Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

NguoYaSikuKuu

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
595
712
Kuna jamaa hapa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulani hiviii. LOL

Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na aweke mtoto ndani.

Kifupi, jamaa anaona kama "gundu" fulani ikizingatia mshkaji wake ni wale wa " chovya chovya" na pia jamaa ameoa ...(Rafiki yake ashaoa ila bado "ingiza mwenyewe")

Je, wakuu hii kitu nimshauri vp jamaa? Alifahamu kama wamedate na huyu mtu wake baada ya stories.. Amejua ghafla.
 
Kama amempenda aoe tu,ila akate mawasiliano na uyo rafiki yake aliepita kwa mrs mtarajiwa ninao mfano wa rafiki yangu alieoa mke ambaye rafiki yake wakaribu alishapita nae. Washkaji kitaa tulibaki tunashangaa inakuaje anaoa mwanamke ambaye alikua shemeji yake? Kilichofata urafiki wao ulipungua sna.
 
kama amempenda aoe tu,ila akate mawasiliano na uyo rafiki yake aliepita kwa mrs mtarajiwa
ninao mfano wa rafiki yangu alieoa mke ambaye rafiki yake wakaribu alishapita nae.
washkaji kitaa tulibaki tunashangaa inakuaje anaoa mwanamke ambaye alikua shemeji yake?
kilichofata urafiki wao ulipungua sna
Rafiki yake ni mtu wa karibu sana . Sio wale rafiki oya oya kifupi ni washkaji mno.
 
Aache mmoja. Akiamua kumuoa basi amkane kabisa rafiki yake na wasijuane tena maishani mwao.

Akiamua kuendelea na urafiki naye basi asioe huyo dada. Akimuoa na akaendelea na huyo rafiki yake basi watakuwa wamemuoa huyo dada wote wawili sababu nina uhakika upashaji kiporo lazima utaendelea tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom