mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tani 68,902 za Bangi zilikamatwa Tanzania kuanzia Mwaka 2015 hadi 2020

    Tatizo la matumizi na biashara ya dawa za kulevya limeendelea kuiathiri nchi yetu. Bangi imeendelea kuwa ni dawa ya kulevya inayotumika zaidi na ikizalishwa katika mikoa yote ya Tanzania Bara hususani katika mikoa ya Mara, Morogoro, Arusha, Tanga, Mbeya, Kagera, Ruvuma, Iringa na Njombe...
  2. JamiiForums Tanzania NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 inamlinda Rais Samia kukaa madarakani? Kwanini CCM hawataki Katiba Mpya?

    Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko? Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa? Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania North Korea leo imerusha kombora la 9 la balistiki toka kuanza mwaka huu

    North Korea leo jumamosi imerusha kombora moja la balistiki baharini. Kombora hilo linakuwa ni la 9 toka mwaka huu kuanza. South Korea imelalamika kuwa majaribio hayo yanatishia usalama wa wa jumuia ya kimataifa, kama ambavyo yanavyohatarisha amani na usalama ktk peninsula ya Korea. South Korea...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka jana tarehe kama hizi, wanaCCM waliokuwa na chuki na hayati JPM walikuwa wakionyesha kebehi zao huko Twita na kuwaona Watanzania wajinga

    Watanzania wengi hawakujua kwa nini waliomchukia hayati Magufuli walikuwa wakimkebehi kupitia mitandao ya hasa Twita. Baadhi yao wakaanza kupost picha za magari ya kijeshi yakifanya mazoezi ya parade ya kuaga mwili wa mkuu wa nchi. Wengine wakapost Brassband ya jeshi ikifanya mazoezi ya nyimbo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Wanyama na wadudu waamka kipindi cha tatu cha mwaka “Jing Zhe” kwa kalenda ya kichina

    Katika utamaduni wa China, watu hugawanya mwaka mzima kwa vipindi 24 kwa jumla, na tarehe 5 Machi itakuwa ni siku ya kuanza kwa kipindi cha wadudu kuamka, kwa kichina ni “Jing Zhe”, ambayo ni kipindi cha tatu katika mwaka mzima, ambapo mimea na wadudu wataanza kukua kwa kufuata mabadiliko ya...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
  8. JamiiForums Tanzania Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Ni takribani miaka 16 sasa, tangu kutokea kwa tukio la kushtusha pale mataa ya Ubungo mara baada ya majambazi kadhaa tena wengine kusadikiwa ni kutoka lugalo kuvamia magari ya fedha za NMB zilizokuwa zinasafirishwa kuelekea Morogoro. Unalikumbuka tukio hilo? Nini hasa kilijiri? Usipite bila...
  9. JamiiForums Tanzania Kundi la Al-qaeda lina mapato 416.5B kwa mwaka. Mwaka 2021 55.5B zatumika kununua silaha

    Kundi la al-Shabab mwaka 2021 lilitumia TZS bilioni 55.5 kununua silaha, Taasisi ya Hiraal imeeleza. Ripoti imefafanua kuwa kundi hilo lenya mfungamano na al-Qaeda lina mapato ya TZS bilioni 416.5 kwa mwaka, linayokusanya pia kupitia kodi katika maeneo ya Somalia inayoyakalia. Swali: Ni nani...
  10. JamiiForums Tanzania Al-Shabab walitumia dola milioni 24 kununua silaha mwaka jana

    Kundi la Al-Shabab nchini Somalia lilitumia dola milioni 24 mwaka 2021 kununua silaha, kulingana ripoti ya Taasisi ya Hiraal lenye makao yake Mjini Mogadishu. Ripoti hiyo pia inadai kuwa Al-Shabab ambao wana ufungamano na Al-Qaeda, ina kusanya mapato ya karibu dola milioni 180 kila mwaka...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka majukumu ya kustawisha maeneo ya vijiji mwaka huu

    China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu. Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera kutolewa na serikali kuu ya China kila mwaka, waraka huu unachukuliwa kama kiashiria cha vipaumbele vya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Uuzaji wa bidhaa za photovoltaic za China nje ya nchi wapanda kwa asilimia 60 mwaka 2021

    China imeshuhudia uuzaji mwingi wa bidhaa zake za photovoltaic (PV) nje ya nchi mwaka jana wakati dunia inaongeza juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa Wizara ya Viwanda na TEHAMA, mwaka 2021 uuzaji nje wa bidhaa za PV za China ulipita dola za kimarekani bilioni 28.4...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu za Kisayansi kwanini Tundu Lissu alikuja Tanzania kugombea Urais mwaka 2020

    It was a part of his healing process. Alikuwa ana fanya therapy ya kuiponya nafsi Na akili yake Kwa trauma ya tukio la Septemba 7.(Eidha Kwa kujua au Kwa kutokujua) Kwa kutaja madudu yote ya serikali ya awamu ya Tano, kutamka hadharani Nani aliye toa amri ashambuliwe Kwa risasi, Lissu...
  14. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti ya Mwaka Mmoja tunaweza kuziunganisha Tanganyika na Unguja kwa barabara

    Iko hivi, umbali mfupi kati ya Tanganyika na Unguja ni karibia Kilomita 40 ambazo ni sawa na kutoka pale Makutano ya Mataa ya Magomeni Hospitali mpaka Kibaha kwa Mathias. Uchimbaji na Ukwanguaji wa kisasa wa miamba chini ya bahari kwa kutumia TUNNEL BORING MACHINE inayoweza kukwangua karibia...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  17. JamiiForums Tanzania Kuelekea maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Hayati JP Magufuli

    Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
  18. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango azindua sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021

    MHE. DR PHILIP MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JMT KATIKA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Philip Mpango Ashiriki katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021 iliyozinduliwa leo 12 Februari, 2022 Jijini...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa wilayani Ngorongoro mwaka 2021/2022. Baada ya hapo mtajua mwekekeo

    Hali wadau wa JF, habari zenu. Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa huko wilayani Ngorongoro. Ni kwa upande wa elimu ya Msingi na secondary. Ikumbukwe hivi Sasa Kuna fukuto la kuwahamisha wananchi wa huko kwenda maeneo mengine. Lengo ni kuokoa hifadhi ya Crater ya Ngorongoro. Lengo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tujielimishe: Ni Wakati gani polisi walibaini Kuna njama za Ugaidi kwenye kesi ya Mbowe? Ni mwaka 2020 au 2021?

    1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi. 2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi kurejea uraiani walipelekwa mahakamani Kisha mahabusu,hivyo awajawahi kupata dhamana Wala kuhojiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…