mvua

  1. JamiiForums Tanzania Mvua zaendelea kuwa kilio kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam

    Dar is big Slum ni Jiji la hovyo sana,mvua kidogo mnaanza kutafutana,Barabara shida,foleni,vinyesi na upuuzi kama huo. Bado mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeendelea kuwa kilio kwa wakazi wake kutokana na adha ya usafiri wanayoipata kufuatia baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

    Wananzengo mmeamkaje leo? Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani. Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa. Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)...
  3. JamiiForums Tanzania Nimegundua namna ya kufanya mvua inyeshe

    Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma? Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari kali, tena ya miaka ya hivi karibuni tu; ni Toyota Corolla ya mwaka 1986 kama imetoka Japan jana tu...
  4. JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa unaoifanya iwe chini ya Usimamizi wa Rais watua Bungeni

    Kupitia Bunge la 12 linaloendelea Jijini Dodoma, Serikali imepeleka Bungeni Muswada unaopendeleza Mabadiliko ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa. Pamoja na Mambo mengine, Sheria inapendekezwa kufanyiwa marekebisho katika kifungu cha 13 ili kuweka utaratibu wa kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu...
  5. JamiiForums Tanzania Ile Mvua Yetu wana Simba imeonekana tena huko Algeria, Tushangilie Ushindi

    Walipokea wapinzani wetu Airport, wakawapa mbinu, wakazua uongo wa vyumba vya kubadili nguo, wakavaa jezi zao. Kale kamvua ka Dar es Salaam kamepanda DreamLiner. Wanako, kapo. Kesho tusubiri matokeo. Lazima wanaSimba tufurahi. ONYO. TUSIPANGIANE FURAHA WALA CHA KUTUFUHISHA. ENJOY...
  6. JamiiForums Tanzania Mvua Ya Algeria kama Ya Dar tu

    Imeripotiwa kuwa mvua kubwa inanyesha nchini Algeria especially eneo ambalo Watani watacheza kesho. Itabidi tuzidishe maombi
  7. JamiiForums Tanzania Mabango yenye alama ya upinde wa mvua pale uwanja wa ndege DSM yamewekwa na nani?

    Kuna Mabango 2 kwenye malango ya kuingia na kutoka uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport yenye rangi za upinde wa mvua. Kila siku ninayaangaliaaaaaa hadi nachoka. Hivi Yale Mabango yanamaanisha nini? Maana hakuna maandishi mengine yoyote ila hiyo alama tu. Nani kayaweka pale...
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?

    Mtoto akizaliwa wakati wa mvua mnamuitaje kwa lugha yenu?
  9. JamiiForums Tanzania Ni mvua ya urithi iliyoachwa na aliyekuwa mwenyekiti wa Simba mzee Amir Ally Bamchawi.

    Wasimamizi wa mirathi ya mvua wanasema mkileta fyokofyoko tena kuita watu"andazi" wataiamsha tena kulekule mnakokwenda mkapigwe tena😂😅
  10. JamiiForums Tanzania Mvua ndiyo ilikuwa tatizo Uwanjani. Tumejua makosa yetu ni...

    Mvua jana ndo ilitunyima ushindi. Uwanja ukawa unateleza. Na pia iliondoa .... Kabisa. Waarabu wanatumia sana majini. Morrison hakuwa wa kukosa lile goal. Namjua Morrison maeneo kama yale. Lakini wale washenzi walikuwa na majini yao hadi uwanjani. Tumepambana sana tulikosea padogo tu. Ila...
  11. JamiiForums Tanzania Hali ikoje huko uliko na mvua hii iliyonyesha siku nzima?

    Wakuu salaam, Mvua leo imetunyoosha kama imejiunga kifurushi cha siku. Yaani toka asubuhi mpaka usiku huu kuna maeneo mvua bado inayesha. Huko ulipo hali ikoje? Njia zinapitika au kumefurika? Wapangaji wenzangu, dalali aendelee kuzima simu au mambo shwari?
  12. JamiiForums Tanzania Nikikutana na shabiki anayesema Yanga SC imefungwa kutokana na Mvua namzaba Keleb ( Kofi )

    Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua linawaka ndiyo maana Wakawafunga na Wakashinda? Poleni na leo nina Furaha isiyoelezeka.
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kuroga Mvua kubwa inyeshe Mwarabu afe. Je, una Wachezaji wa kucheza katika Madimbwi na Matope?

    Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
  14. JamiiForums Tanzania Mwanza: Kigwangalla kuburutwa kortini kwa kumpiga mtu risasi.

  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vya mkoa wa Ruvuma hazipitiki kipindi Cha mvua

    Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine. Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO: Pamoja na mvua kunyesha bado maji hayatoshi kuzalisha umeme wa uhakika

    SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini bado hazijasaidia kutoa kiwango cha juu cha maji kinachoweza kupata umeme wa uhakika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Shirika hilo Elihuruma Ngowi, wamekagua mabwawa mbalimbali ya...
  17. JamiiForums Tanzania New York: Mvua ya mfululizo kusababisha mafuriko makubwa huko Bronx

    Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx. Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Kisasa cha Mahindi: Mbegu bora, Mbolea bora na magonjwa

    Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2. GHARAMA Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Hali halisi ya masoko yetu msimu wa mvua

    Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha. Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa miundombinu sahihi ya Soko wala mfumo mzuri wa Maji safi na taka. Bali Mfanyabiashara ambae ni...
  20. JamiiForums Tanzania Manyara: Mtuhumiwa wa Ujangili akamatwa

    Mtuhumiwa wa ujangili wa Twiga ambaye amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na askari wa Wanyamapori katika hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge, wilayani Babati mkoa Manyara Amos Benard Meja amekamatwa Jana usiku. Mtuhumiwa huyo amekamatwa kutokana na mtego ulioandaliwa na askari wa Mamlaka ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…