music

  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Hi- Fi System, Home Theater, Subwoofer na Music System

    Rejea kichwa cha Habari Husika. Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka katika Radio Mbalimbali ambazo zilikuwa njema nitaje chache. 1. Sony 2. Sharp 3. JVC 4. Panasonic Na...
  2. GEM mama

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha vyombo vya muziki

    Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote. Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
  3. Spartacus boy

    JamiiForums Tanzania African oldie music/muziki wa kizamani wa kiafrika

    Leo nimekumbuka nyimbo za kipindi kile za kutoka bara letu. Najua Belinda Jacob alileta oldies lakini uzi wake ukibase kwenye muziki wa mbele. Leo nakuletea mtaa wa magoma ya kiafrika yaliyo bang miaka hiyo. J powers _Jabulane Pat shange _sweet mama Pat shange_ i surrender Mafikizolo _Emlanjeni...
  4. Nyankuru

    JamiiForums Tanzania Bungart Harmonium school

    Wakuu naomba msaada wa kupakua au mwenye hicho kitabu! (Bungart Harmonium school) Nimejaribu ku download inahitaji nitie$$ Natanguliza shukrani!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa instrumental music beats murua pata bure kabisa kutoka kwa ellyskywies

    Removed
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Unaweza lipa pesa kustream music?

    Kuna hizi music streaming platforms kama spotify nk. Mfano hawa spotify wanacharge 6,000 kwa mwezi. Unaweza lipia kustream music?
  7. Amjadey

    JamiiForums Tanzania Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Music Lyrics

    See the video at Niamini ft. Alikiba - Hamadai - Lyrics & Music Video "Hamadai" - Song Lyrics eyyoooo oh beby mwezi hauishi takuvisha pete niaamiiini vicheche sina mpango nao nimeacha mapepe niaamiiini takutunza takupamba umeremete niaamiini me kwako sina ujanja ah mpechempeche niaamiini CHORUS...
  8. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Philips Sound Bar Music systeam

    p
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania A Family Affair: Diddy Attends The Billboard Music Awards With His Children

    Twins D’Lila and Jessie, Chance, Christian and Quincy were all in attendance. We love to see the Combs family together. For the 2022 Billboard Music Awards, Diddy brought out a few of his kids for the big event, including twins D’Lila and Jessie, daughter Chance and son Christian. Christian...
  10. britanicca

    JamiiForums Tanzania Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

    Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira! Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa Ni ama kuna Uhuni...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Used Pioneer Amplifier 1000watts inauzwa

    Original imenunuliwa Nje na imetumika kwa mda mfupi.Bei yake ni Shillingi 350,000.Kama unauhitaji tupigie simu au tuma meseji namba 0742662669.Napitikana Dar es Salam Mwananyamala Komakoma karibu na CRDB bank
  12. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Unapenda nini kwenye music?

    a. Lyrics b. Instrument's c. Beats Mimi instrument + beat tamu lain hunifanya nioze mazima kwenye music Mfano wa nyimbo zinazonimalizaga Bryan adams - everything I do* Harmonize - one question Enrique - hero Heart - alone Ken G - forever in love Maher zain - forgive me Marco hendez - if ur...
  13. Alder F 16

    JamiiForums Tanzania Mapungufu katika tuzo za Tanzania Music Awards (TMA)

    Unapokuwa na maono ya kufanya shughuli yoyote inayohitaji ubunifu na manufaa makubwa, jaribu kuwaona waliowahi kufanya shughui Kama hiyo ili wakuelekeze inafanyikaje! Nimestaajabishwa sana kuhusu TMA walichokifanya🥺! Maana ilikuwa Kama kongamano la kisiasa yani... Stage mbaya Lighting mbaya...
  14. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani

    Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
  15. Tea Party

    JamiiForums Tanzania BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

    Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu. Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize. Wasanii ambao watu...
  16. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mziki wa Club

    Habari wakubwa. Nauza Mziki wa Club, Used 5 years, Umetumika kwenye Club Nauza full kama ulivyo kila kitu chake. Bei sawa na bure. Unafaa wamiliki wa Bar, Club, au wapiga sherehe au hata kwaajili ya majukwaa. CLUB MUSIC SOUND MILIONI 25,000,000 tu. Milioni 25. Bei inaongeleka kidogo. Inakuja...
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Jela mbaya...wamesema Jagwa Music!

    Jela sio sehemu nzuri tujirekebishe.Tusifanye utani na Jela.Hongereni wote mliotoka jela. cc: Nyani Ngabu Simba bujibuji pasco
  18. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya muziki vinauzwa booster, mixer, spika n.k

    Vifaa ni vipya kabisa.. bei ni nafuu kulingana na kifaa unachotaka.. Mziki kwa ajili ukumbini, uwanjani, kanisani na kadhalika.. Karibuni
  19. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Technics SA-DV280 Music system inauzwa

    Bei ni 190000 0625547181 haina kasoro
  20. Blenderz Entertainment

    JamiiForums Tanzania Malak Phainzzy/Blenderz Entertainment

    Let's look up on this talented artist"Veeboiski " Let's see what's he ghat In joining our record deal He dropped "slowly" in few days back, produced by blenderz
Back
Top Bottom