FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,585
- 2,151
DELETED
Ndugu yangu huoni Unazidi kujipotosha. Mungu haongei na Wala haandiki chochote kile. Ukiona Umeambiwa Usichunguze maana Yake Yana Uongo humo Ndani yake.Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!
Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.
Yesu ni Mungu.
Kuna watu humu jf wanajua kila kitu, Sasa umkute jumapili kwa baba paroko kashika mikono tumboni utadhani ndo papa yohana wa pili. Utashangaa kama ni yeye wa jf.Kwa hiyo unataka kutuambia Yesu ni mtoto wa Yusufu na hakufanyika kwa uwezo wa Roho mtakatifu?
Yesu sio Mungu..Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!
Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.
Yesu ni Mungu.
Soma Bible Sana uokoke. Mungu ni mwema.Ndugu yangu huoni Unazidi kujipotosha. Mungu haongei na Wala haandiki chochote kile. Ukiona Umeambiwa Usichunguze maana Yake Yana Uongo humo Ndani yake.
Kuna Utata mkubwa Sana Katika kuzaliwa kwa Yesu kutokana Na Maandiko ya Biblia. Ila Kwa Akili Timamu Binadamu yeyote lazima Azaliwe kwa Mifumo maalumu ya Mbegu ya Kiume kuungana Na Mbegu ya Kike Tofauti na Hapo Binadamu hawezi KutokeaKwa hiyo unataka kutuambia Yesu ni mtoto wa Yusufu na hakufanyika kwa uwezo wa Roho mtakatifu?
Imeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?Yesu sio Mungu..
Kuna Kujua na Kufahamu. Anayejua kila kitu Ni Mungu Peke yake.Kuna watu humu jf wanajua kila kitu, Sasa umkute jumapili kwa baba paroko kashika mikono tumboni utadhani ndo papa yohana wa pili. Utashangaa kama ni yeye wa jf.
Kwanin ukaendelea na maisha yako ukaachana na ukristo nauhakika ujashikiwa fimbo uiamin biblia, waache wanaoamini waendelee kuaminiKuna Utata mkubwa Sana Katika kuzaliwa kwa Yesu kutokana Na Maandiko ya Biblia. Ila Kwa Akili Timamu Binadamu yeyote lazima Azaliwe kwa Mifumo maalumu ya Mbegu ya Kiume kuungana Na Mbegu ya Kike Tofauti na Hapo Binadamu hawezi Kutokea
Kusoma Biblia hakuwezi kukuokoa anayekuokoa ni Binadamu mwenzako tu. Ukizama majiini utaokolewa, ukipata ajali utaokolewa, Biblia imejaa utunzi wa BinadamuSoma Bible Sana uokoke. Mungu ni mwema.
Haha unajua maana ya kuokoka wewe..!Soma Bible Sana uokoke. Mungu ni mwema.
Kama Yesu ni Mungu Alikuwa Anaomba nini Mlimani na Wanafunzi wake. Kama Yeye ni Mungu inatakiwa asiombe ChochoteImeandikwa wapi kwamba Yesu siyo Mungu?
Ndugu yangu kwani wewe ulikuwepo mpaka Unakubaliana Nao? Kwahiyo hata Wakikuambia Uongo Wa Wazi wazi unakubali tu bila Kutumia akili TimamuWe umezaliwamwaka gani sa unabishana vip na waliokjwapomiakka ya yesu
Ndugu yangu ni Sawa na Kusema Yesu angebaki kuwa huko huko alipo awaache Wayahudi waabudu watakavyo(kama Madai ya Biblia yasemavyo).Kwanin ukaendelea na maisha yako ukaachana na ukristo nauhakika ujashikiwa fimbo uiamin biblia, waache wanaoamini waendelee kuamini