawa anakuzungusha kukusoma lkn kiukweli ukimwangalia unaona anakupenda saa nyingine unamtumia msg anajibu kea wakati naye anakutumia msg mara kwa mara, mawasiliano yenu kwa ujumla ni mazuri. Ila kuna mwingine anakuzungusha unatuma msg hajibu, ukikutana naye haonyeshi tabasamu anakujibu kwa mkato yaani anakuona unamboa, anakueleza live kuwa hakutaki na kukuambia tena ana jamaa yake nk. ( kumbuka mara nyingi mwanamke anayekupenda hawezi kukuambia kuwa ana mtu wake coz naye anaogopa kukupoteza) Anaweza kukuambia hayupo tyr kuwa na mpenzi kwa sasa hiyo ikiwa ni zuga tu.

NAUNGANA NA MTOA MADA 100%.....Kufuatilia mwanamke kwa muda mrefu ambaye umemsoma kabisa hakutaki na anakuonesha dalili zote kwamba hakutaki UO NI UFALA....NDO YALE unaoa mwanamke baadae akija kukutana na mtu anayempenda lazima uchapiwe maana kwako ulikuwa ni option ya 145, kwamba wale aliowataka wakamchomolea akaona hana pa kwenda zaidi ya kujishikiza kwa BWEGE! ambaye anamsumbua!

Mwanamke akikutamkia live bila kupepesa macho kwamba HAKUTAKI, tafadhali ONDOKA HARAKA SANA.......anayekupenda Siku zote hawezi kukutamkia hivi ukikutana naye tu ni ana tabasamu na kucheka cheka sana!

Akikukubalia haraka utasema Malaya, akikuzungusha ndio hivyo unasema hafai kuoa.

Binafsi nampenda anaenizungusha ili mradi tu asiwe ananitukana,
Anijibu tu kistaarabu.

Halafu kuna wakati atakwambia sitaki kumbe wala hamaanishi hivyo, anajipa tu nafasi akujue vizuri na ndio asili yao wanapenda mwanaume king'ang'anizi ili nae ajione ana thamani kwako wewe unaemfukuzia.
 
Kitombile

JF-Expert Member
Mar 21, 2021
553
500
Jamaa umeandika ukweli ulio uchi hio principle ninayo mimi nikimtongoza msichana for the 1st utamuona km ni wako au unalazimisha the way atakavokua anakujibu na atention yake kukusikiliza so ata km atakuambia nitakupa jibu unakua tayar unajua jibu gan utapewa.

Na mara nyingi mimi niki mtreat akakataa hua siludi tena nawashangaa sana et mwanaume unafukuzia dem miez miwili for the what purpose hicho kipaji sina aisee.
🙏🙏
 
Wild sniper

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
3,113
2,000
Kwanza mwanamke hata kama atakuzungusha lakini kama anakuelewa utaona response yake kwako inakua poa sana, nimewahi kufuatilia mwanamke miezi miwili na ndo ilikua mara ya kwanza nafanya hivo maana wiki kwangu nyingi ila alikua nikiacha kumtext yeye anatext anaomba kuonana mda wowote anakuja mnaenjoy ila jibu anasema subiri kwa upole kabisa akanikubali kwa huo mda tulikula good time sana mrwanda wangu.
 
mizuno

Senior Member
Mar 12, 2014
129
250
Nafikiri jamaa hujamuelewa vizuri....KUNA AINA YA MWANAMKE unamtongoza lakini ile tu ukimsoma usoni (facial expression) unaona kabisa naye anakukubali the way anavyokujibu yaani unakuta anakupa ushirikiano, mkipanga mtoko anakuja na hata asipokuja anakupa sababu ya msingi na anakuwa mnyenyekevu kwako huyo anaweza akawa anakuzungusha kukusoma lkn kiukweli ukimwangalia unaona anakupenda saa nyingine unamtumia msg anajibu kea wakati naye anakutumia msg mara kwa mara, mawasiliano yenu kwa ujumla ni mazuri. Ila kuna mwingine anakuzungusha unatuma msg hajibu, ukikutana naye haonyeshi tabasamu anakujibu kwa mkato yaani anakuona unamboa, anakueleza live kuwa hakutaki na kukuambia tena ana jamaa yake nk. ( kumbuka mara nyingi mwanamke anayekupenda hawezi kukuambia kuwa ana mtu wake coz naye anaogopa kukupoteza) Anaweza kukuambia hayupo tyr kuwa na mpenzi kwa sasa hiyo ikiwa ni zuga tu.

NAUNGANA NA MTOA MADA 100%.....Kufuatilia mwanamke kwa muda mrefu ambaye umemsoma kabisa hakutaki na anakuonesha dalili zote kwamba hakutaki UO NI UFALA....NDO YALE unaoa mwanamke baadae akija kukutana na mtu anayempenda lazima uchapiwe maana kwako ulikuwa ni option ya 145, kwamba wale aliowataka wakamchomolea akaona hana pa kwenda zaidi ya kujishikiza kwa BWEGE! ambaye anamsumbua!

Mwanamke akikutamkia live bila kupepesa macho kwamba HAKUTAKI, tafadhali ONDOKA HARAKA SANA.......anayekupenda Siku zote hawezi kukutamkia hivi ukikutana naye tu ni ana tabasamu na kucheka cheka sana!
umemali

umemaliza kila kitu mkuu
 
alumn

JF-Expert Member
Jul 15, 2018
1,866
2,000
Mpenzi niliye Naye sasa na kwa hakika nampenda sana ilinichukua miaka 3 hadi aliponikubalia.
Ninaamini hakua ananipenda kabla hadi pale alipokubali baada ya miaka hiyo 3. Nilimkuta mpyaaa yaan 0 km. Kwa sasa upendo umebadilika maana yeye ndio ananipenda sana tofauti na mimi ile awali ingawa nampenda sana.
Vijana acheni uhuni ila pia msipende short cut, muwe na subra
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom