muone

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Epuka kujitibu mwenyewe kwa taarifa za mtandaoni. Muone mtaalam wa afya kila unapopata dalili mbaya za kiafya

    (Picha: The Sheriff) Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!" Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
  2. T

    Mnaofikiri kumnanga Hayati Magufuli ndio kula yenu basi subirini muone yatakayotokea

    Hayati Magufuli Mungu amlaze mahali pema peponi. Amekufa na siri nzito za Taifa hili na ameacha cheche za mapinduzi ndani ya watanzania na cheche hizi hazito waacha watu salama wanao dhani kifo cha Hayati Magufuli ni fursa kwao. Hili ni kama ndoto Magufuli atafufuka na atakapo fufuka kila mtu...
  3. mathsjery

    Developers na Wadau wengine, njooni muone.

    Mnalionaje hili? kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi? MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA AKAMJIBU ETI, BASI ACHA TU NITATAFUTA DEVELOPER MWINGINE WEWE UNA MAMBO MENGI. Sasa mtu kama huyu...
  4. Matendo Andrew

    Ifike mahali Trafiki muone aibu

    Mimi najua serikali haijawahi kulala lakini mbona kuna mambo ya msingi sana hua yanazembewa lakini hili la jamaa hawa kukaa sa kumi na moja alfajir eti kuvizia anaepita na taa nyekund, aaaah sio kweli aisee. Basi hata faini moja hapo hawatoagi aisee ni kuzunguka mbuyu kwakwenda mbele Vingunguti...
Back
Top Bottom