music

  1. M

    INAUZWA Philips Sound Bar Music systeam

    p
  2. A Family Affair: Diddy Attends The Billboard Music Awards With His Children

    Twins D’Lila and Jessie, Chance, Christian and Quincy were all in attendance. We love to see the Combs family together. For the 2022 Billboard Music Awards, Diddy brought out a few of his kids for the big event, including twins D’Lila and Jessie, daughter Chance and son Christian. Christian...
  3. Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

    Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira! Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa Ni ama kuna Uhuni...
  4. W

    Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  5. Unapenda nini kwenye music?

    a. Lyrics b. Instrument's c. Beats Mimi instrument + beat tamu lain hunifanya nioze mazima kwenye music Mfano wa nyimbo zinazonimalizaga Bryan adams - everything I do* Harmonize - one question Enrique - hero Heart - alone Ken G - forever in love Maher zain - forgive me Marco hendez - if ur...
  6. Mapungufu katika tuzo za Tanzania Music Awards (TMA)

    Unapokuwa na maono ya kufanya shughuli yoyote inayohitaji ubunifu na manufaa makubwa, jaribu kuwaona waliowahi kufanya shughui Kama hiyo ili wakuelekeze inafanyikaje! Nimestaajabishwa sana kuhusu TMA walichokifanya🥺! Maana ilikuwa Kama kongamano la kisiasa yani... Stage mbaya Lighting mbaya...
  7. Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani

    Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
  8. BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

    Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu. Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize. Wasanii ambao watu...
  9. INAUZWA Nauza Mziki wa Club

    Habari wakubwa. Nauza Mziki wa Club, Used 5 years, Umetumika kwenye Club Nauza full kama ulivyo kila kitu chake. Bei sawa na bure. Unafaa wamiliki wa Bar, Club, au wapiga sherehe au hata kwaajili ya majukwaa. CLUB MUSIC SOUND MILIONI 25,000,000 tu. Milioni 25. Bei inaongeleka kidogo. Inakuja...
  10. Jela mbaya...wamesema Jagwa Music!

    Jela sio sehemu nzuri tujirekebishe.Tusifanye utani na Jela.Hongereni wote mliotoka jela. cc: Nyani Ngabu Simba bujibuji pasco
  11. INAUZWA Vifaa vya muziki vinauzwa booster, mixer, spika n.k

    Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
  12. INAUZWA Technics SA-DV280 Music system inauzwa

    Bei ni 190000 0625547181 haina kasoro
  13. Malak Phainzzy/Blenderz Entertainment

    Let's look up on this talented artist"Veeboiski " Let's see what's he ghat In joining our record deal He dropped "slowly" in few days back, produced by blenderz
  14. Tangu uzaliwe mpaka sasa 2022, ni wimbo gani bora kwako?

    Maoni na kura yako iwe kwa vigezo hivi: Ni bila kuangalia _AINA YA MUZIKI _UJUMBE _MSANII ALIYEIMBA _HADHIRA ILIYOKUSUDIWA _UKUBWA WA MWANAMUZIKI _MUDA, MWAKA, IDADI YA _MATAMASHA, UKUBWA WA LEBO, PROMOTA, MSANII, MEDIA *********** NI WIMBO GANI BORA KWAKO, TANGU UANZE KUSIKIiLiZA MUZIKI...
  15. Music Production Thread: Karibuni tubadilishane mawazo kuhusu, mixing trips and tricks na plugins zenye sounds nzuri.

    Habari wanajukwaa, kwa wale wapenzi wa music production tupeane mawazo mapya kwenye utengenezaji muziki, kuanzia utengenezaji wa melodies, drumkits na sounds nzuri zaidi. Vilevile sound engineers kama wapo wanakaribishwa. Sina uhakika kama thread ya aina hii imeshatengenezwa, lakini itasaidia...
  16. Ilikuwa 1980 nchini Poland, mdau amekwenda kwenye music festival na radio cassette ili arecord nyimbo

    Ilikua Jarocin Festival, vijana na wanaharakati walii penda sana, ilikua inspiration kuachana na utawala wa ki communist na waliimba mabaya yakiyofanywa na viongozi.
  17. It is Time to Reconsider Our Association of Blackness and Rap Music

    Since its founding in New York, rap music has become synonymous with Black identity. This association has sheltered Rap from popular criticism. Significant critique has unfortunately come from the Right-wing press which, motivated by racism, has accused the genre of causing drug use and gang...
  18. Hayawi sasa yamekuwa: Nedy Music na mwonekano wa tofauti ndani ya gauni la kike

    Said Seif Ally (aliyezaliwa Februari 24, 1995) maarufu kwa jina la Nedy Music, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Afropop, Zouk na Bongo Flava kutoka Tanzania. Anafahamika kwa wimbo wake "Usiende Mbali". Nedy aliteuliwa kwenye tuzo za Afrima mwaka wa 2018 na alishinda katika kipengele cha...
  19. Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu...? Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu. Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu. Natanguliza shukran...
  20. Kwa wapenzi wa Music na Movies. Wireless earbuds za bei rafiki zinazokaa na charge muda mrefu

    Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe. Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…