Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,290
- 5,767
Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme?
Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua?
Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela ..... (hadi huko Iringa stiglers ilipo nilisikia wana mradi mpya, bukoba nk nk)