muswada

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Wabunge waibua muswada wa kuizuia TikTok sababu ya kiusalama

    Muswada huo ni mwendelezo wa Marekani kupinga mtandao huo unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China. Novemba 2022 mabosi wa FBI walielezea wasiwasi wao kuwa TikTok inaweza kuwa sehemu ya ushawishi kwa Wamarekani wengi kutumia vifaa vya China. TikTok ambayo ina watumiaji zaidi ya Milioni...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sababu Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kukwama tena Bungeni

    Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu. Muswada huo ulitegemewa...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Mapendekezo ya wabunge kuhusu muswada wa Sheria ya Taarifa Binafsi yatazingatiwa kwenye uundaji wa Kanuni

    Leo Novemba 1, bunge la Tanzania limesoma kwa mara ya ili muswada wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ikiwa ni baada ya kuokea maendekezo kutoka kwa wadau mbali mbali ikiwemo Jamii Forums. Waziri Nape Nnauye ambaye ni waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, akihitimisha baada ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Abdulwakil: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi italinda utu, heshima na faragha yetu

    Akichangia hoja kupitia mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mbunge Ahmed Abdulwakil amesema kuwa Sheria hiyo ni muhimu na endapo itapitishwa na Bunge italinda utu, heshima na faragha ya wananchi. Kutokana na Tanzania kutokuwa na sheria hii watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa zao...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 uliosomwa kwa mara ya pili

    Leo 01/11/20220 muswada wa sheria ya ulinzi wa Taarifa binafsi wa mwaka 2022 ulisomwa Bungezi na Waziri Habari mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye. Mswada huo unajadiliwa wakati huu bungeni fuatana nami kufatilia mjadala huu. ===== Zahoro Muhamadi Haji: Malengo ya kudhibiti, yapo...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya Miundombinu yataka kuwepo kwa haki ya kusahaulika

    Akiwasilisha mapendekezo Juu ya Muswada wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Selemani Kakoso amesema baada ya kufanya mapitia ya muswada huo na kusikiliza maoni ya wadau mbalimbali wakiwemo JamiiForums amesema ni muhimu kwa sehria hiyo kutambua haki ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa Mwaka 2022 unasomwa kwa mara ya pili Bungeni

    Muswada huu unasomwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye Lengo la kutunga sheria hii ni kuweka kiwango cha chini cha masharti ya matakwa ya ukusanyaji na uchakataji wa taarifa binafsi, kuanzishwa tume ya ulinzi wa taarifa binafsi, kuimarisha ulinzi wa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi kuanza kujadiliwa na Kamati ya Bunge

    Muswada huo uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza Septemba 2022, unaendelea kwenye mchakato, Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19, 2022 wadau watawasilisha maoni yao. Oktoba 20 na 21, 2022 kunatarajiwa kuwa na mjadala mwingine kuhusu muswada huo kwa kisha utapelekwa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Bima ya Afya kwa wote wasomwa Bungeni

    Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu kuanza kwa mkataba wa ajira. Muswada huo uliosomwa kwa mara ya kwanza leo, Ijumaa Septemba 23,2022...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi wasomwa kwa mara ya kwanza Bungeni

    Muswada huo umesomwa Leo Septemba 23, 2022 Bungeni Dodoma ambao unalenga kuweka misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi za wananchi, Kuweka Kiwango cha Chini cha Matakwa ya Ukusanyaji na Uchakataji wa Taarifa Binafsi, na Kuanzisha Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Masuala mengine muhimu ni pamoja...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Bunge Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022. Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Bunge kujadili Muswada utakaoruhusu Upandikizaji Viungo vya Binadamu

    Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake. Gharama za upasuaji nje ya nchi ikiwa ndio chaguo pekee kwa sasa ni Tsh. Milioni 69.9 kiasi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022

    Bungeni Dodoma Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022). Kupitishwa kwa sheria hii kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusimamia Rasilimali za Maji...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Muswada wa kupunguza mamlaka ya Rais wa Sri Lanka mbioni kuwa sheria

    Waziri wa Mambo ya Nje, Ali Sabry amesema muswada wa marekebisho ya #Katiba unaopunguza mamlaka ya Rais na kurejesha utawala shirikishi unatarajiwa kuwa sheria katika wiki chache zijazo SriLanka pia iko katika mchakato wa kuandaa sheria mpya ya kupambana na ugaidi ambayo itaambatana na kanuni...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Bunge la India latupilia mbali Muswada Kandamizi wa Ulinzi na Faragha wa Taarifa Binafsi

    Serikali ya India imeondoa Muswada wa ulinzi wa data na faragha wa 2019 unaotajwa kuipa Serikali Mamlaka ya kuuliza Kampuni kutoa taarifa binasfi za Wateja wa Kampuni za Teknolojia ili kusaidia kutunga Sera, kinyume na Sera za Kampuni hizo Serikali imesema hatua hiyo ni baada ya mapitio ya...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Bunge la Seneti la Marekani lapitisha Muswada wa Udhibiti wa Bunduki

    Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mkitaka kufurahia, kuepuka kuuana na kupendana kwa dhati msiwape hela

    Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu. Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu nligundua wote tunapata utamu. Nliona wakati mwingine baby anadai kabisa kuwa ana wazungu...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yaandaa Muswada wa kufanya michezo ya kamari isichezwe nje ya hoteli za nyota tano na casino

    Kenya inaandaa muswada wa Sheria wa kufanya michezo ya kubeti na kamari ziwe zinachezwa kwenye hoteli zenye hadhi ya nyota tano na casino tu. Muda wa kucheza michezo hiyo ikiwa nis aa mbili usiku hadi saa 12 alfajiri Muswada umependekeza Kampuni za Mawasiliano kuondoa USSD codes ambazo...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kipengele cha kuwabeba Polisi wasishtakiwe katika Muswada mpya chafutwa na Serikali

    Serikali imefuta Ibara ya 24 iliyokuwa inapendekeza kifungu kipya 47A kwa lengo la kutoa mamlaka kwa polisi kufanya operesheni za kificho kwa madhumuni ya kuzuia utendaji wa makosa. Akitoa taarifa mbele ya Bunge, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi amesema kwamba katika Muswada huo wa...
Back
Top Bottom