mungu

  1. Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  2. Mungu Amekufa

    Ukipita mtaani utasikia walokole wakitamba, yaani haya maisha bila Mungu sijui yangekuaje, Haya madai ya kwamba mungu ndio anasimamia amani ya maisha ya huyu mnyama ni ya Nani, Amekufa Amekufa Amekufa Nimlete kwenu, mwali mpya, mwali wa asili, mwali asiyejali kuhusu uongo na ukweli, mwali huyu...
  3. S

    Mungu hayupo, angekuwepo shida na taabu zisingekuwepo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani. Mungu hayupo, Nimemaliza.
  4. PreGE2025 Vitu vingi vitabadilika, Mungu anasema hivyo katika uchaguzi ujao wa 2025. Rais atatoka Upinzani

    Mungu anasema Vitu Vingi vitabadilika. Katika uchaguzi Mkuu unaokuja. Maana watu wengi wamelia kuhusu maisha yao na Hatima za watoto wao , hapa imeangaziwa hali ya maisha ya watu, kiuchumi na mambo mengine kiujumla. Raisi atashinda atatoka Upinzani watu watakubali kuongozwa nae. Kwa kuwa huu...
  5. J

    Kumtukuza Mungu ni Kufanyeje?

    Kumtukuza Mungu ni Kufanyeje? Kumtukuza Mungu inamaanisha kumpa utukufu. Neno utukufu vile linavyohusiana na Mungu katika Agano la Kale ndani yake hubeba wazo la ukuu wa utukufu. Katika Agano Jipya, neno lililotafsiriwa "utukufu" linamaanisha "adabu, heshima, sifa na ibada." Kuyaweka mawili...
  6. R

    Contradiction, yaani Mungu anawaumba masikini ili matajiri watoe sadaka/wafuturishe ili Matajiri/wafuturishaji wapate thawabu kwa Mungu?

    Mungu anawaumba masikini. Hapo hapo anawaumba matajiri. (MAANA KILA KITU KINATOKA KWA MUNGU NDIVYO DINI INAVYOFUNDISHA) MasiKIni hawana kitu. matajiri wana kitu. Ili matajiri waende mbinguni, wanawafuturisha/wanawasaidia masikini na kupata thawabu kwa Mungu ili waingie mbinguni! Kwanini Mungu...
  7. Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Watu wameduwaa! Watu wamebaki midomo wazi kwa jinsi wanavyoona Taifa la Israeli likiinuliwa na kuwa na nguvu kubwa. Nawaonea huruma wanaoamini uongo wa Ibilisi eti Biblia ni maneno ya watu. Biblia ingekuwa ni maneno tu ya watu, basi ahadi alizozitoa Mungu kwa Israeli zisingetimia kwa usahihi wa...
  8. R

    Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  9. N

    CCM mtajibu nini kwa Mungu?

  10. Mungu Anayeishi Ndani ya Mtu: Ukweli wa Kipekee wa Wakristo Unaowatofautisha na Imani Nyingine

    Katika historia yote ya falsafa, dini, na tafakari za kiroho, dhana ya uhusiano kati ya mwanadamu na Mungu imekuwa ikiibua maswali magumu. Mwanadamu anahisi hitaji la maana, mwelekeo, na mwongozo wa kimungu katika maisha yake. Hili ndilo linalomfanya atafute dini, mifumo ya kiimani, na hata...
  11. PreGE2025 Askofu Bagonza awajia juu Mwijaku, Makalla asema 'Mnaiunga mkono No Reform, No Election bila kujua'

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI. Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo. 1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
  12. Hivi upitapo kwenye magumu na Mungu akakupa Option hizi mbili uchague moja utaenda na ipi?

    Option 1: Akuache uwe hai ila uteseke? Option 2; Achukue uhai ukapumzike? Mimi ntaenda na option ya pili, wewe je?
  13. Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii...
  14. Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  15. Mungu wa upendo aliwaumba kunguni, nzi na mbu waje kuwatesa kwa magonjwa watoto wake wapendwa

    Nzi wanasababisha magonjwa ya tumbo, ikiwemo kipindupindu. Mbu wanasababisha homa ya dengue, chikungunya na malaria Kunguni watakutesa hadi uikimbie nyumba Yako pendwa. Hawa ni wadudu walioumbwa na Mungu wa upendo kwa watoto wake ambao ni binadamu. Malaria ndio ugonjwa unaoongoza kwa...
  16. Mungu yupo kwa wanaomuamini tu

    Ushawahi kujiuliza nini hutokea unapomuamini Mungu kwa asilimia mia moja? Ngoja nikupe stori moja hivi. Tunarudi katika karne ya 19 huko Bristol nchini Uingereza kulikuwa na mwanaume aliyeitwa kwa jina la George Muller. Huyu mwanaume aliamua kuanzisha kituo cha watoto yatima na tangu...
  17. Umeme wa Bwawa la Nyumba ya Mungu

    Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme? Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua? Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
  18. Kwanini mungu alimpenda sana Daudi kuliko Sauli?

    Katika Biblia, Daudi anajulikana kama "mtu wa moyo wa Mungu" (1 Samweli 13:14, Matendo 13:22). Hii ni ajabu kwa sababu maisha yake yalikuwa na makosa mengi, ikiwa ni pamoja na uzinzi, mauaji, na kuchukua wake za watu. Hata hivyo, Mungu alimpenda na hata akamjengea heshima mbinguni kwa kumpa mtaa...
  19. Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  20. Paul Kagame aionya Ubelgiji "Nyinyi sio Mungu, tutawakabili"

    Wakuu, Rais wa Rwanda Paul Kagame Paul Kagame amelionya taifa la Ubelgiji kuwa watawakabili kwa kuwa wamekuwa wakitoa maagizo kwa Rwanda kama wao ndiyo wenye haki ya kuwasimamia. Akizungumza jana kwenye mkutano wa Kwegera Abaturage Kagame amesema “Wabelgiji wameiharibu Rwanda, katika historia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…