mwaka 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chelsea yafuzu kombe la FIFA dunia kwa ngazi ya vilabu mwaka 2025

    Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na Real Madrid kwa ajili ya fainali hiyo inayotarajiwa kufanyika Marekani. Chelsea walionyesha ubora...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Aliyepinga utaratibu wa Samia kupitishwa kuwa mgombea u-Rais wa CCM mwaka 2025 atangaza kwenda Dodoma 1/7/2025 kuchukua fomu ya kugombea u - Rais

    https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo... Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
  3. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  4. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maandamano ya Gen Z: Jaji Mkuu Mstaafu David Maranga na waandamanaji watawanywa kwa mabomu, raia wasiopungua 16 wauawa

    Hatimaye imewadia Jumatano iliyosubiriwa kwa hamu tarehe 25 Juni 2025, ambapo Gen Z wa Kenya wanatarajiwa kufanya maandamano, Swali niJe, waandamanaji watakuwa salama dhidi ya polisi? HALI ILIVYO KABLA YA MAANDAMANO KUANZA Polisi wametumia waya wenye miba kuzuia lango la kuingia Bungeni kabla...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Magari ya Audi: Kuanzia mwaka 2025 Audi A4 hatunazo tena, zimekua replaced na Audi A5!

    Tumetoka mbali sana na Audi A4, kuanzia mwaka 1994 na hatimaye tumefika mwisho wake baada ya miaka 30. Hadi sasa tumekua na jumla ya generations tano za A4, kuanzia B5 ya mwaka 1994 hadi B9 ya 2015. 1st Gen B5 2nd Gen B6 3rd Gen B7 4th Gen B8 5th Gen B9 Ni moja ya gari nilizowahi zielewa...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Mwezi Mei unakata, yapi yamekupa raha au karaha so far kwa mwaka 2025

    Leo ni siku ya mwisho ya mwezi wa 5 tunaelekea nusu ya mwaka 2025. Nini unajivunia, umefanikiwa nacho, umekifurahi zaidi au kimekuboa, kimekurudisha nyuma, kimekukasirisha mpaka sasa ndani ya mwaka huu.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Viongozi na Marais Matajiri zaidi Barani Afrika mwaka 2025

    Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Movie itayokutoa machozi mwaka 2025

    MOVIE ITAKAYO KUTOA MACHOZI MWAKA 2025 Movie Kali yenye historia ya kweli ndani yake baharini Kuna Tisha sana kijana aliyekufa na kukufuka baada ya kushindwa kujiokoa kazini 👇🏾 https://youtu.be/CnjOMxEUDjo #bongo #bongomovie #movieclips #movies #movienight #LastBreath #Movies2025 #netflixmovies
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hatimae Sherehe za maazimisho ya ushindi wa WWII kwa mwaka 2025 yapita salama huko Urusi

    Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa nchi za Magharibi isipokua Marais wawili TU wa Magharibi ndio waliohudhuria. Naandika yamepita salama...
  10. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  11. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa na Crypto (Mwaka 2025 - Mwongozo kwa Watanzania)

    Katika ulimwengu wa leo wa kidigitali, njia za kutengeneza pesa zimepanuka sana — na mojawapo ya njia zinazokua kwa kasi zaidi ni kupitia Cryptocurrency. Kama umeona watu wakizungumza kuhusu Bitcoin, Ethereum, au USDT lakini hujui waanzie wapi, basi blogpost hii ni kwa ajili yako. ✅ Crypto ni...
  12. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Zijue nchi tajiri za Kiafrika mwaka 2025

    Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika. BBC swahili news
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Tecno camon 40 series simu bora kwa mwaka 2025

    Kama utaniambia ni simu Gani unaweza tumia bila wasiwasi kwa mwaka 2025 basi hii ni Series' ya Tecno Camon 40 na Camon 40 pro Toka kampuni Bora kabisa Afrika Tecno. 🎈 Kwanza simu hii imeundwa kwa muundo wa Galaxy Black , ikiwa unaishika mida ya usiku utaipenda sana inavyoonekana sio poa ni...
  14. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2025, tukutane hapa

    Tunaweza kuwa tunaongea ongea sana humu mitandaoni ili kujiliwaza tu, jamani mapenzi yanauma nyie. Break up yangu bado mbichi, nina wiki tu toka nivunje mahusiano na lile dubwana bondia lililonipiga mingumi baada ya kurudi kutoka kwenye mechi ya mpira likiwa limelewa. Nifanyaje kutuliza...
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Akili kumkichwa: Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025

    Uchambuzi wa Kikatiba chini ya Ibara ya 74(11) na (12) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 Utangulizi Demokrasia ya kweli hujengwa juu ya misingi ya kuheshimu Katiba, taasisi, na sheria. Katika muktadha wa maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya...
  16. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchinjita: Mwaka 2025 ni Mwaka wa Mabadiliko

    Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Bwana Isihaka Mchinjita amesema mwaka 2025 ni mwaka kuhakikisha kuwa vijana wa Tanzania hawatalia tena kutokana na ukosefu wa ajira na unyonyaji kazini. Maneno hayo ameyasema leo Aprili 04, 2025 katika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema amechapisha picha inayoonesha wananchi waliojitokeza mkutano wa Lissu, Machi 27, 2025 Tunduma

    Wakuu salama? Nmekutana nahii picha na nmeona watu wanasema kuwa si ya mwaka huu 2025. Uhalisia ukoje JamiiCheck?
  18. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Website 10 Bora za Kujifunza Digital Skills Mwaka 2025

    Website 10 Bora za Kujifunza Digital Skills Mwaka 2025 Katika dunia ya leo, kujifunza ujuzi wa kidigitali si chaguo tena; ni hitaji. Kama unataka kujiendeleza kitaaluma au kuanza safari ya kujitegemea kifedha mtandaoni, kuwa na ujuzi wa kidigitali ni muhimu. Hapa kuna website 10 bora...
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nitajie mada yako bora kabisa hapa Jf katika Robo ya kwanza ya mwaka 2025

    Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho.. Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa Kwanini NIMEIPENDA?? Kwa sasa nimerudi kwenye kiini changu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
Back
Top Bottom