music

  1. Civilian Coin

    Huyu ndiye mwanzilishi wa Tuzo za Muziki Tanzania "Tanzania Music Awards"

    HISTORIA YA MWANZILISHI WA TUZO ZA "TANZANIA MUSIC AWARD" Historia ya shujaa SOMA HISTORIA YA SHUJAA HUYU WA BONGO FLEVA ALIYESAHAULIKA JAMES Dandu ‘Mtoto wa Dandu’ siyo jina geni katika gemu la Bongo Fleva lakini ni wangapi wanamkumbuka na wanautambua mchango wake katika gemu la Bongo Fleva...
  2. Chewa91

    Music and Video library

    Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
  3. Civilian Coin

    Somo zuri sana kwa Wanamuziki wenzangu"Factor Affecting Music" utafiti uliofanyika Uganda na kuletwa na Don Nalimison

    Pitia Reseach hii ili kuboresha muziki wako, imeletwa kwenu na Don Nalimison kwa maslahi ya Wanamuziki wa Tanzania.(PDF) ya chini. I real Congrats CATHERINE KUTEESA from UGANDA for her Dissertation which is Salvation and Revolution in East Africa Musicians. "FACTORS AFFECTING MUSIC PUBLISHING...
  4. B

    Nilichojifunza kilichotokea Kings Music

    Mnamkuza sana jamaa kuliko uwezo. Shabiki wa Kiba hawajielewi. Kiba anategemea kiki ila anajifanya kama hategemei hivi. Kumbuka kipindi anataka kutangaza kuhusu ile tour yake kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa anatoa tamko rasmi kama sio kutumia ile attention iliyotengenezwa na Diamond...
  5. mwehu ndama

    TANZIA Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

    Mwanamuziki mgongwe wa DRC, Aurlus Mabele maarufu kama Mfalme wa Sokous amefariki dunia saa chache zilizopita jijini Paris nchini Ufaransa, huku kukiwa na taarifa kuwa huenda kifo chake kimesababishwa na virusi vya corona (Covid-19). Mwanamuziki huyo ambaye taarifa zilizothibitishwa na familia...
  6. Babu sea

    Msaada: Nitapata wapi vitabu vya muziki vya Lista Eliya?

    Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki. Ameeandika vitabu vinavyo husu maswala mbalimbali kama vile upigaji wa kinandaupigaji wa gitaa n.k Nimevitafuta sana hivyo vitabu...
  7. M

    Dubai all African Music Festival. Je, Ali Kiba kasahaulika?

    Nimeangalia wasanii wakubwa wa Afrika wakielekea Dubai kwenye show ya kihistoria. Nimejaribu kupepesa macho sijaona jina la Kiba. Tanzania kuna Diamond, Harmonize, Mdee na Nandi. Je, huu mwamba wa bongo fleva umesahaulika au umekataa mwaliko?
  8. bahati93

    'Yo pe by innos' maana ya mashairi

    O timbi na timbeli yo! Ukiniheshimu ntakuheshimu Yuma no kaka ts ( INNNOSS) Mpuuzi wako ( innos) Zoba no kaka ts Ujinga wako Hein yuma no kaka ts Kwa ujinga uliopitiliza Djizo! djizo O telemi no na coin Umesimama kwa kona O Sali no eloko teee Ufanyi kazi kabisa O toki no kutu teee...
  9. H

    Walioenda Kings Music walikosea sana

    Madogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time. Angalia sasa wamekalishwa benchi muda mrefu bila kutoa ngoma wakati ndio kwanza ni wasanii underground. Kama Kiba ameishiwa mashairi ya...
  10. sajorsergiosjanic

    Nafasi mbili kwa wasanii waimbaji (singers).

    Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji. Utayarishaji wa muziki utafanywa na sisi, muimbaji atakuwa na jukumu la kiuandishi kwa kushirikiana na sisi. Je atanufaikaje...
  11. K

    Offer Of the Year EMB Records Kenya Offer

    Tuna peana offer hii kwanzia Taree 17/12/2018 adi taree 01/01/2019, kwa wasanii ambao wanaanza mziki, Wowote iwe Gospel, au nyimbo za mapenzi, EMB RECORDS ipo inchini Kenya, Nairobi Street, ili uwe wa kwanza kupata Offer hii Tupate Nairobi
Back
Top Bottom