Maisha ya mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na muonekano wa kila siku anaojitahidi kuutengeneza katika mazingira yanayomzunguka. Je, muonekano ni nini? Uwezekano ni nini? Kanuni hii ni siri kubwa iliyo sheheni vipengele muhimu sana vyenye siri ya mafanikio.
Muonekano ni taswira ya nje jinsi...