mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Sifa 7 za mwanamke mpambanaji

    Dunia ingekuwa wapi leo bila mwanamke? Wanawake wana nafasi kubwa katika jamii yetu ya Tanzania na Dunia nzima kwa ujumla. Mwanamuziki Beyoncé wa marekani aliwahi kuimba akisema wanawake wanakimbiza/wanaongoza dunia (Runs the World (Girls) Ingawa baadhi ya wanawake wengi hawajapata ujasiri wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke na Uchifu

    MWANAMKE AWEZA KUWA CHIFU? Taarifa kuwa Rais Samia Suluhu amepewa hadhi ya Chifu kule Mwanza zimepelekea baadhi ya watu kuhoji kama kunaweza kuwa na Chifu mwanamke. Mchango wa Askofu hapa chini unalenga kupanua wigo wa mjadala kwa lengo la kuelimisha. Neno Chifu, limetolewa kutoka katika neno...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumla kimasihara mwanamke wa rafiki yako

    1Kuna siku nilikwenda club na washkaji zangu nikakutana na ex wa brother wangu. Nikamsalimia akaniomba nimnunulie bia nikamletea huyo nikaondoka nikajichanganya zangu bado kama nusu Saa club kufungwa yule ex wa bro alikuja kucheza na mimi hapa nami nikiwa nimelewa. Club ikafungwa nikatoka nae...
  4. JamiiForums Tanzania Mexico: Mahakama Kuu yasema ni kosa kumshtaki au kumzuia Mwanamke kutoa Mimba

    Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi. vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Kamwe huwezi kumridhisha Mwanamke

    Wanaume naamini mmeamka salama. Neno moja nataka kuwaambia asubuhi hii, Nimegundua Mwanaume huwezi kumridhisha Mwanamke kamwe. Utapambana utamtafutia pesa utampa. Utafanya nae mapennzi kwa jitihada zote, utamfikisha kileleni utamkojoza. Utamfanyia kila anachotakiwa kufanyiwa mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke kukubali kuolewa na wewe kuna mengi yapo akilini mwake au moyoni mwake

    Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa! Umaarufu wako Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda kuolewa na wewe! Muonekano wako Hii inawakumba wale uwezi kujua ni maskini,yani mtanashati,mtu ambaye...
  7. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuletewa nyodo na mhudumu wa kike?

    Salaam wakuu! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, katika mihangaiko yako ya maisha ya kila siku, umewahi kwenda sehemu kupata huduma fulani na ukaletewa nyodo na mhudumu husika, kwa sababu tu aidha mmiliki ni mpenzi wake, au vyovyote? Karibuni!
  8. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke wa kuwa mchepuko umri 20-25

    Nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchepuko niko tayari kuwa nampa hela ya mtumizi 500k kila mwezi awe na vifutavyo *mweupe mwenye tako *awe anajua mapenzi *awe mrefu na pia ajue kuendesha gari
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mwanamke, eneo Mbezi Mwisho...

    Natafuta mwanamke anaeweza kutumia kompyuta kwa ajili ya kufanya kazi ya kuingiza nyimbo kwa wateja,Mwanamke wa umri wowote anaeweza kutumia kompyuta. najua si rahisi au yawezekana haujawahi kabisa kufanya hiyo kazi ila usijali utafundishwa na mwanamke mwenzako anaefanya kazi hiyo hiyo,kama...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mzawa wa Kenya atunukiwa tuzo la urembo Uingereza

    Alikwenda ukubwani kupata elimu ya juu, sasa kuiwakilisha Uingereza kwenye shindano la urembo duniani kote.... A Kenyan-born model has been crowned Miss England and will now represent the European country in the 70th Miss World that will be held in Puerto Rico. Rehema Muthamia, 25, received...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa na mpini mkubwa sio suluhu ya kuridhisha mwanamke

    Nimekaa nikatafari sana kwa nini hili tatizo la wanawake walioolewa kuchepuka limekuwa kroniki? Hapo awali nilidhani walio na mipini mikubwa huwa hawapigiwi wake zao. Lakini ukiingia mitaani utakuta ni mambo ya ajabu kabisa. Mtu anajisifia kijiweni kuwa ana mpini ulioshiba lakini wahuni...
  12. JamiiForums Tanzania Ushawahi kumpania mwanamke halafu siku hiyo jogoo hakuwika?

    Wakuu mko poa?Jumatatu inaendaje mimi niko poa sikwenda job leo maana nimeamka na hangover ya pombe kinoma noma jana nilikua nasakata rumba si unajua ujana maji ya moto? Ngoja nirukie kwenye sub topic aisee. Leo nawaletea hii ishu mcheke kidogo.....Nilishawahi kumpania mwanamke mmoja kisu balaa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke akiwa hedhi anamchukia Kila mtu

    Wife alikuwa kwenye mzunguko nimenuniwa siku tatu na sikumfanyia kosa lolote, kwanini lakini nyie wake zetu mnakuwa na majaribu?
  14. JamiiForums Tanzania Je, unaelewa nini mwanamke akisema anapenda mwanaume romantic?

    Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa. 1.EMOTIONAL CONNECTION 2.CHEMICAL BOND Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean? Emotiona connection, ni kumfanya mwanamke kuungana na wewe kihisia zaidi, how? Moja lazima...
  15. JamiiForums Tanzania Je, siku za kuiingia hedhi mwanamke zikibadilika tarehe kuna tatizo?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie hapa. Kama kila baada ya mwezi mwanamama anapata tarehe tofauti za hedhi kiafya ni sawa? Mfano mwezi huu anaingia tar 24 alafu mwezi ujao anaingia tar 20. Hii kiafya ya uzazi iko imekaaje?
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumvuta Mwanamke kupitia Mawasiliano

    JINSI YA KUMVUTIA MWANAMKE KUPITIA MAWASILIANO. Kisaikolojia wanaume hutumia direct communication ndomana mazungumzo ya men to men huwa short and clear. Men 1: "Oya niletee ile movie" Men 2: "Baridi mzee baba"... Story inaishia hapo. While women was designed to keep conversation going, wao...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke unawezaje kumjibu jeuri mume wako?

    Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo. Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake katika mahusiano ya mapenzi

    Yafuatayo ni mahitaji muhimu ya mwanaume na mwanamke kutoka kwa mwenzie #Inasikitisha MWANAUME ANAHITAJI: 1. Kupikiwa 2. Unyumba 3. Kupumzika MWANAMKE ANAHITAJI MWANAUME WAKE UWE:- 1. Mpenzi 2. Rafiki 3. Mshikaji 4. Kaka 5. Baba 6. Mwalimu 7. Bosi 8. Mpiganaji 9. Askari 10. Mlinzi 11. Mpishi...
  19. JamiiForums Tanzania Marafiki zangu nawapenda ila mke wangu nampenda na kumsikiliza

    Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu. Sasa basi mambo yameanza badilika tokea nimeoa.. marafiki wakilalamika nimekua naji exclude atumeet kama ilivyokua desturi mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda raha, pamoja na kumcheat kaninunulia perfume ya 170,000/=

    Alikuta picha kwenye Facebook messenger yangu. Picha yenyewe ni dogo mmoja ametoka kuoga, amefumua nywele. Maana nilimwambia ukifumua nataka nizione nywele zilivorefuka. Aliniwakia sana. Tena ilikua usiku tumetoka Sunrise Beach Resort vizuri tu. Tumefika karibu na kwao nataka nimuage ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…