mwamba

Musonda Trevor Selwyn Mwamba (born 1958), known as Trevor Mwamba, is an Anglican bishop. He was consecrated Bishop of Botswana on 6 February 2005. He tendered his resignation as Bishop of Botswana on 30 September 2012 – the day on which Botswana marks the anniversary of its independence from Britain. His successor was consecrated on 14 July 2013. On April 4th 2021, he was elected President of the United National Independence Party.
A true ‘citizen of the world’, at home in many cultures. Passionate about justice, equality and the empowerment of all God’s children. Outgoing, well-read, approachable, with a sense of humour and strong diplomatic skills.
He took up the post of Team Rector of Barking in the Church of England on 1 January 2014, a post he resigned in December 2019. On 9 November 2013 he was made an honorary assistant bishop in the Diocese of Chelmsford.He made a cameo appearance on the third episode of the HBO and BBC co-produced miniseries The No. 1 Ladies' Detective Agency. He appears in the episode entitled "Poison" as himself thanking members of the business community of Gaborone for their donations to the fictional orphanage portrayed in the series. He is married to Mmasekgoa Masire-Mwamba, a Commonwealth Deputy Secretary-General from 2008 to 2014.He was made a deacon at Petertide 1984 (1 July) by Mark Santer, Bishop of Kensington (by letters dimissory from Leonard Mwenda, Bishop of Lusaka), at St Luke's, Chelsea, Greater London and served briefly as curate of All Saints, Notting Hill. He left the UK in 1985 to become Rector of Luanshya and Vocations Director for Central Zambia, and was ordained a priest that year.On April 4th 2021, he won the presidency of the United National Independence Party. He managed to wrestle power away from long time incumbent Tilyenji Kaunda who held on to power for 20 years after succeeding his father Dr. Kenneth Kaunda. This marks the first time (UNIP) has not been lead by a Kaunda since the 1960s.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mwamba na ni miamba

    Maalum kwa wapenzi wa mazingira, jiolojia na jiografia
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba alifuata nini kwenye mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa?

  3. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Swali ni moja tu, je huyu mwamba ni asset au liability?

    Bila kuelemea upande wowote, kijana wetu (Polepole)kaacha kazi ya ubalozi Kaacha maokoto, kaacha vitu vyote vinavyoambatana na hadhi ya ubalozi Kimsingi, huo ni ujasiri mkubwa, ameamua kusimamia kile anachoamini Kwa kiasi fulani, kaacha unafki, kachagua upande bila ya kujali gharama kubwa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuchimba kisima cha kisasa cha kutoboa mwamba mama soma hii

    Tuelimishane kuhusu uchimbaji wa kisima cha kisasa na hatua zake borehole drilling ✅hatua ya kwanza ni ufanyaji wa utafiti geophysical investigation hatua hii ni kupima eneo husika kama kuna mikondo ya maji sio kila sehemu kuna mkondo wa maji ambao ni endelevu hapa wataam watakuja na vifaa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe israel mwamba sana.........

    Niaje niaje.............irani huko Amezika majenerali na wanasayansi zaidi ya 60..........kwenye vita vya siku 12 tu..........hakika huu ni ushindi kwa bibi netanyahu kwenda kwa Israel bila kikomo.........wale wa Iran wa bonyokwa ,kipanda uso,jambiani kaburi moja ,itigi na mwana kelekwe karibuni...
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
  8. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Israel ni taifa Mwamba anayeweza kukuingilia na kukupiga ndani kwako na mkeo kama ngoma tu na humuwezi kwa wowote

    Kitendo cha Joka kuu la ifadhili wa Ugaidi duniani Iran kuingiliwa mpaka chumbani kwake na kutandikwa kama ngoma ni ishara tosha kuwa Israel hashkiki ... Israel Taifa dogo kwa eneo dogo zaidi hata ya eneo La Dar es salaam lakini mziki wake mnene dunia nzima inasimama....hawa majamaa hawacheki...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nimebubujikwa na machozi ya Raha kusikia kuwa Mwamba Netanyau atazungumza na Rais Trump baadaye Leo

    Wadau hamjamboni nyote/. Hakiki ni Raha kubwa kwangu kujua kuwa Mwamba wa ukweli Benjamin Netanyau yuhai kabisa. Yes indeed he's very much alive. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu is set to speak to US President Donald Trump later today, according to an Israeli official. Netanyahu...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamba huyu hapa

    Kevin Durant ana utajiri wa dola milioni 200 na anakaribia miaka40, hana mke, hana watoto, hana rafiki wa kike, hana mswaki, hana cream. Ni yeye na Mama yake tu na mpira wa kikapu.. Mwana hata hajali chochote. Anaishi maisha yasiyo na stress. Hivi majuzi alifanya interviee yenye utata: 'Jambo...
  11. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Benki ya Dunia kuhusu ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Tanzania na Benki hiyo, kikao ambacho kilifanyika katika Ofisi za Wizara ya Fedha, Treasury Square, jijini Dodoma. Katika kikao...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wanajiandaa kumpokea Mnyika muda wowote kuanzia sasa? Wenye za ndani watufahamishe

    Kuna tetesi za Mnyika kujiunga na ACT wazalendo, wenye za ndani watufahamishe!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Diamond kaoa na wambea hawajui, kweli mwamba kaamua kuwakomesha

    Naona kama ni mpango wa kuzima kelele za Gwajima🤔🤔 Anaandika diamond... "Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hali ya juu, Inataka uwe na moyo wa Subra na hasa kukaza roho pindi mtu au watu wanapokua wanakupakazia ubaya fulani kwenye...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Skudu Makudubela. Amefia wapi huyu Mwamba?

    Bonge la mchezaji. Ni kitambo sasa hasikikiki. Mpaka naanza kujiuliza amefia wapi kimpira? Au tayar tushamuuza kimya kimya? Tunahitaji kumwona akisakata gozi huyu bwana mdogo mwenye kipaji chake
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je mwamba Freeman Mbowe anasubiri chadema ifutwe?

    Salut wanaJF! Waungwana ni shahiri dhahiri CHADEMA sasa inakwenda kufutwa na msajili wa vyama vya siasa kutokana na kuendesha shughuli zake bila ya kufuata Sheria za vyama vya siasa, Hii sababu ni ya msajili mkuu wa vyama vya siasa na ndio iliyopelekea kunyimwa ruzuku Yao. Je Mwamba anasubiri...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MWAMUZI DEHANE ALIECHEZESHA FINA L YA SIMBA VS BERKANE ACHAGULIWA KUCHEZESHA KOMBE la DUNIA la VILABU MAREKANI....CONGS MWAMBA

    Mwamba dehane N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakati wa Mwamba hakuna aliyenyanyua mdomo, tusiingilie maamuzi ya mama

    Mbunge wa Geita Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Joseph Kasheku Musukuma akijadili Bungeni na kugusia hotuba ya Askofu Gwajima aliyoitoa na Wanahabari juzi Mei 24, 2025
  18. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Tubishane kwa Hoja na Itikadi za Vyama Vyetu, Kwenye Masuala ya Msingi Kama Taifa Tusimame Imara Kama Mwamba

    Nchi Yetu Tanzania Kupitia Katiba yetu tumeruhusu mfumo wa Vyama vingi na Uchaguzi wa Kwanza wa Mfumo wa Vyama vingi tumeanza 1995 Toka miaka hiyo tumeshuhudia minyukano ya kisera na kiitikadi kwenye Vyama vyote Pia tumeshuhudia minyukano ya wanasiasa na Wanaharakati kwenye medani za Kisiasa...
  19. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  20. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Mwamba Ritz na Sijdah yake

    Ritz Nyau de adriz
Back
Top Bottom