Serikali: Tunaongea na CCM tuweze kukarabati viwanja wanavyomiliki

Serikali: Tunaongea na CCM tuweze kukarabati viwanja wanavyomiliki

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,603
Reaction score
22,717
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma akijibu swali bungeni amesema kuwa Serikali ipo kwenye mazungumzo na Chama Cha Mapinduzi ili iweze kukarababti viwanja vinavyomilikiwa na Chama hicho ili waweze kugawana mapato.

Soma

 
Serikali yaani ifanyie ukarabati wa viwanja vya chama ambacho kinaiongoza, CCM wanatumia vibaya sana nguvu ya chama tawala kwa kutaka kujinufaisha.
 
Hapo naona dalili za chama kuwakamua watanzania kupitia hiyo dili ya serikali na chama.
 
Kwaiyo rais wetu kipenz wa jamuhuli ya tanzania atamuita mwenyekiti wa ccm ili wajadili na kuona namna viwanja vitakavyofanyiwa ukarabati au?
 
SASA SERIKALI SI NDIYO HIYO HIYO CCM NA MASLAHI YA TAIFA SI NDIYO HAYO HAYO YA CCM NA SERIKALI.

CCM==SERIKALI==TAIFA==DOLA MAJESHI YOTE==MAHAKAMA===BUNGE

sasa CCM si NDIO KILA KITU katika inji hii.
 
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma akijibu swali bungeni amesema kuwa Serikali ipo kwenye mazungumzo na Chama Cha Mapinduzi ili iweze kukarababti viwanja vinavyomilikiwa na Chama hicho ili waweze kugawana mapato.

Soma

Ni vyema wakabidhi Halmashauri,ili kuwezesha usimamizi na ufuatiliaji na kupunguza gharama za uendeshaji.

Kwanini maamuzi haya?kwa sababu michango ya wananchi ilitumika kujenga viwanja hivi.

Halmashauri zipo karibu na wananchi,,na huduma zitolewazo na viwanja ni kwa ajili ya wananchi.
 
Back
Top Bottom