mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tunamaliza mwaka 2021 taifa limegawanyika na CCM imegawanyika

    Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hivi sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa. Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn tukaendelea kuwa wamoja kama taifa. Hivi sasa tunapeana tuhuma na majina ya ajabu ajabu mfano: magaidi...
  2. JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya 2022

    Hello people Tumebakiwa na masaa kadhaa tuumalize mwaka 2021,ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila jambo,yapo mengi magumu tumepitia lakini kwa kila jambo ni muhimu kumshukuru Mungu hadi hapa tulipofikia Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya Mwenyezi Mungu akatujaalie afya...
  3. JamiiForums Tanzania Tukio gani la kimichezo hutolisahau kwa mwaka 2021?

    Tukiwa tunaaga mwaka 2021, sio vibaya tukakumbushana matukio ya kimichezo yaliyotikisa mwaka, tukio lipi la kimichezo hutolisahau mwaka 2021?
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 kaa mbali, wapinge na wadharau watu wote wenye tabia za ki-antsocial

    Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo. 1.Hawajali haki za wengine. 2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage. 3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia 4. Hawajutii makosa...
  5. JamiiForums Tanzania Nilitegemea Lissu aje Tanzania kumsaidia Mbowe na kesi ya ugaidi kuliko kutuma salamu za mwaka mpya akiwa Ubelgiji

    Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka. Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani. Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022, naituliza nafsi yangu hivi...

    Sitaki tena vurugu za mapenzi. Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji. Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021 zimeninyonga vya kutosha!. Sitaki mfuko wangu utoboke toboke nataka niuimarishe semeni "na...
  7. JamiiForums Tanzania Jitabirie namna mwaka 2022 utakavyokuwa kwako

    Natabiri mwaka 2022 utakuwa mwaka mzuri sana, mwaka wa mavuno kwa wengi. Natabiri utakuwa ni mwaka wa kurejesha vyote vilivyoliwa kwa miaka mingi na tunutu, madumadu, nzige na maparare . Utakuwa mwaka wa kufanya mambo makubwa, wengi ambao hawajawahi kumiliki magari wataenda kuyamiliki. Na wale...
  8. JamiiForums Tanzania Makasisi, wanasiasa na ufundi wa kubishana kimaadili: Msiwapotoshe wengine mwaka 2022 na kuendelea

    Mtandao wa intanet ni wa hivi punde na katika mambo mengi ni njia ya mawasiliano yenye nguvu zaidi kuliko watangulizi wake, yaani, telegrafu, simu, redio na televisheni. Kwa watu wengi vyombo hivi vya habari vimeondoa hatua kwa hatua urefu wa muda na umbali wa kijiografia kama vizuizi vya...
  9. JamiiForums Tanzania Hii gari inaitwa Ford consul model ya mwaka 1954 ni gari ambayo ilimilikiwa na Adam sapi mkwawa alikuwa spika wa bunge la Tanzania

    Remember
  10. JamiiForums Tanzania The readings I read...vitabu nilivyosoma mwaka 2021

    Mwaka 2021, ambao tunaelekea kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, ambao umetumia maneno ya Kiingereza cha Kiskochi, ukimaanisha ‘For The Sake of Old Days,’ ikiwa ni ishara ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine (au kusheherekea kukamilisha/kumaliza jambo), nimefanikiwa kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Mwaka 2012 niliichallange Serikali ya CCM na Hayati John Pombe Magufuli kuhusu mikopo!

    Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania ! Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA" Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini. sisi ni watu wenye akili,uwezo na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu hakukua na mkono wa chrismass wala salamu za chrismass: Tamaduni zimekiukwa?

    Chrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje 1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass 2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass 3. Siku ya chrismass umoja wa makanisa ya kikiristo, Roma uandaa misa ya kitaifa ambapo mara nyingi katika Misa hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 umefika ukingoni, mbaya zaidi ni watanzania wenye uchungu na taifa lao,ambao wanapinga ubadhilifu walibatizwa jina la Sukuma gang.

    Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi. Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang. Kila mtanzania...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

    Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu. Je, umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa? Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasali kimya kimya?
  15. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kimaisha Kati ya krismas ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita?

    Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
  16. JamiiForums Tanzania HEKO: mama ameupiga mwingi , sikukuu ya mwaka huu imekuwa na shamra shamra bidhaa zinauzika kweli kweli!

    Pamoja na bidhaa kuwa juu, Kama vile mafuta, sukari, n.k Vile vile Tozo na kodi nyingi, Bado sikukuu ya mwaka huu inaweza kuwa ya kipekee kulinganisha na zamani za pontio pilato, Watu wamesafiri sana, Bidhaa zimenunuliwa na kuuzwa sana, Basi tumpongeze! Kisha tumsihi aboreshe yaliyosalia...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kufungia mwaka 2021 na kuufungua mwaka 2022

    UJUMBE WA KUFUNGIA 2021 NA KUFUNGUA MWAKA 2022; MHESHIMU MUNGU KWA MALI ZAKO. Anaandika Robert Heriel. Mungu humdharau mwenye Dharau, humheshimu mwenye kumuheshimu. Tunapoelekea kuufunga mwaka 2021 na kuulaki Kwa furaha mwaka 2022 ujumbe huu utakuwa muhimu katika maisha yako. Ujumbe huu...
  18. JamiiForums Tanzania Ibrah ndio msanii bora underground mwaka huu, je kwako ni yupi?

    habari ndugu. Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana, Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

    Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako. Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja kwanza. Nikafungua Microsoft Word Document Nikaanza kuangalia Pesa niliyoiweka kwenye Investments...
  20. JamiiForums Tanzania Wizi wa kura wa mwaka 2019 na 2020 umesabisha CCM kichukiwe sana

    Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini. TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki. Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…