Kati ya mwanaume na mwanamke, ni nani anyemhitaji mwenzake zaidi?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
15,225
2,000
Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke.

Wakati mwingine, mwanaume anaambiwa ili apate mahusiano kwa mwanamke inabidi awe na kipato, au awe na uwezo wa kuhonga; mpaka imekuwa kama utamaduni, kwa mwanaume bila pesa hawezi kupata pisi kali.

Imekuwa ni malalamiko kila kona, mara mke wa mtu anatoka nje ya ndoa, mara mme wa mtu naye anatoka nje ya ndoa; sasa tunataka tujue, katika haya mahusiano ni yupi anayemhitaji mwenzake zaidi?

Na anayemhitaji mwenzake zaidi, ni lazima agharamike zaidi?
 

Kukudume2013

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
1,638
2,000
Mwanamke ni homons hivyo kama hajapata mwaname wa kuzichochea kuwa juu hawezi kukaa akamtongoza mwanaume lkn akipata mwanaume wa kuzipandisha hormons hapo ndio tamaa ya kufanya ngono zinakuja na hawezi kukupa ngono bila kumpa zawadi km vile fedha

Mwanaume yeye ni hisia au Tamaa tu kila dakika 15 hisia za kufanya ngono zinampitia akilini mwake.
 

ILISACHA

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
586
1,000
Mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanaume sio mwanaume kwa ajili ya mwanamke! Mwanamke anamhitaji mwanaume siku zote tamaa ya mwanamke ipo kwa mwanaume.
IMG_7343.jpg
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
12,706
2,000
Kwa Bongo, mwanamke anamhitaji zaidi mwanaume kuliko mwanaume anavyomwihitaji mwanamke...

Mwanaume akishapiga punyeto tu, yameisha lakini mwanamke hata atumie ma-dildo ya umeme, bado atahitaji mtu wa kumweka mjini!!!

Sometimes tunaamua kuvua watu pichu sio kwa sababu eti kuna umuhimu au ulazima uuule sema tu it feels good kumvua mtu pichu!! It's has nothing with kukojoa!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom