mwana fa

Hamis Mwinjuma, also known as Mwana FA (born in Tanga), is a Tanzanian Musician, board member of the country's National Arts Council (BASATA), and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Muheza constituency since November 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. NGAYANIMO

    Mashairi ya Wimbo “Jukumu Letu” wa Professor Jay na Mwana FA

    MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1.( MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /.. Mwana Fa: Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini..? Professor jay...
  2. JanguKamaJangu

    Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics)

    Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics) Kiitikio: ------------ Hii leo Crazy GK Mwanafalsafa AY Weka manyanga chini Hivi sasa tupo hewani Twakupa maneno matamu Na yenye thamani Verse 1: AY ----------- Oya.! Navaa buti Na full CBM Nazama street Ntapiga dili zaidi ya 12...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    Makonda ni kama hamtaki Mwana FA pale Wizarani

    Ni kama figisu zimeanza. Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani. Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote. Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye...
  4. Mhaya

    PostGE2025 MWANA FA Vs MAKONDA: Nani atatawala Unaibu Waziri

    Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma (mwana fa) akizungumza baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma, lNovemba 18...
  5. Analogia Malenga

    MwanaFA aposti wimbo wa Juma Nature unaozungumzia muungano wa CCM na CUF

    Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya fujo na sio kabla. Kumuona FA amepost nimestuka maana unazungumzia masuala ya maandamano. Kwa...
  6. ndege JOHN

    Kwanini mwana FA anaogopeka, hasemwi na anaonekana ni kijana aliyefanikiwa! Wasanii wengine kuwa CCM inaonekana nongwa?

    Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa wake sidhani kama wanaharakati wataenda kushusha kejeli kama tulivyofanya kwa mjomba. Sababu ni ipi...
  7. Keynez

    Kwanini hukumu ya kesi ya Mwana FA dhidi ya TIGO imeripotiwa kwa makosa?

    Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO. Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
  8. JanguKamaJangu

    Mahakama ya Rufani yaelekeza kesi ya Mwana FA, AY na TIGO kurudi Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company. Hii ni...
  9. Waufukweni

    GE2025 Mwana FA aongoza kwa asilimia 91 Kura za Maoni

    Mbunge anayetetea kiti chake katika Jimbo la Muheza Mkoani Tanga Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amepata ushindi wa kishindo katika kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe hii leo Jimboni hapo kwa kupata kura 9030 ambazo ni sawa na asilimia 91. Katika ushindi huo, MwanaFA ameongoza na...
  10. OMOYOGWANE

    Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

    Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025 https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/ Leo nmeona taarifa kachukua fomu. Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
  11. ngara23

    Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

    Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia...
  12. D

    Mwana FA unapochukizwa na waamuzi CAF na kupendekeza wawe wanateua tu Bingwa, vipi nyie wabunge na madiwani au Rais? NEC si iwateue tu

    Mwana FA unapochukizwa na waamuzi CAF na kupendekeza wawe wanateua tu Bingwa, vipi nyie wabunge na madiwani au Rais? NEC si iwateue tu. Tungeokoa pesa na vifo vya wapinzani.
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Mwana FA: Bao la Mama Fainali ni Milioni 30, Serikali kutangaza zawadi kubwa Simba wakitwaa Ubingwa CAF

    Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma, maarufu Mwana FA amesema kila bao litakalofungwa katika mechi ya leo dhidi ya RS Berkane litapata bonus ya TSh. Milioni 30. "Mama amenituma nije kufikisha ujumbe kuwa Bao la Mama hatua ya Fainali ni Milioni 30 na...
  14. Waufukweni

    Mwana FA: Tuisafishe Singeli iwe utambulisho wa Taifa. Wasanii wapate miongozo, sio lawama

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) muziki wa singeli unashika na unakubalika maeneo mengi hadi nje ya nchi lakini pia ni muziki ambao asili yake ni Tanzania hivyo ametaka Watanzania kuwaunga mkono Wasanii wa singeli, kuusafisha muziki huo, kuwaelekeza...
  15. Waufukweni

    Serikali yafungia mitandao na tovuti 80,171 zisizo na "maadili"

    Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha afya ya akili ya watoto. Kauli hiyo imetolewa Bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu Mei 5, 2025 na...
  16. Waufukweni

    Mwana FA: Fainali ya Simba dhidi ya RS Berkane itachezwa Benjamin Mkapa

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesisitiza kuwa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane itachezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Mei 27, 2024 kwa kuwa Serikali imefanya jitihada mbalimbali za...
  17. JOHNGERVAS

    Wananchi wa Facebook wamvaa mwana FA baada ya kupost stegi hii

    Kama wananchi wa Facebook wameanza kuwa na Akili hii ukombozi hauko mbali Sasa baada ya hiyo post soma Comment za baadhi ya wadau
  18. W

    PreGE2025 Naibu Waziri wa habari (Mwana FA), avitaka vyombo vya habari kuripoti bila kuhamasisha kususia uchaguzi

    Akizungumza katika mkutano mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, March 04, 2025, Ruvuma. Naibu waziri wa Habari, sanaa na Michezo na utamaduni Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amevitaka vyombo vya habari kuripoti kwa usawa kwa vyama vyote kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Aidha amevitaka vyombo vya habari...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Mwana FA aanzisha Shule katika Kijiji cha Misufini

    Changamoto ya Wanafunzi wa Kijiji cha Misufini, Kata ya Magoroto, Wilayani Muheza, kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 7 kila siku huku wakipanda na kushuka vilima na misitu kufuata shule imekwisha sasa. Hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi karibu na kijiji...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Mwana FA akabidhi Hati 33 za Mashamba kwa Wananchi wa Kata ya Kwabada

    Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo lilikuwa na mgogoro wa ardhi wa muda mrefu. Mgogoro huo umekuwa ukiendelea kwa takribani miaka 9 na leo...
Back
Top Bottom