Kweli kuishi na watu kuna raha yake, leo yametimia nimekutana na mwanamke tuliopotezana nae ughaibuni

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
2,200
6,890
Kwa ufupi ni kwamba nilipata bahati ya kusafiri na Kiongozi mkubwa, mtu mwenye mamlaka makubwa kwelikweli katika nchi hii awamu ya nne.

Safari hii ilikuwa katika moja ya nchi kubwa Ulaya, kama mnavyofahamu malipo ya posho huwa katika dola pale mnaposafiri na kiongozi mkubwa katika big four na viongozi wengine.

Nakumbuka ilikuwa ni wikiendi mimi na wenzangu tuliamua kutoka kiwiziwizi kwenda kutalii katika kumbi ya starehe katika jiji hilo, kama mnavyofahamu hawa wenzetu wanaoishi huko wakisikia kuna ugeni kutoka nchi yao ya nyumbani basi muda wote macho huwatoka na hutuvizia tukitoka nje kwenda kula bata, kuna siku nilitoka wikiendi moja na wenzangu kwa bahati nzuri nilipo kuwa katika club moja maarufu nilibahatika kukutana na mtanzania mwenzangu (jinsia KE) hakika ulikuwa usiku wa furaha sana kupata kampani katika nchi za watu.

Tulikunywa na kula kwa kishindo kwelikweli kama awamu ya tano ilivyokuwa ikijinadi maana kwa awamu ile pesa ilikuwa nje nje tofouti na awamu ya tano pale mpatapo safari, na mwisho siku baada ya kula bata nakumbuka tulibadilishana mawasiliano ila kwa bahati mbaya mwenzangu hakuweza nitafuta tena.

Kisa cha kuleta kisa hiki ni kwamba jana nilipokuwa nimetembelea sehemu fulani za starehe hapa jijini nilionana na binti yuleyule akiwa kapendeza kweli na ni mmoja wa watumishi katika taasisi mojawapo kumbwa tu hapa nchini, ilikuwa ni furaha kuonana kwa mara nyingine tena.

Tulikula na kunywa kama kawaida, na mwisho wa siku nilijibebea mtoto kiulaini kabisa nikaenda kumuweka (kula mbususu) kama vijana wa sasa wanavyosema.

Na katika kupiga nae story baada ya kumweka viwili vya nguvu ni kwamba usiku ule tulipokuwa ughaibuni alipoteza simu yake na hiyo ndio sababu ya yeye kuwa kimya kwa miaka yote hiyo, kwa sasa ana familia yake na watoto wawili ila mwanamme nikaruka nae kisela mwanamke yule ana joto la ajabu kweli wazungu wanatoka kwa kasi ya ajabu.

Kuanzia usiku wa jana ndio nimeanza kuchepuka rasmi na mke wa mtu, nafsi inanisuta ila kwa joto la huyu mwanamke ngoja iwe hivyo tu.

Nawasilisha.
 
Vip mkuu ulikumbuka kinga , au ndio ulipiga mnyama ndani myama nje kavu kavu ,
Kumbuka ukimwi upo .
Kwa jinsi alivyosifia joto la bidada itakuwa mechi imepigwa mbichi...
JamiiForums-1499072766.jpg
 
Back
Top Bottom