Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji Mwanamke

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
231
331
Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo?

testdating.jpg

1. Usichelewe kutext wakati amekupatia namba yake ya simu
Kuna baadhi waliobobea katika maswala ya kutumia text kumshawishi mwanamke watakwambia kuwa usichelewe kabisa kumtext mwanamke kwani ukizubaa na kumtext baada ya masiku atakupuuza, na wengine pia wanadai kuwa ni vizuri zaidi kuchukua muda wako kama siku hivi ili mwanamke asikuone kama unambabaikia kupindukia.

Kimaoni yangu ni kuwa haufai kupitisha wala kupunguza masaa 24 toka wakati amekupatia namba yake ya simu. Masaa 24 si muda mrefu wala mfupi kwani utakuwa na muda wa kutosha na kujiandaa ili kuweza kujipanga. Hivyo basi haufai kumtext papo hapo ama kuchukua masiku kabla hujamtumia jumbe.

2. Tumia mistari ya ucheshi
Kulingana na utafiti uliofanywa ni kuwa asilimia 25 ya wanawake watakataa kujibu texts zako kama hazina chembechembe ya ucheshi ndani yake. Owk huu ni uchoyo wa hali ya juu lakini utafanyaje? Hii ndio dunia ya sasa kama huna mshiko utabakia hivyo hivyo. Hivyo ni lazima kama huna uzoefu wa kuwa mcheshi gurudumu ni lako la kuhakikisha kuwa haujatengwa na mwanamke unayemzimia.

Pia unafaa kukumbuka kuwa wanawake warembo wanatumiwa text na majamaa wengine wengi wote wakipigania nafasi io hio ambayo unaitaka hivyo wakati unapomtumia text hakikisha ya kuwa unakuwa mbunifu tofauti kabisa na mwanamume yeyote yule. Acha kutumia maneno ambayo yamerudiliwarudiliwa.

KUMBUKA: Wakati unapomtext mwanamke unayemtongoza hakikisha hautumii maneno ambayo yatakuwa mtego kwako yenye yatakufanya uwekwe katika friend zone. Kama unataka utoke naye date, jaribu kutumia maneno ya mzunguko ambayo mwishowe yataingiliana kwa nyote mkutane. Mfano unaweza kumuuliza kama ashawahi kwenda katika hoteli ama kilabu flani, akijibu bado hajawahi chukua hio nafasi ya kumuuliza kama angependa kuenda sehemu kama hio. Hii ni baadhi ya njia rahizi ya kutumia kumshawishi.

jee shukriya
 
Mwisho wa siku sms ya maana ni muhamala umethibitishwa..

Au nadanganya ndugu zangu!
Hii pia ni kwa wanawake wenye njaa wakuu. Hivi mfano una date na wale mabinti wa obama kweli. Inabidi uwe romantic,kigentlema,kikila kitu wakuu tusidanganye. Hizi mie naona kwanza mtu wa kumfanyia. Mfano unamuona mtt wa waziri wa jk umemzimikia unadhani miamala utafanya kazi. Na huku. Hela amezoea kuziona zimejaa kabatini akitaka kutoka out anachukua burungutu la 10M anatoka na friends zake kwenda ku spend jamani.

Hapa inatakiwa uwe technical kiukweli tusidanganye pia unampima mtt umuone Kama nayeye anayo interest kwako.
Ila inatakiwa u act vitu ambavyo atatakubali utambebea mkoba wake,utamfungulia mlango wa gari,akipiga chafya utamfuta na handkerchief yako Ile fasta na sio usubirie uambiwe.
 
Ha ha we jamaa amka ndotoni!
 
Broo.. Kwenye wenye hela. Mimi simo.

Lkn sasa

Hivi unajua kuna wanawake wana PESA kuliko wanaume???.

Ukiwa na mawazo ya Pesa, Mwanamke wa hivi HUMPATI.
Hajui kuwa Wana wanawake wana kila kitu wanahitaji wanaume do you a real man kweli ,atakayem handle na a play role yake as a man. Sauti iwe ya kiume mpaka sura inakuwa ya kiume na sio Mara unaanza ku act Kama shoga Mara umejiloboa ngozi Mara unanifanya hujazoea panya. Ama nyoka akitokea inakimbia Sasa yeye anakimbia na wewe Tena unakimbia. Atajiona hapa Nina mwanamke mwenzangu.
Huko ndani humo ndani mwajuma sio sauti ziwe za Kama za midume mwili so flip the coin
 
Katika ulimwengu wa sasa mawasiliano kupitia jumbe fupi unazidi kutumika kiasi cha kuwa mazungumzo baina ya watu yamegeuzwa kuwa meseji fupifupi. Kupewa namba kutoka kwa mwanamke ni nusu ya muelekeo wako wa kuuteka moyo wake. Lakini je wakati wa kumtext mwanamke je unatumia mbinu ipasayo?
View attachment 1808674
1. Usichelewe kutext wakati amekupatia namba yake ya simu
Kuna baadhi waliobobea katika maswala ya kutumia text kumshawishi mwanamke watakwambia kuwa usichelewe kabisa kumtext mwanamke kwani ukizubaa na kumtext baada ya masiku atakupuuza, na wengine pia wanadai kuwa ni vizuri zaidi kuchukua muda wako kama siku hivi ili mwanamke asikuone kama unambabaikia kupindukia. Kimaoni yangu ni kuwa haufai kupitisha wala kupunguza masaa 24 toka wakati amekupatia namba yake ya simu. Masaa 24 si muda mrefu wala mfupi kwani utakuwa na muda wa kutosha na kujiandaa ili kuweza kujipanga. Hivyo basi haufai kumtext papo hapo ama kuchukua masiku kabla hujamtumia jumbe. [soma: Jinsi ya kumshawishi mwanamke mtandaoni]

2. Tumia mistari ya ucheshi
Kulingana na utafiti uliofanywa ni kuwa asilimia 25 ya wanawake watakataa kujibu texts zako kama hazina chembechembe ya ucheshi ndani yake. Owk huu ni uchoyo wa hali ya juu lakini utafanyaje? Hii ndio dunia ya sasa kama huna mshiko utabakia hivyo hivyo. Hivyo ni lazima kama huna uzoefu wa kuwa mcheshi gurudumu ni lako la kuhakikisha kuwa haujatengwa na mwanamke unayemzimia.
Pia unafaa kukumbuka kuwa wanawake warembo wanatumiwa text na majamaa wengine wengi wote wakipigania nafasi io hio ambayo unaitaka hivyo wakati unapomtumia text hakikisha ya kuwa unakuwa mbunifu tofauti kabisa na mwanamume yeyote yule. Acha kutumia maneno ambayo yamerudiliwarudiliwa.

KUMBUKA:
Wakati unapomtext mwanamke unayemtongoza hakikisha hautumii maneno ambayo yatakuwa mtego kwako yenye yatakufanya uwekwe katika friend zone. Kama unataka utoke naye date, jaribu kutumia maneno ya mzunguko ambayo mwishowe yataingiliana kwa nyote mkutane. Mfano unaweza kumuuliza kama ashawahi kwenda katika hoteli ama kilabu flani, akijibu bado hajawahi chukua hio nafasi ya kumuuliza kama angependa kuenda sehemu kama hio. Hii ni baadhi ya njia rahizi ya kutumia kumshawishi.

jee shukriya
Weka text moja hapa mkuu, nataka ni test zali
 
Back
Top Bottom