mwamba

Musonda Trevor Selwyn Mwamba (born 1958), known as Trevor Mwamba, is an Anglican bishop. He was consecrated Bishop of Botswana on 6 February 2005. He tendered his resignation as Bishop of Botswana on 30 September 2012 – the day on which Botswana marks the anniversary of its independence from Britain. His successor was consecrated on 14 July 2013. On April 4th 2021, he was elected President of the United National Independence Party.
A true ‘citizen of the world’, at home in many cultures. Passionate about justice, equality and the empowerment of all God’s children. Outgoing, well-read, approachable, with a sense of humour and strong diplomatic skills.
He took up the post of Team Rector of Barking in the Church of England on 1 January 2014, a post he resigned in December 2019. On 9 November 2013 he was made an honorary assistant bishop in the Diocese of Chelmsford.He made a cameo appearance on the third episode of the HBO and BBC co-produced miniseries The No. 1 Ladies' Detective Agency. He appears in the episode entitled "Poison" as himself thanking members of the business community of Gaborone for their donations to the fictional orphanage portrayed in the series. He is married to Mmasekgoa Masire-Mwamba, a Commonwealth Deputy Secretary-General from 2008 to 2014.He was made a deacon at Petertide 1984 (1 July) by Mark Santer, Bishop of Kensington (by letters dimissory from Leonard Mwenda, Bishop of Lusaka), at St Luke's, Chelsea, Greater London and served briefly as curate of All Saints, Notting Hill. He left the UK in 1985 to become Rector of Luanshya and Vocations Director for Central Zambia, and was ordained a priest that year.On April 4th 2021, he won the presidency of the United National Independence Party. He managed to wrestle power away from long time incumbent Tilyenji Kaunda who held on to power for 20 years after succeeding his father Dr. Kenneth Kaunda. This marks the first time (UNIP) has not been lead by a Kaunda since the 1960s.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

    enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki. 1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down) 2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad...
  2. JamiiForums Tanzania Mwamba steven Azizi Key kageuka gumzo kwa Madiba

    Hizi zinaweza kua si habari njema kwa wananchi, na ukizingatia mwishoni mwa msimu mwamba anamaliza mkataba wake. Huko bondeni kwa MADIBA mashabiki wa timu zote kubwa wameoneshwa kukoshwa na uwezo wa master key huku wakimwagia sifa kibao na bahadhi yao wakita kumuona msimu ujao anavaa Uzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Ni Arusha tu ilikuwa inavuruga kukubalika kwa mwamba 2025 kuwa kama mgombea Mwenza wa Samia, hii ni Season 2, episode 1

    Makonda anakubalika nchi nzima Sema sasa kwa Arusha kidogo kuna wapinzani walikuwa wanamchafua Sana Sasa mama anataka atembelee nyota ya Makonda 2025. Lakini walikaa wakagundua mwamba anakubalika mikoa yote ya Tanzania bara isipokuwa Arusha, Mbeya na Mara Sana Sana Arusha amepelekwa kwenda...
  4. JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  5. JamiiForums Tanzania Makonda ni mwamba! Kila anakoenda anapanyoosha mpaka wanaomba pooo!

    Mkoa wa Dar mpaka kesho wanammiss Paul Makonda! Baada ya kuondoka kuwa mkuu wa mkoa wa Dar, Dar imepwaya sana! Kapelekwa Uenezi CCM kawajambisha mpaka wakaomba poooo! Sasa wamempeleka mkoa sugu wa biashara ya Ushoga, madawa ya kulevya, wizi wa mipakani, ulevi, watu wenye midomo mirefu (kama...
  6. JamiiForums Tanzania Mwamba hajawahi piga mswaki

    " No one care who i was until i put the mask" " Peace has cost your strength, Victory has defeated you" " You think darkness is your ally..." " I was born in it, molded by it" Ladies and gentlemen its BANE 🥶🥶🥶🥶🥶 Huyu mwamba given his circumstances hawezi piga mswaki kabisa.
  7. JamiiForums Tanzania Shakira bado hajasema, na atasema, yaani mpaka aseme

    Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani. Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi kumuongelea mara kwa mara kwenye interviews inadhihirisha bado anamuelewa sana mwamba, sijui...
  8. JamiiForums Tanzania P. Diddy ni mwamba fulani hivi safi mbele ya Camera ila nyuma ya Pazia ni mafia

    P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase. Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia kuliko hata unavyofikiria. Alisimamia mchongo mzima wa kumuondia Tupac, watu wakaenda mbali na kusema...
  9. JamiiForums Tanzania Mwamba anayeruka na mkeo hatoki mbali; ni huyo huyo rafiki yako unayemwita wa kufa na kuzikana

    Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha. Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana...
  10. JamiiForums Tanzania Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  11. JamiiForums Tanzania Mwamba wa Lusaka sio poa! Kashakuwa Mzalamo

    Tit For Tat!
  12. JamiiForums Tanzania Unahisi huyu mwamba ametamka maneno gani?

  13. JamiiForums Tanzania Vipi Kuna mwenye taarifa za huyu mwamba??

    Kwenye pitapita zangu insta nikakutaja na hii video, nmeona wengi sana wanamsifia, vipi Kuna anaemjua huyu mwamba?? Tupeane connection kama ni uhakika kama wanavyomsifu au vipi. Na nmesikia Kuna mwamba MWINGINE anaitwa SOKWE, naskia naye ni fundi balaa
  14. JamiiForums Tanzania Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
  15. JamiiForums Tanzania Mwamba kama umeshawahi kupotelewa na boxer au soksi ujue umekwisha

    Mpaka mida ya saa nane adhuhuri binti haonekani, ikafika alsir around saa kumi na moja hakuna anayejua kapatwa na masahibu gani binti wa watu. Aliondoka home majira ya saa sita tukajua ameenda dukani, kwakuwa ni mgeni maeneo haya na siku hiyo ilikuwa siku ya mnada huwa pamechangamka sana...
  16. JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa

    Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa, huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande. Hiyo picha alipigwa 06 march 2022, akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.
  17. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mika Mwamba, Producer Mzungu aliyeibua vipaji vingi Tanzania

    MIKA MWAMBA PRODUCER ALIYEIBUA VIPAJI VYA WASANII WENGI BONGO Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee (Uganda) Nakupenda Mpenzi - Dudu Baya get down - Prezo ft Naziz (Kenya) Twenzetu - Chege Baby Gal + wange - Mad...
  18. JamiiForums Tanzania Siasa za MAGA, MATAGA na Mwamba Tuvushe ni hatari sana. Ni siasa za kinazi

    Trump alikuwa na slogan yake ya Make America Great Again(MAGA). Baadaye wafuasi wake wakaanza kuitwa MAGA. Hawa jamaa huwaambii kitu kuhusu Trump. Kwao Trump ni kama Malaika au demigod. Kwao Trump hakosei(licha ya kukabiliwa na kesi kama 91). Hawa ndiyo mwezi wa kwanza mwaka 2021 walivamia...
  19. JamiiForums Tanzania Wale wa kitambo mwamba mwingine huyu hapa

  20. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Mbowe alivyotinga kwenye Msiba wa Lowassa, aingia akiwa amevaa kombati

    Katika watu wa Tanzania waliobarikiwa kuwa na mvuto wa kisiasa na nyota kwenye Jamii, Freeman Mbowe ni miongoni mwao. Huyu Jamaa anatisha. Kwenye Msiba wa Lowassa wamefika viongozi wengi mno wakiwemo hata viongozi wa kitaifa wa sasa na wastaafu lakini alipoingia Freeman Mbowe kuna kishindo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…