mvua

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TARURA Dar yaendelea na ujenzi wa miundombinu ya barabara iliyosimama kutokana na mvua

    Imeelezwa kwamba uwepo wa mvua nyingi jijijini Dar es Salaam imepelekea ujenzi wa barabara katika maeneo yenye zabuni kusimama kufanya kazi katika kipindi cha miezi miwili. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Geofrey...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane habari za mvua: Mvua maeneo ya hapo ulipo mvua ikoje

    Mwambao wa pwani, Hapa toka jana 24/6/2025 saa mbili USIKU ni mvua mpaka SASA HIVI leo. Usiku mzima ilikuwa ndogo ndogo. Since morning up to now, it has been raining cats and dogs
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TMA: Mvua hazitaendelea kunyesha, Wananchi wachukue tahadhari ya Hali ya ubaridi mkali

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mifumo ya Hali ya Hewa haioneshi uwepo wa mvua hivi karibuni hapa nchini badala yake kutakuwa na ukavu na ubaridi ambapo Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari za kujilinda na baridi. Meneja wa Utabiri wa TMA, Dkt. Mafuru Kantamla amesema mvua...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika zinawaza nini kuhusu Stendi ya Mbagala Rangi Tatu? Ni kero kipindi cha mvua

    Hali ni mbaya kwenye stendi hiyo yenye daladala na ofisi za mabasi yanayoenda mikoani hasa mikoa ya kusini, abiria tunaofika kwenye stendi hiyo tunakumbana na kero kubwa, daladala na mabasi kuna wakati yanapata shida ya kupita kutokana na tope. Lakini inashangaza kwa miaka yote Watu wa daladala...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  7. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nimeweka picha ya wife kama profile picture huko whatsapp, nimeoga mvua ya matusi kutoka kwa michepuko yangu

    Poleni sana na hali ya ufisadi unaoendelea hapa nchini wakuu. Niko katka hali ya kutransform kuachana na michepuko na nibaki njia salama. Sasa bana toka mwanzoni mwa week hii nikaamua kuweka picha ya wife kama profile huko whatsapp.aisee nimeoga mvua ya matusi ya kila aina kutoka kwa baadhi ya...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima haki ya kuiona timu yao ikicheza fainali ya CAF maelfu kwa maelfu ya mashabiki wa Simba ni doa lisilofutika

    Kuwanyima maelfu ya Watanzania haki yao na fursa ya kuangalia mechi ya kihistoria katika uwanja wao kwa sababu za mvua ni kinyume cha juhudi zote za kuufanya mchezo wa mpira wa miguu uwafikie watu wengi zaidi. Kuna timu nyingi, zingine zina mafanikio ambazo zinahangaika kutafuta mashabiki ila...
  9. Powder

    JamiiForums Tanzania Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa haufai kucheza Mechi kubwa.

    Mimi nipo pamoja na CAF kuhusu kuuhamisha Mchezo wa Fanali kwenda Zanzibar. Kipindi hiki Cha Mvua uwanja wa Mkapa ukitumika dakika 10 tu za mwanzo, unakua sawa na Uwanja wa Sokoine huko Mbeya.
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri kasema ukarabati wa uwanja haukubusisha eneo la kuchezea, haufai kwa mvua

    CAF kuupeleka Zanzibar mchezo wa Simba na Berkane ni sawa kabisa maana hata waziri wa michezo aliutangazia umma kuwa ukarabati unaofanywa hauhusishi pitch, hivyo ni kweli haufai kuchezea wakati wa mvua kama ambavyo haukufaa wakati wa mechi na al masry baada ya mvua kunyesha. Full stop
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Ubovu wa Miundombinu ya Chuo cha Marian University College (MARUCO) unahatarisha afya za Watu wakati wa mvua

    Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu. Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
  12. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran bado Inasumbuka na mvua za Fasha-rasha!!!

    Baada ya milipuko hiyo iliyoripotiwa na wakaazi wa jiji hilo, moto sasa unatanda katika milima ya Shiraz, Iran. Kwa mjibu wa taarifa za kijasusi hizo ni mvua za rasha-rasha zinazoendelea kuinyeshea iran wakati mvua za masika zikikaribia. “Yajayo yanafurahisha sana” Webabu mdogoye Adiosamigo...
  13. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mvua za rasha-rasha zinazidi kuikumba Iran

    Kufuatia ripoti kutoka Iran: Milipuko na moto huo ulitokea katika kituo cha (kisicho cha nyuklia) "Montazere Ghaem - ambacho ndicho muuzaji mkuu wa umeme magharibi mwa Tehran. Kando ya mtambo huo wa kuzalisha umeme kuna majengo na ofisi za kampuni ya "Qala Electric", ambayo inashirikiana na...
  14. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Watu wa DSM mbona mko kimya majanga ya mvua ya Tarehe 28-29 May 2025

    Msikae kimya semeni matokeo ya hio mvua madaraja na majanga mengine
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine umetokea huko Iran

    Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na inachukuliwa kuwa kampuni inayohusiana na ulinzi inayohusishwa na serikali ya Irani. Mtu mmoja aliuawa...
  16. Now and then

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

    Nataka mdada mmoja mjamzito niende nae clinic watupe net Mbu zitaniuwa walahi wakuu
  17. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Je waijua nguvu ya mvua kiroho?

    JE WAIJUA NGUVU YA MVUA ♦️Unajua mvua ni BARAKA ? ♦️Mvua haishukii ardhi pekee bali inashuka na kwenye nafsi pia ♦️Mvua husafisha husda ♦️Unajua kua mvua inaweza kusikia? ♦️Unajua mvua hubeba dua zako? Omba kwa sanna ukiwa ndani ya mvua ♦️Mvua husafisha huzuni zako. ♦️Mvua huosha kile ambacho...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Dar leo Aprili 23, tupia picha eneo lililoathirika

    Wakuu mvua ya leo kiboko, imeanza kunyesha kuanzisha jana usiku, tupo nayo mpaka sasa. Kama kawaida mvua kama hii ya mfululizo lazima iache madhara sehemu mbalimbali kama miundombinu kuharibika, foleni kuongezeka, watu kuchelewa kazini nk nk. Vipi eneo ulililopo mvua haijaacha madhara? Tupia...
  19. Lavit

    JamiiForums Tanzania Barabara za Dar es Salaam kipindi cha mvua zinasumbua sana

    Wakuu tuseme tu ukweli hii nchi bado ni ya hovyo sana, hizi barabara kipindi cha mvua ni mtihani sana hasa ukiwa na gari ya chini! Ukiwa unapita hizi barabara kuu unaweza ukasema mji si ndo huu! Sasa jana nilitoka Kimara nikaenda Tabata, mtaani kwetu kuna madimbwi ila sio ya kutisha kushindwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Stellenbosch imeingia kwenye mfumo, hii tumevuka pia

    Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini. Iwe mvua iwe Jua ni mauaji tu hapa Zanzibar Leo.Dalili zote za maangamizi zimeonekana yaani ni kama
Back
Top Bottom