Hususani faraja ya kuamini katika msamaha.Imani inaleta faraja
Kuamini unavyotaka, hata uongo, ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.Sina mengi ya kusema Ila Mungu yupo na atendelea kuwepo.
Mla Tamu na chungu pia hula.
Usikate tamaa siku yako inakuja ukijuma katika Mishe zako.View attachment 3576423
Sitaki utokee huo uthibitisho mana sitaki kabisa kutolewa nje ya Reli kuhusu huyu Mungu wangu.Kuamini unavyotaka, hata uongo, ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu.
Ila kwenye kujua facts, tutakuhoji uthibitisho.
Mungu wangu hachomi Moto viumbe aliowaumba.Hususani faraja ya kuamini katika msamaha.
Faraja ambayo pia anaweza kunufaika muuaji wa wazazi wako kwa ku-feel inner peace kwasababu ana assurance ya kwenda mbinguni kwasababu alitubu hiyo dhambi.
Na wazazi wako kwakua waliuwawa by surprise I'm afraid that'll be a bad luck for them.
Hawakuwa na hiyo nafasi ya kutoa kauli ya mwisho kabla ya kifo chao ambayo probably wangeitumia kuungama dhambi zao, so wanaenda Jehanamu kwa kutoweza kutubu dhambi zao.
They didn't get a chance to confess, of course we all agree it's true, but God doesn't give a sh!t
Tell me how could you be happy seeing your parents burning in hell while the guy who murdered them is vibing and bang in heaven?
Shalom.
Bora umesema Mungu wako, kwa sababu yupo kichwani kwako nje ya hapo kuthibitisha yupo huwezi.Sitaki utokee huo uthibitisho mana sitaki kabisa kutolewa nje ya Reli kuhusu huyu Mungu wangu.
Nakujua Mzee WA thibitisha Mungu yupo?
Ndio nini? Yupo kichwani kwako tu?Ndio mzee