BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

Krikichino

JF-Expert Member
Oct 5, 2019
651
1,098
Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu.

Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize.

Wasanii ambao watu walitarajia wawepo lakini hawapo ni pamoja na kundi zima la WCB, Jay Melody, Ibraah, Tommy Flavour, Mac Voice na wasanii wengine ambao mnaweza kuwaongeza hapo chini.

Makosa ni mengi kiukweli. Mathalan Professa Jay wanamuweka kwenye kipengele cha BEST MALE MUSICIAN PEOPLE'S CHOICE ON DIGITAL PLATFORMS lakini ukienda kuangalia hana maajabu yoyote kwenye streaming numbers maana huko Boomplay ana 3.5 million streams while mtu kama Darassa ana streams Millioni 13 huko Boomplay. Yaani kuna wasanii zaidi ya 60 wenye numbers zaidi ya Professa Jay na amewekwa kwenye category hii.

Pia bado sielewi kwanini albamu ya Stamina imeachwa kwenye kipengele cha albamu bora alafu wakaenda kuchukua ya Wakazi. Sisemi ya Wakazi ni mbaya, la hasha! Lakini ukiangalia albamu ya Stamina ilikuwa na impact kuliko ya albamu Wakazi ambayo most of you hata hamuijui meaning it had no any impact au influence kwenye uwanja wa Hiphop kwa mwaka 2021

Anyway nominations zenyewe (muhimu) ndio hizi hapa :

ALBUM OF THE YEAR

ONLY ONE KING - ALI KIBA

AIR WEUSI - WEUSI

HIGH SCHOOL - HARMONIZE

ONA - MARCO CHALI

LIVE AT SAUTI ZA BUSARA - WAKAZI

BEST VIDEO OF THE YEAR

I WISH -KUSSAH

SALUTE-ALI KIBA

UTANIAMBIA NINI-PROFESSOR J

MAPEPE-JUX

LISA - RAPCHA

BEST MUSIC COMPOSER

CHEGE

MAARIFA

STAMINA

ALIKIBA

MARIOO

BEST MUSIC LYRIST OF THE YEAR

ALIKIBA - UTU

MARIOO-MIAMOR

PROFFESSOR J-UTANIAMBIA NINI

RAPCHA-LISA

DARASA LOYALTY

BEST MUSIC VIDEO DIRECTOR OF THE YEAR

HANSCANA - NAANZAJE (DIAMOND PLATNUM)

TRAVELLAH - CHEKETUA (BARNABA FT ALI KIBA)

JOOZEY - MWENYE NYUMBA

NICKLASS - MADAM PRESIDENT (FRIDA AMANI)

DORECTORS - ZAI (MAUA SAMA)

BEST FEMALE MUSICIAN OF THE YEAR

FRIDA AMANI

NANDY

JOYCE S. MWAIKOFU

CHRISTINA SHUSHO

BEST MALE MUSICIAN OF THE YEAR

HARMONIZE

PROFESSOR J

JUX

BEN PAUL

YOUNG LUNYA

BEST UPCOMING FEMALE MUSICIAN OF THE YEAR

SARAPHINA

ABBY CHAMS

MARRY G

ZUHURA A. LWODYAH (Lolo Da Prince).

TRIXY TONIC

BEST UPCOMING MALE MUSICIAN OF THE YEAR

KUSSAH

KINATA MC

LODY MUSIC

RAPCHA

DAMIAN SOUL

BEST LOCAL COLLABORATION SONG OF THE YEAR

NDOMBOLO- KINGS MUSIC

SHIKILIA-PROFESSOR JAY

UNAUA VIBE - RAPCHA

LOYALTY- DARASA

LALA -JUX

BEST FEMALE MUSIC PERFORMER OF THE YEAR

MAUA SAMA

NANDY

SARAPHINA

SHILOLE

ANJELLA

BEST MALE MUSIC PERFORMER OF THE YEAR

HARMONIZE

ALIKIBA

SHOLO MWAMBA

DULLA MAKABILA

WHOZZU

BEST FEMALE MUSICIAN PEOPLE'S CHOICE ON DIGITAL PLATFORMS OF THE YEAR

NANDY

CHRISTINA SHUSHO

ROSA REE

MAUA SAMA

MARRY G

BEST MALE MUSICIAN PEOPLE'S CHOICE ON DIGITAL PLATFORMS OF THE YEAR HARMONIZE

MARIOO

ALI KIBA

JUX

PROFESSOR JAY

BEST MUSIC ARTIST FROM EAST AFRICA (BASED ON JUDGES' OPINION)

ALI KIBA

SAUTI SOL

ALFA

EDDY KENZO

SAUTI SOUL

NANDY

BEST MUSIC ARTIST FROM SOUTHERN AFRICA-(BASED ON JUDGES' OPINION)

SHO MADJOZ

FOCALISTIC

JEY ROX

DJ MAPHORISA

CASPER NYOVEST

BEST MUSIC ARTIST FROM WESTERN AFRICA (BASED ON JUDGES' OPINION) DAVIDO

BURNA BOY

WIZKID

TIWA SAVAGE

YEMI ALADE

BEST COLLABORATION SONG (AFRICA) OF THE YEAR

ATTITUDE - HARMONIZE ft. AWILLO LONGOMBA, H. BABA

MIAMOR-MARIOO ft. JOVIAL

LEO LEO-NANDY ft. KOFFI OLOMIDE

FREE YOUR MIND-JUX ft. BLAQ JERZEE

CHAWA -WHOZZU ft. RAYVAN, NTOSH GAZI

BEST MALE BONGO FLAVOR MUSICIAN OF THE YEAR

JUX

BEN PAUL

HARMONIZE

MARIOO

WHOZZU

BEST BONGO FLAVOR SONG OF THE YEAR

SAWA-JUX

BIA TAMU-MARIOO

TEACHER-HARMONIZE

ZAI-MAUA SAMA

NIMEKUZOEA-NANDY

BEST FEMALE BONGO FLAVOR MUSICIAN OF THE YEAR

NANDY

ROSA REE

ANJELLA

SARAPHINA

MARRY G

BEST FEMALE HIPHOP MUSICIAN OF THE YEAR

ZUHURA A. LWODYAH (Lolo Da Prince)

CHEMICAL

LISS LA MODE

ROSA REE

FRIDA AMANI

BEST MALE HIP HOP MUSICIAN OF THE YEAR

PROFESSOR J

YOUNG LUNYA

DARASA

RAPCHA

NEY WA MITEGO

BEST HIP HOP SONG OF THE YEAR

UTANIAMBIA NINI - PROFESSOR J SWAGG-JOH MAKINI

MBUZI-YOUNG LUNYA

MADAM PRESIDENT-FRIDA AMANI

LISA -RAPCHA
 
Hizi tuzo kuandaliwa na Basata ni sawa tu.Kwenye maandalizi ya tuzo huwa kunatangazwa Categories na wasanii wenyewe hupeleka kazi zao kwenye hizo Categories na sio muandaaji so waandaaji huchagua ama zote au huchambua kazi zilizofikia vigezo them sasa hutoa hadharani na kusikia opinions za watu au kura. Sasa kama wewe msanii hukupeleka kazi hutakuwepo. Wasafi wasanii wao hawakupeleka kazi zao so hawatakuwepo na hawalazimishwi .
 
Kwa staili hii wanayoenda nao hasara,WASAFI wana haki ya kuwalalamikia hawa jamaa na kukataa kupeleka kazi zao.

Iweje Damian soul awekwe kipengere cha underground musician wakati ameanza mziki tangu 2015 huko na ana Ngoma Kali Tu?

Pia vipengere vingi vimejaa Ali kiba na harmonize utadhani wao ndy wasanii pekee hapa bongo

Professor jay??..dah!! Huku ni kujikomba

Alafu Kama kuna vipengere amewekwa mtu wa injili Christina shusho Kwa nn rose muhando hawajamuweka? Huyu mama amekimbiza sn mwaka 2021 na namba zake zipo juu kuzidi Christina huko kwenye platforms za music ,YouTube na zingine

Basata sijui Nani huwa anawaandaliaga kupanga hizi list...makosa mengine yamakuja kwenye kutaja washindi.tusubiri
 
Back
Top Bottom