Mwamba huyu hapa

mazongera

Member
Jan 17, 2015
43
47
Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa, huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.

Hiyo picha alipigwa 06 march 2022, akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.

IMG-20240306-WA0000.jpg
 
Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa,huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.

Hiyo picha alipigwa 06march 2022,akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.
Ni yeye aisee....
 
Acha ushamba kwani kila kitu lazima ukijue humu vitu vingine kama hujui unakausha tu wanaojua wata comment!

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sasa unapoanzisha mada bila maelezo ya kina unadhani ni sala ya kwenye misa kila mtu anajua. Ulipost ya nini kama huwuzi kuelezea?acha upimbi
 
Back
Top Bottom