Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,309
- 18,490
Mbunge anayetetea kiti chake katika Jimbo la Muheza Mkoani Tanga Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amepata ushindi wa kishindo katika kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe hii leo Jimboni hapo kwa kupata kura 9030 ambazo ni sawa na asilimia 91.
Katika ushindi huo, MwanaFA ameongoza na kuwaacha mbali Wagombea wenzake waliogawana asilimia saba zilizobaki ambapo Mgombea namba mbili amepata kura 339 sawa na asilimia tatu huku wa tatu akipata kura 203 sawa na asilimia mbili.