Nahitaji mke aliye serious na mwenye hofu ya Mungu

Gyms

New Member
Jul 31, 2023
4
1
Umri wangu miaka 34. Mwajiriwa serikalini, Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo:

1. Awe na umri kuanzia miaka 20 Hadi 30
2. Awe na Elimu kuanzia ngazi ya chuo
3. Awe mweupe au maji ya kunde
4. Awe na hofu ya Mungu
5. Awe amezaa au hajaza lakini asiwe na zaidi ya mtoto moja
6. Awe mkristo
7. Aweanajua kanuni ya maendeleo
8. Awe anajua misingi ya uchumi
9. Awe mwanamke asiye waza pesa Sana badala yake awe wa kuwaza zaidi mbinu na njia za kupata pesa.

Kama umekidhi vigezo naomba uni pm But Ni mwanamke aliye serious tu, Kama hauko serious au hujakidhi vigezo pita kushoto.
 
Miaka 34 bado huna mke ulikuwa masomoni,jela au mkeo amekuacha/kufariki eleza kwa undani hapa iweje miaka yote hiyo uwe humiliki papuchi??
Umesahau kusema uwezo wako kifedha benki una kiasi gani na mwenyewe kwa mwezi unapata kiasi gani?
Nakuambia mdogo wangu hakuna mwanamke asiyependa pesa!!
 
Nilikuwa masomoni japani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom