mungu

  1. N

    Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya. Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi...
  2. "Mimi sitegemei binadamu namtegemea Mungu pekee"

    Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu daktari alikutibu? Huo mshahara si mimi mtu muhasibu nilikulipa? Sasa iweje useme hutegemei watu...
  3. Angalia mengi yamefichwa kwenye Bible

    Instructions ⚠️Acha uvivu Mwenye Akili atasoma hadi mwisho wa haya maelezo na maswali yanayokuguide na utaona kuna kitu. Na Tumia imagination Anayetumia imagination kwenye haya maswal ataelewa haraka na kugundua kitu (vuta picha🤔) Kuna siri kuhusu Biblia Majibu nitakuja kuyatoa baadaye sana...
  4. Nabii Denis: Watanzania hamtalia tena, Mwakani Kuna Sura mpya za Uongozi, Kuna Matukio yataendelea kutokea kwakua Mungu kawakumbuka Watanzania

    Nabii Denis Asema :Watanzania hamtalia tena, Mwakani Kuna Sura mpya za Uongozi, Kuna Matukio yataendelea kutokea kwakua Mungu kawakumbuka Watanzania https://youtu.be/-V_qMCCuYFE?si=gVQU5_fSwHiIgutx
  5. Kati ya Yesu na Yehova nani ni Mungu?

    Nipo njia panda kabisa aisee wakuu hivi kati ya Yesu na yehova nani ni Mungu? Maana kuna watu wengine wanamtaja kama yehova ni mungu wao na pia kuna wengine wanamtaja yesu kama ni mungu wao tafadhali msaada wakuu.
  6. Humphrey Polepole ni mpango wa Mungu. Ni unabii ambao ni lazima utimie

    Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu. Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
  7. Sijawahi kuelewa kwa nini Mungu anaruhusu watoto wadogo kuteseka

    Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto. Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu afikie kuwa mtu mzima lazima kuna maovu na dhambi atakuwa ametenda mahali fulani tu, wengine wanasema...
  8. Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  9. Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu

    Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu. Historia itatoa tafsiri sahihi ya uamuzi wangu. Mungu ibariki Tanzania. Ahsante Ndugu Polepole.
  10. GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
  11. Kwanini Mungu hakumlaani Adam alipokula tunda la katikati katika bustani ya Eden?

    Habari wakuu. Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa? Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho mpaka Mungu anaamua kuilaani ardhi kwaajili ya Adam na si laana juu ya Adamu? Mwanzo 3:17...
  12. GE2025 Gambo tulikuambia Lema ni mbarikiwa Wa Mungu

    Pole Sana Gambo Karma imekupa haki yako unayostahili
  13. D

    Wanaufufuo, majeshinya bwana na watu wote wa Mungu tukutane kesho ibadani minyororo ya gereza na malango yaliyofungwa yanakwenda kufunguliwa

    Majeshi majeshi watu wa Mungu! Kila mshirika atumie muda huu kualika wapenda amani wote ili wasipange kukosa tukutane kesho ibadani. Mungu anakwenda kuonekana kwa ukubwa sana mwezi makanisa yote yatamsifu bwana.! Ile nguvu ya ufufuo iliyoondoa lile jiwe katika kaburi la Yesu inakwenda...
  14. Maneno ya Mungu kwenye biblia yanasema kama unataka kuepuka matatizo Usioe ama kuolewa. Kwa nini Mungu aone ndoa inaleta matatizo ?

    Mungu ameshauri watu wasioe / kuolewa ili kuepuka matatizo kwenye kitabu chake kinachoitwa biblia 1 Wakorintho 7:27-28 inasema Ikiwa hujaoa, usitafute mke. Lakini ukioa, wala hujatenda dhambi. Na msichana ambaye hajawahi kuolewa akiamua kuolewa, hajafanya dhambi. Lakini wale wanaooa au...
  15. Wakristo tunasema kwamba mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi huyo?

    Wakristo tunaamini mke mwema anatoka kwa Mungu je ni Mungu yupi? Huyu huyu ambae alikuwa bachelor kwa miaka 40 ambaye hakua na mke wala kuonekana na mke? Kama yeye mwenyewe tu alishindwa kuishi na mke sasa ataweza vp kunipatia mke? Mbona ni kitu ambacho haliwezekani? Busu la Kenge
  16. Mnaoomba Mungu na anawasikiliza uwa mnatumia mbinu gani?

    Kuna watu awatumii nguvu wakitaka mambo yao yanawaendea tu. Ukiuliza wanasema ni kudra za mwenyezi Mungu kwa hiyo dawa ni kumuomba Mungu bila kuchoka. Niwapeni tu mkasa kuhusu maisha yangu. Mimi ni mtu ambaye nna uhakika nimekumbwa na mkosi au gundu. Nna miaka mingi sana najitafuta ili niweze...
  17. Mungu anafanya miujiza au anatumia sayansi?

    Kuna stori kuwa Columbus alipokuwa anaondoka kisiwa fulani huko Amerika aliwaambia wenyeji wampe chakula cha safari. Wakagoma. Akasema mkigoma kesho nitafanya miujiza. Nitautia mwezi giza. Kweli kesho yake mwezi uliingiwa giza. Wenyeji wakamsujudu Columbus na kumpa chakula. Waliona miujiza mtu...
  18. Tazama jinsi Mungu alivyowaaibisha Wahandisi hawa wa Ujenzi!

    Tukio hili linashangaza sana na linaendelea kugonga vichwa vya habari duniani. Wahandisi wa ujenzi waliobobea katika kubuni, kupanga na kusimamia ujenzi na matengenezo ya miundo ya majengo, walikumbwa na aibu ya karne baada ya Mungu kuwaaibisha hadharani. Wahandisi hao kama sio level ya Ph.D. in...
  19. Je, Mungu anajua utakwenda motoni au mbinguni?

    Kama Mungu anajua Future yako Je Anajua utaenda Mbinguni au Motoni? Na Future inaweza ikabadilika?
  20. R

    Usitishwe na nyoka, Mungu alituma nyoka wa moto kuwauma waisraeli walipoasi, Nyoka wa shaba akainuliwa kuwaponya

    Salaam, Shalom! Wengi humu mmetishwa muonapo nyoka, au kuota ndoto za kuona nyoka, Ni kweli, Biblia imemuhusisha Ibilisi na nyoka, Joka la kale, la zamani, akiitwa Joka, pengine Joka linatoa maji mengi kutaka kummeza mtoto aliyezaliwa( kanisa). Sasa usilolijua ni kuwa, mbinguni wapo nyoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…