mungu

  1. JamiiForums Tanzania Je, wewe ni "Mungu"?

    MOJAWAPO ya maswali magumu, ambayo mwanadamu amekuwa akitafuta majibu ni MIMI NI NANI, JE MUNGU NI NANI, n. k Tumesikia pia, nchini Tanzania mwanamama anayejiita "Mfalme Zumaridi " akijiita "mungu "!.Viongozi wa dini mbalimbali wamejitokeza kumpinga na kusema kuwa anakufuru kujiita "mungu ".Je...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

    Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki. Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
  4. JamiiForums Tanzania Mungu kwanini aliumba wanyama wawindane?

    Kama Mungu ni msawa kwanini aliumba wanyama wawindane na kuuana km carnivores(simba, chui, Tiger etc) kula herbivores Km swala, pundamilia etc. Why not wote angewafanya wale majani tu? Hili swali kwa wenye dini. Sitoenda kwa uonevu wa binadamu coz at least binadamu ana some free will.
  5. JamiiForums Tanzania Kwenye sakata hili la Bandari, Prof. Kabudi, Bashiru Ally, Humphrey Polepole jiandaeni kujibu mbele ya Mungu wenu kama mnamwamini

    Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao. Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka...
  6. JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Proving the Bible (2): Radioactive Dating

    Makala Iliyopita: Baada ya kuona kuwa Carbon-14 inathibitisha umri mdogo wa Dunia kwasababu ya: 1) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye mabaki yaliyo kwenye miamba inayodaiwa kuwa na mamilioni ya miaka (Carbon-14 haikupaswa kuwepo). 2) Kupatikana kwa Carbon-14 kwenye makaa ya mawe yanayodaiwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Zumaridi asichukuliwe kimasihara, imani ni kitu kikubwa sana inahuisha na imani inaua Watanzania tuamke

    Zumaridi anawafundisha watoto kwamba yeye ni mungu, yeye ndie msaada na ndie anayewakinga na mauti, anasema yeye ni mtawala wa dunia mzima na anayetawala vitu vyote vya duniani na mbinguni tena wake kuna uzima wa milele. Halafu anawaambia watoto leo atawapikia tena wali😎😎😎 Inatisha...
  9. JamiiForums Tanzania Pitia CV's za 'Kienyeji' za hawa watu wawili kisha niambie kati yao Mcha Mungu wa kweli ni yupi?

    #1. adriz Anasali kila siku, anatoa Sadaka, anaimba kwaya, ana maisha ya juu (Tajiri) husoma neno Kanisani, ana maringo (majipu), dharau anazimiliki yeye, mpenda majungu, Mfitini tukuka na anaaminika na wasiomjua. #2. GENTAMIYCINE Ana mwaka wa 11 sasa hata Mlango wa Kanisa Katolilki haujui...
  10. JamiiForums Tanzania Shetani kama Mungu?

    Na DaVinci XV Isaya : 14 : 12 -15 12- Jinsi ulivyoanguka kutoka mbinguni, Ewe nyota ya alfajiri, mwana wa asubuhi! Jinsi ulivyokatwa kabisa, Ewe uliyewaangusha mataifa! 13 - Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali. Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanapata shida na dhiki duniani, Mungu hana huruma?

    Kama wewe msomaji ungepata uwezo wa 10% tu ya uwezo wa Mungu tunayeambiwa kuwa ana utajiri usio kwisha, ana huruma na upendo ungekubali mtu uliyemuumba (innocent) ateseke kiasi hichi?
  13. JamiiForums Tanzania Kila nikikutana na picha ya huyu mzee lazima nipige goti chini na kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha yake

    Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa. Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli. Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
  14. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  15. JamiiForums Tanzania Ahsante Vodacom nawaombea kwa Mungu

    Salamu ni utumwa Nitoe pongezi kwa Viongozi wa Vodacom kwa hisani hii ninayoipata kila wiki bure kabisa ikiwa inaelekea mwaka sasa. Mungu awabariki sana😉😉
  16. T

    JamiiForums Tanzania What has the devil done to us until we don't appreciate value of our things?

    Unlimited contract? Again all the ports of Tanganyika? This means that the next generation, if they are not given an explanation why DP is running all the ports in the country, they will know that this country is ours and theirs!! Even if Tanzanians have given us green water to drink, we will...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi bila kuwapo shetani Dini na Mungu zingekuwapo?

    Dini zote nyemelezi zinatuaminisha kuwa Mungu aliumba kila kitu zikiwemo dhambi, shetani, kifo na mabaya yote. Je kwanini Mungu aliumba shetani kama lao siyo moja? Je bila shetani, dini na Mungu vingekuwa na mashiko au pa kujificha? Je shetani ni nani? Je ni mbaya kama tunavyoaminishwa? Yeye...
  18. JamiiForums Tanzania Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  19. JamiiForums Tanzania Swali jepesi: Kwanini Afrika wanawake wasio na imani ya Mungu+ dini ni ngumu kuwapata ?

    Leo tuizungumzie Afrika na Waafrika hasa jinsia ya kike kwa swali moja litakalo jenga uelewa baina yetu sote. Kwanini ni jambo gumu kupatana na mwanamke Afrika asie muamini wa mambo ya Mungu, Kimungu na Dini ?
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania na Nguvu ya Mwenyezi Mungu 2015-2020, 2020-2025

    Mengi yamezungumzwa kufuatia vifo vya Aliyekuwa Raisi wa Tanzania John Magufuli (aliyefariki 17/3/2021) na Bernard Kamilius Membe (aliyefariki 12/5/2023). Wawili hawa ndio waliingia katika hatua za mwisho kuchaguliwa kuwa wagombea Uraisi kwa tiketi ya CCM, 2015. Yeyote kati ya hawa angeweza kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…