mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbali, lakini ulichofanya Nanenane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbaki lakini ulichofanya nane nane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  3. JamiiForums Tanzania Geita: Wachimbaji wawili wa madini waokolewa baada ya kufukiwa na kifusi kwa siku 9

    Wachimbaji wawili wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Igalula wilayani Nyang'hwale mkoani Geita wameokolewa wakiwa hai baada ya kufukiwa na kifusi kwa muda wa siku tisa. Mmoja wa wachimbaji hao ametambuliwa kwa jina la Prima Shokolo ambaye ndugu yake Francisco Misungwi mkazi Sengerema...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonya serikali hii , kwa vita hii mmeanzisha kamata watu ,hamtashinda

    Wakuu nawasalim katika yule alie juu ya kila kitu kila mmoja kwa imani yake .Niende kwenye mada moja kwa moja Serikali ya ccm, Naona mmeanza kutangaza vita na wananchi kwa kisingizio cha uhain, kisa watu kukataa MKATABA MBOVU WA BANDARI , mbaya sasa nao vyombo vya dola wanaendelea kutekeza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hiyu DJ AllyB aombe Mungu asije kufulia

    Huyu DJ AllyB siku akija kufulia. mrangi King Kong III
  6. JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema lakini usiende kucheza muziki na chui

    Wazee wanasema, "Mungu ni mwema lakini usiende kucheza mziki na chui". Nikweli kuwa Mungu anatupenda, ila anapenda pia tutumie akili zetu vyema. Kuna vitu ameshatuonesha kwamba ni hatari, tujitahidi kutumia akili alizotupa na kwa neema yake ataendelea kutusaidia kwa pale tunaposhindwa. Kumbuka...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Mungu anapenda kelele?

    Nimesoma uzi mmoja wa Tycoon mmoja hapa Jf, anadai utafiti wake wa miaka 22 unaonesha Mungu wa walokole ndio ana nguvu kuliko Mungu anaeabudiwa na Madhehebu mengine. Nimejaribu kuchunguza Mifumo wanayoitumia walokole wengi 100% katika ibada zao, maombi kiujumla huwa zimejaa kelele nyingi sana...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyo nayo yana mizizi ya kiroho. Tafuta nguvu za Mungu kuyamaliza

    Usiache kutafuta nguvu ya Mungu, maana vita ya kiroho hutakaa uiweze bila Mungu mwenyewe kuingilia Kati.
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

    Kwa sababu most of the time inakuwaga ni Mungu mwenyewe ndio anataka kumtoa mhusika kwenye maisha yenu. Hata yule mtu wa kwenye biblia ambae siku zake za kufa zilikuwa zimefika ila akamuomba Mungu amuongezee miaka ya kuishi Mungu akamuongezea miaka 15 alifanya mambo mengi...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiweza kumuheshimu binadamu mwenzio utamuheshimu Mungu pia

    Maisha ya mtu na mtu hapa duniani na utawala wa nchi, unamahusiano sana na Mungu ni nani kwetu. Isaya 49:15 Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe. Mungu anasema hawezi kukusahau wewe, pia...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mke aliye serious na mwenye hofu ya Mungu

    Umri wangu miaka 34. Mwajiriwa serikalini, Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo: 1. Awe na umri kuanzia miaka 20 Hadi 30 2. Awe na Elimu kuanzia ngazi ya chuo 3. Awe mweupe au maji ya kunde 4. Awe na hofu ya Mungu 5. Awe amezaa au hajaza lakini asiwe na zaidi ya mtoto moja 6. Awe mkristo...
  12. JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Upendo hawezi kuchoma watu kwa moto. Huo ni Ushetani

    Anaandika Robert Heriel, Mtibeli. Kuna Mungu Muumba wa mbingu na nchi halafu kuna miungu. Mungu Mkuu ambaye hajawahi kuonekana na kamwe hatokuja kuonekana Daima milele, hawezi kufanya wala kuwaza huo upuuzi wa kuchoma watu, hilo haliwezekaniki! Miungu hii inayoabudiwa ndio inaweza kufanya...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu yupo, fikiria kuhusu mambo haya, usiseme hakuna ushahidi

    Hello wanaJF, Nimepata thread ama post nyingi Sana zikihofia kuhusu uwepo wa Mungu. Unapozidi kujifunza na kufahamu zaidi sayansi tunategemea uwe shuhuda mkubwa kuhusu uwepo wa Mungu lakini unexpectedly ndio unaanza kusema sayansi haiamini Mungu yupo. Ona hizi facts za kisayansi 👉...
  14. JamiiForums Tanzania Usibishane na anayepinga kuwa Mungu yupo

    Hivi ni kweli watu wanaopinga uwepo wa Mungu wanaamini hivyo kwa mioyo yao? Sidhani! Kama wapo, ni wachache miongoni mwa wengi wanaodai hivyo. Na kama kweli mtu hafahamu kuhusu uwepo wa Mungu na UWEZO Wake, ni sahihi kumwelewesha, lakini kama anapinga kwa lengo la kupinga ni kupoteza muda...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Ni swali ambalo nimejiuliza sana kwa wajuvi na wenye Elimu basi mnisaidie majibu tafadhali. Tukisoma maandiko tunaona kuwa Adam aliumbwa kwa mavumbi ya nchi ila ilipokuja kesi ya kuumbwa mwanamke HAWA/EVA mambo yakawa tofauti. Mungu akampa Adam usingizi mzito kisha akatoa nyama ubavuni pa Adam...
  16. JamiiForums Tanzania Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

    Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna...
  17. JamiiForums Tanzania Bunge, Serikali na Mahakama, Sio Mungu, Sio Malaika, Zinaweza Kukosea!. Zinapokosea, Zina Wajibu Kurekebisha na Kutenda Haki, Vinginevyo Karma Will Do

    Wanabodi, Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot debate kati ya Waunga mkono IGA na wanaopinga, ili kuwaelimisha zaidi Watanzania kuhusu hili...
  18. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya binadamu ni mpango wa Mungu then kwanini Wakristo na Waislamu hufanya jambo hili?

    Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu. Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi? Kwa sababu...
  19. JamiiForums Tanzania Tumuachie Mungu dhuluma hii uuzaji wa bandari zetu

    Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia na Mbarawa wameiuza Tanganyika yetu kwa Waarabu

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya... Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO. Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…