muvi

Muvi TV is a private television station in Lusaka, Zambia. It was formed in 2007 and is one of the 4 major private stations in Zambia. It has faced major government shutdowns in the past due to its reporting of critical issues.In 2011, president Rupiah Banda ordered the closure of the station just before the general elections.

View More On Wikipedia.org
  1. 888I

    Sasa ni wakati wa Muvi

    Kinachofanyika sasa naamini wengi walishasema ndiyo kitafanyika na sasa ndiyo kinafanyika Kila mmoja atajifanya anafanya kazi kufukuza watu kazi kusimamisha na kuigiza wapo upande wa wale walioumizwa wakati wao ndiyo waliwaumiza 🙂‍↕️🙂‍↕️
  2. ELI COHEN

    Wiki hii tafuta muvi hizi 6 za kutisha (SCARY MOVIES) ili wikiendi uziangalie na hautojuta

    1: Devil's advocate Kijana mwanasheria machachali kutoka mji mdogo ana kuwa recruited kwenda kwenye law firm ya kitajiri na anapewa kila kitu ambacho hata aliowakuta hawakuwahi kupewa, lakini anakuja kugundua aliajiriwa na shetani kutetea wafanya makosa ya hatari, kinachofata ni sokomoko. 2...
  3. Trainee

    Mimi ni mdau mkubwa sana wa movies zilizotafsiriwa lakini kuna maDJ wanaharibu sana hizo muvi

    Kwanza, ijulikane lengo siyo kumsagia mtu kunguni ila ni kuonesha madhaifu ili kama itawezekana basi aweze kujirekebisha Pili, ieleweke kwamba kutafsiri movies ni kazi inayowaingizia watu kipato kwahiyo ile kauli ya kuwaita wezi siyo vizuri Tatu, siyo watu wote wanaweza kuangalia movie huku...
  4. Carbon 4real

    MFAHAM DIRECTOR WA MUVI YA THE TITANIC NA AVATAR

    Anaitwa James Cameron kazaliwa Agosti 16,1954(70) nchini Canada sehem iitwayo Ontario. Kwenye sanaa ambayo alianza kuifanya mwaka 1978 yeye ni mhariri, mwandishi na muongozaji wa filam na tamthlia na mpaka sasa amefanikiwa kuongoza filam nyingi maarufu zinazoendelea kushika kilele ata sasa...
  5. R

    wataalam wa kushusha mizigo, ni wapi nitaipata muvi ya Lucky Seven quality nzuri

    Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
  6. Ramapepe

    Natafuta kazi ya editor na cinematography

    Naitwa Rama Pepe naishi dar natafuta kazi ya kuedit na kushuti muvi mimi ni Editor na pia ni Cinematography mwenye uzoefu wa miaka 7 nafanya kazi mahali popote napatikana kwa namba 0699524998 Na hizi ni baadhi ya kazi nilizofanya zipo youtube https://youtu.be/78ZpRG10crc
  7. Cecil J

    Oppenheimer ni zaidi ya muvi

    ..
  8. G

    Maisha ya magereza ya Tanzania ni kama jela za Marekani?

    Maisha ya magereza wengi tumezoea kuyaona kwenye muvi na miziki hasa ya Kimarekani. Magereza ya huko kuna ubabe uliokithiri, magenge na kubakana kwa sana. Kwa hapa Tanzania haya mambo nayo yapo?
  9. Da'Vinci

    Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

    Aloha kakahiaka.... Kama wewe ni mpenzi wa kutazama mieleka kwa muda mrefu na unawafahamu baadhi ya wacheza mieleka utagundua kwamba michoro/tattoo zilizopo kwenye mikono na mabega ya The Rock (Dwayne Johnson), Roman Reign, Jimmy and Jey (the Usos), umaga nk zinafanana. Sababu inayofanya...
  10. Da'Vinci

    Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting. Binafsi moja ya vitu...
  11. Willy T

    Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Wapendwa kimtazamo ni movie gani ambayo ilikuvutia sana au ilikukugusa kwa namna moja hadi nyingine Mfano. Kuna bongo movie moja inaitwa vivia ukiangalia unaweza kulia Pia kuna Captain Philips bonge la movie Death race Kuna moja mauwaji ya #Rebel
  12. L

    Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Nawasalimu kwa Jina la jamiiforums, stori ziendelee. wana JF napenda sana muvi za hisia zile mtu unatazama hadi unatoka machozi. Tunaomba kwa yeyote anaezifahamu muvi za kutoa machozi aweke hapa jina la muvi tukazitafute.
  13. Mtemi Eno

    Kwa wapenda muvi na series, hii ndio mbinu rahisi ya kuzidownload

    Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
  14. Mtemi Eno

    Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  15. Mtemi Eno

    Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  16. sky soldier

    TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
  17. Dr am 4 real PhD

    Mark Dacascos mkali wa muvi ya Drive

    Hii ni Moja ya muvi Bora za wakati wote... Mark Dacascos alitembeza mkono kwenye hii muvi mwanzo mwisho.... Huyo Rasta fundi gereji muoga muoga.... Ni Moja ya ubunifu Bora kabisa kuwai kutokea kwenye tasnia ya muvi za ki mapigano... Hii muvi inakukumbusha nini?
  18. Da'Vinci

    Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

    When I was young and stupid kama ungeniuliza ni mji gani ungependa kutembelea duniani basi ningekuambia mji wa Canton, Canton ni mji ulio kando ya bahari katika nchi ya china lakini kwa sasa hivi uniatwa Guangzhou. Sababu ya mimi kupenda mji huo ni kwakua those time nilikua mpenzi sana wa muvi...
  19. NetMaster

    kwenye laptop ni kiwango kipi cha audio kinatosha kwenye kuangalia movie kati ya 768 kpbs, 320 kbps, 128 kbps au 64 kbps ?

    kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps. Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
  20. Kilimbatz

    Ukiacha kwenye cinema wapi naweza kuangalia muvi ya avatar?

    Kwa sasa nipo bush na sina uhakika wa kurudi town hivi karibuni Je kuna yakuniwezesha kuangalia muvi hii?
Back
Top Bottom