mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Tsh. 10,000 ilinunua Petroli lita 5.3, leo Oktoba unaondoka na Lita 3 tu za Mafuta kituoni

    Mwenendo wa Bei za Mafuta nchini kwa kipindi cha Miaka 10 (2014-2024 zinaonesha miaka ya 2015, 2016, 2017 na 2020 pekee ndio ilishuhudia Bei za chini za Mafuta nchini Tanzania kulinganisha na miaka mingine Kwa mujibu wa takimu za EWURA, kwa kipindi cha miaka mitatu (2022, 2023, 2024) bei ya...
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 iliyopita iPhone 6 ilitoka na ya bei ya juu kabisa ilikua $499, mwaka huu iPhone 16 imetoka bei ya juu kabisa ni $1,599

    Wazee wa JF. Nakumbuka 2014 September, Tim Cook alipanda stejini na kutangaza simu mpya mbili, iPhone 6 na iPhone 6 Plus. iPhone 6 ilianzia $199 kwa 16 GB na 6 Plus ilianzia $299 kwa 16 GB. Bei ya juu kabisa ya 6 Plus ilikua ni $499 yenye 128 GB. Mwaka huu, September yule yule CEO wa Apple...
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Leo Imetimia mwaka mmoja toka Israel ianze kupewa kipigo

    07 October 23 ndio kipigo Cha kuwafurusha kilianza rasmi kwa Wavamizi wa Kiyahudi toka Nchini Poland na bara Ulaya waliovamia Palestine kwa ajili ya kulinda maslahi ya mabeberu wa Ulaya. Israel imekua ikitajwa kama taifa Lenye Silaha na Tech za kisasa lkn kipigo kimekuja kuwaumbua baada...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Vijana wa mwaka 1990 mnazeeka ujue nyie sio watoto tena

    Vijanaa wengi waliozaliwa mwaka 1990 bado wanajiona ni watoto. Nawakumbusha kwasasa mna miaka 35 kasoro, umri ndio huo maji ya jioni. Toka maghetoni, toka kwenu nenda katafute maisha, wakati ni sasa.
  5. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA yaweka Rekodi Mpya. Yakusanya Trilioni 7.79 kati ya Julai na Septemba 2024

  6. H

    JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja wa Kuendesha Startup: SmartBusiness – Changamoto na Mafanikio

    Mwaka mmoja uliopita, nilianzisha program ya SmartBusiness kwa lengo moja kuu: kusaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) barani Afrika kuboresha usimamizi biashara zao na kuwawezesha kufanya maamuzi yatokanayo na taarifa sahihi za mwenendo wa biashara zao. Niliona changamoto nyingi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga bado Siku 3 watimize Mwaka 1 bila kufungwa kwenye ligi Kuu ya NBC!

    Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL. Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
  9. May Day

    JamiiForums Tanzania Bakita iandae utaratibu wa kutoa taarifa kwa Wananchi walau mara moja kwa mwaka.

    Moja ya sifa ya lugha yoyote duniani ni pamoja na lugha hiyo kukua.Hujitokeza misamiati,nahau mpya au hata baadhi ya maneno kuchepushwa kutoka kwenye maana take ya asili.Sina utafiti rasmi ila naamini kwa kizazi kilichopo sasa hivi mambo ndio yanaenda kwa kasi Sana.Hivyo basi imekuwa ni ngumu...
  10. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo: ### Sekta ya Uchakataji Chakula Utengenezaji wa vyakula...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Elimu ya Lazima Miaka 10 kuanza Mwaka 2027/28

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 kuhusu elimu ya lazima kuwa ya miaka 10 utaanza Mwaka 2027/28 ambapo wahitimu wa elimu ya msingi ya miaka 6 watakutana na wahitimu wa mwisho wa elimu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale Nitumie mbinu gani...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hizbullah waingiza uwanjani kombora la FAD-3.Wapiga milima ya Golan,jimbo la Syria lililotekwa na Israel mwaka 1967

    Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo, Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
  14. Brojust

    JamiiForums Tanzania Kumbe huyu Kiwi historia yake ni toka mwaka 1886 mpaka leo Brand yake haijashuka

    Wakuu za muda huu; Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini. Picha hapo chini zinajieleza. NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
  15. sindano butu

    JamiiForums Tanzania kila kona manyanyaso, hata haki ya watumishi kupata nyongeza ya mwaka ishakuwa manyanyaso.

    Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao. 2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
  16. N

    JamiiForums Tanzania "Ngama,kupachuka,mongwe,vilei,kiberiti" Uliwahi kukutana na maneno hayo wapi na mwaka gani?

    Amani ya bwana iwe juu yenu ndugu watanzania. Maneno tajwa hapo juu yalikuwa maarufu sehemu flani ya Tanzania ambapo vijana kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hukusunywa hapo na huishi kwa miaka miwili,minne au sita. Mimi binafsi nilikutana nayo mwaka 1998.
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Tuwatambue watayarishaji muziki wa mwaka 2000 mpaka 2010

    Wakati muziki ndio unajitafuta kuna ma producer wengi walipambana sana kwa uchache P funk Master jay amit mental Said komorien Roi KGT Mika mwamba Jonnas Complex Mr ebo Lamar Dunga Baucha Bonny luv Akili the brain Shakii Enrico Kidboy
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii naita 'upende utanunua usipende utanunua'. Mwaka wa kufosi watu hawana mchezo

    😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu wamebeba mafurushi. Nikamuliza nikaambiwa ni wafanyabiashara na siku ile ilikuwa siku ya gulio au mnada...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi kabla ya Mwaka 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
Back
Top Bottom