mungu

  1. Japo wenye Maono ya Kimpira tulisema tumeshatoka, ila yafuatayo kadhaa yamechangia kabisa Kaizer Chiefs FC Kufuzu kwa Aggregate ya 4 - 3

    Kwanza nianze kwa Kuipongeza Simba SC kwa Kufa Kiume kwa leo nayo Kushinda Goli 3 kwa 0 japo tumetolewa kwa Kanuni ila hatujafungwa bali wote tumeshinda katika nchi zetu. Hata hivyo kwa Maoni yangu kutokana na Jicho langu la Kimpira na Mtazamo wake baada ya Kuungalia mpira wote kuna Mapungufu...
  2. M

    Kwa habari ya Covid-19, Tanzania kisiwa. Mungu ndiye katupa neema hii baada ya kumtanguliza mbele kwenye vita hii

    Makaburu na mawakala wao hawataki kuamini lakini ndivyo ilivyo. Hivi sasa inatumika nguvu kubwa kuitafuta corona hata kwa tochi nchini Tanzania bila mafanikio. Wanalazimisha kushawishi mamlaka za juu ziseme na kukiri kuwa Tanzania kuna corona. Wanalazimisha kubambikiza kila kifo kuwa ni cha...
  3. K

    Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

    Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuwepo. Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia. Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya...
  4. Silazimishi (Siwalazimishi) ila kwa Kikosi hiki kama Kikipangwa Kesho huenda Malaika wote na Mungu nae akawa upande Wetu Simba SC

    1. Aishi Manula 2. Shomari Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Joash Onyango 6. Thadeo Lwanga 7. Jose Miquissone 8. Muzamiri Yasini 9. Chris Mugalu 10. Clatous Chama 11. Bernard Morrison Wachezaji wa Akiba wawe hawa tu 1. Beno Kakolanya 2. David Kameta ' Duchu ' 3. Pascal Wawa 4...
  5. "Upole si udhaifu" Mungu anaona Upole sifa muhimu sana

    Baadhi ya watu wanaamini upole ni udhaifu. Upole ni nini? Upole ni sifa muhimu inayomtafsiri mtu anaechukulia mambo kwa uzito bila kukurupuka. Mpenda haki, asiependa lawama. Mungu mwenyewe ni mpole ndio maana hajachukua hatua ya kuwaondoa waovu mapema,amewapa muda wa kutafakari. Musa alikua...
  6. N

    Godbless Lema ana utabiri wa Mungu au ni Mpiga Ramli?

    Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni...
  7. Mungu (Jehovah) hapendelei taifa la Israel

    Israel ni taifa teule Spiritual kwa wakristo nikimaanisha mambo mengi ya kiroho alipitisha kupitia wao, wana baraka nyingi na adhabu pia kwa hiyo sio kweli kwamba Mungu anawapendelea Leo naelezea adhabu walizozipitia Wakati ndugu zake yusuphu wanamuuza misri ilikua ni moja ya uovu walioufanya...
  8. J

    Spika Ndugai: Enyi majaji kumbukeni Hukumu anatoa Mungu siyo ninyi hivyo mkamtangulize Mungu katika utendaji wenu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewataka Majaji wapya kumtanguliza Mungu katika utendaji wao wa kila siku kwani hukumu ya haki hutoka kwa Mungu. Ndugai amewashauri Majaji hao kujikita katika kusali na kujifunza neno la Mungu wakati wote. Source: Channel ten
  9. Cheki pozi la uhakika la wateule wa Mungu

  10. Sabaya tulia Mungu atatenda muujiza maana huwezi kupambana na ufisadi chini ya mfumo wa kifisadi

    LENGAI OLE SABAYA, HUWEZI KUPAMBANA NA UFISADI NDANI YA MFUMO WA KIFISADI, UKABAKIA SALAMA: Mfumo wa ufisadi, ulaji rushwa, uhujumu uchumi, ufanyaji magendo, na matumizi mabaya ya madaraka kwa viongozi wa umma ulianza kujikita mizizi serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi kuanzia miaka ya...
  11. M

    Tafadhali hizi Kanzu Nyeupe nyingi Mitaani leo zifanye hata Roho zetu ziwe Nyeupe kwa Mungu hadi Funga ijayo 2022

    Ni matumaini yangu makubwa Krav Maga hivi ninavyopishana na Kanzu nyingi nyeupe Mitaani leo basi hata Wahusika nae kwa Miezi 11 ijayo nao Roho zao zitakuwa Nyeupe hivyo hivyo. Ushauri wa bure wengine ambao huwa hampendi Kuvaa Kanzu au hamjazoea Kuzivaa basi muanze Kuchukua Mazoezi taratibu ya...
  12. Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza kusema kuwa unatafuta mwenzi mcha Mungu?

    Vijana wengi wakike na wakiume wanapotafuta mke/mume huandika kuwa wanamtaka mcha Mungu. Hivi ni nani atakuambia kuwa mimi simchi Mungu? Kumcha Mungu (kumwogopa Mungu) ni jambo la ndani ya moyo. Hata jambazi hutaka mcha Mungu. Hata mafisadi hutaka mcha Mungu Hata wanaokwenda kwa waganga wa...
  13. Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana. Hakuna ndoa yoyote hapa duniani ambayo ni rahisi kuipatanisha kwa maana kila ndoa ina changamoto zake, lakini ukweli wa mambo ni...
  14. Historia fupi: Israel haiwezi kuimaliza Palestina sababu walishashindwa toka mwanzo wakiwa taifa la Mungu

    Kwa msaada wa biblia na vitabu mbalimbali. Huwa nawashangaa sana watu wanaiona Israel kama taifa teule kwa Mungu kumbe wanajidanganya tu. Historia inasema hapo mashariki ya kati wakaazi asilia ni Wafilisti(Wapalestina) na makabila madogo kama Wahivi,Wagirigashi n.k. toka Taifa la Israel likiwa...
  15. Ee Mungu iweke roho yake mahali pema peponi

    Ooh, ni huzuni, ni majonzi, ni maombolezo. Mwenzetu ametutoka akiwa bado kijana. Alikuwa mwema sana, tena mkarimu. Hakupenda ugomvi, fitina wala chuki. Hakuwa mchoyo wala bahili. Wote waliokuwa wakimuomba awakopeshe pesa, walipewa mikopo tena bila masharti. Na wale walioshindwa kurudisha mikopo...
  16. Mtafute Mungu wakati anapoweza kupatikana

    Watu wanasema Awamu Mpya imeanza, tutakuwa na maridhiano, Mwendazake ameondoka, sasa tumeanza zama mpya za maridhiano, hiyo siyo kweli. Mtafute Mungu wakati kuna nafasi. Kama watu wamekasirika kama watu wameghadhibika, haiwezekani kuwepo maridhiano. Kama watu wamebembelezwa lakini hawataki...
  17. Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  18. Furahia kila pumzi ya uhai wako na mshukuru Mungu kwa mambo yote yanayokufurahisha na yale yasiyokufurahisha yapishe kuepuka magonjwa yasiyoambukiza

    Nilikua napitia report ya afya nimesikitika kuona 34% ya vifo nchini hutokana magonjwa yasiyoambukiza na ugonjwa wa moyo ukiongoza. Magonjwa mengine sukari na cancer ambayo tunayaona yanavyozidi kutuvamia kwa kasi. Kwa tafakari ndogo maisha tunayoishi yamechangia hili kwa kiasi kikubwa...
  19. Happy Birthday Joseph Mbilinyi Mbunge uliyeiletea heshima kubwa Mbeya , Mungu akupe Maisha Marefu

    Miaka ya zamani kidogo wanamuziki wa Hip Hop walionekana wahuni ambao zaidi ya kuimba na kuvuta bangi , hawakuonekana kama wanaweza kuongoza hata familia . Lakini wewe Sugu , Jongwe ambaye pia unaitwa RAIS WA MBEYA , ulifutilia mbali mawazo hayo ya kizamani na kuonyesha mfano uliotukuka kwa...
  20. Mungu wa uchumi mioyoni mwa wajasiriamali

    "Asubuhi panda mbegu zako ,Wala jioni usizuie mkono wako ,kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,Kama ni hii au hii ,au zote zitafaa sawasawa"mhubiri11:6 salute!! Waswahili walisema maisha ni hatua na Kila hatua DUA,wazungu wanasema "don't give up keep on grinding...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…